Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mods msiunge uzi labda kama hii mada ipo (sio title maana content inaweza kuwa tofauti). Kama ipo mada exactly kama nilivyoandika sawa ila msiweke uzi wangu kama comment sehemu nyingine. Iko...
11 Reactions
49 Replies
2K Views
Unatarajia mtu aliyelelewa katika mazingira ya ubinafsi kuanzia nyumbani hadi shuleni atakuwa na tabia gani kama siyo ubinafsi mtupu? Fikiri, alipokuwa mtoto, aliaminishwa kuwa nyama nzuri kama...
0 Reactions
3 Replies
341 Views
Wakuu, Wakati tunaenda kufunga mwaka na kuukaribisha mwaka mwingine ni vizuri tukaangalia nyuma na kujifunza kwa waliyopita. Moja ya kitu nilichoona hiki, watu wengi tumebeba trauma za utotoni na...
6 Reactions
9 Replies
767 Views
Hivi Sasa ni saa 2:30am sijalala kwasababu ya hizi kelele. Ni kweli tunatamani nyumba zilizo karibu na barabara kwasababu ya huduma ndogo ndogo za kijamii, lakini Sasa hivi biashara nyingi ni...
7 Reactions
30 Replies
1K Views
Braza sista Dunia ya Sasa wachawi ni watoto wadogo wamenyoa viduku na wengine ni vyura Sasa Usijihaminishe kumwambia mtu yeyote mipango Yako hata mamaako au baba kama unajiweza kidogo kiuchumi...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Katika jamii nyingi, hasa zile zenye utamaduni wa kuheshimu elimu na shahada, wasomi mara nyingi huamini kuwa akili na maarifa yao ndiyo msingi wa mafanikio. Wamejifunza kwa bidii, wakapata...
2 Reactions
2 Replies
378 Views
Kwa utafiti wangu hii ni moja kati ya wilaya bora sana kwa landscape yake na hali ya hewa inayochagizwa na bahari ya hindi jambo linatoa fursa mbalimbali za kiuchumi kama ukitazama wilaya hii kwa...
0 Reactions
10 Replies
791 Views
Unapokabia juu namaanisha unapoweka mkazo wa malengo yako, ndoto na future zako. Halafu huku chini namaanisha mitaji, miradi na hustle zako unazozitegemea kukufikisha huko juu zikiwa hazina...
2 Reactions
5 Replies
485 Views
Mwanamke muelewa Anajishusha Anapenda ujifunze Aisee Nimeokota dodo chini ya mpapai.
18 Reactions
117 Replies
4K Views
Wahitimu wa kidato cha sita zaidi ya 130 katika Shule ya Sekondari Milambo iliyopo Mkoani Tabora wamelazimika kuondolewa Shuleni hapo chini ya ulinzi mkali wa Jeshi Polisi muda mfupi baada ya...
9 Reactions
105 Replies
6K Views
Ukweli ni: 1.Dini iliundwa kuwazuia Waafrika kuhoji matendo ya wakoloni (wanaharakati), kupitia ujanja wa Brian. 2. Demokrasia iliundwa ili kulinda uamuzi wa viongozi wa Kiafrika kwa mapenzi ya...
0 Reactions
1 Replies
255 Views
Hii video inaonenya ni moja ya shule mojawapo hapa Tanzania kwa sababu eneo walilokuwa kwa juu limeandikwa "Samia Suluhu Hassani Domitory Hawa ndo Taifa la leo na la kesho wanacheza wakionesha...
5 Reactions
86 Replies
5K Views
Habari wana JF Leo ni siku nyingine tena, natumaini mnaendelea vizuri kwa wale wenye changamoto basi Muumba awafanyie wepesi. Leo sina mambo mengi sana zaidi ya kuyatafakari maadili yetu...
2 Reactions
4 Replies
693 Views
Leo nipo mataa ya kamata hapa kwenye foleni naona Toyota v8 ina fujo na vingora vikali na taa za vimuli muli kama za misafara ya viongozi nikajua labda ni msafara wa waziri mkuu au usalama ikabidi...
1 Reactions
9 Replies
619 Views
Kwa sababu ya umaskini, Wengine wakakosa msingi, Ndoto zikasahaulika kabisa, Maisha yakawa kisirisiri. Kwa sababu ya unyonge, Walikosa hata saonge, Wakanyamazishwa bila huruma, Wakabaki ndani ya...
1 Reactions
8 Replies
333 Views
💭 Mwaka 2024 serikali ya Tanzania iliweza kuzindua hati mpya za kisasa za kusafiria za kieletroniki za jumuiya ya Afrika mashariki iliweza kuchukua nafasi ya hati za kitaifa zilizopo. 💡 Uzinduzi...
2 Reactions
12 Replies
971 Views
Habarini za asubuhi wanajamvi, Kuna hili suala la madereva wa malori kuwa na mali ambazo haziendani na kipato chao, hivi huwa wanapata wapi pesa?. Juzi nilipanda lori kutoka Morogoro kwenda Dar...
10 Reactions
119 Replies
25K Views
Nimeona habari kwa millard ayo wafanyakazi wa ndani huko saudi arabia wanataabika kuuliwa hadi kubakwa nimejiuliza mtu aliyeleta Dini inakuwaje Sio mstaharabu? Ndugu zetu wanaoenda kutafuta...
8 Reactions
43 Replies
2K Views
Kuna conflicting decisions na mambo mengine ambayo yanafanya matumizi ya kiswahili kuleta shida mahakamani. Mawakili wanaweza kukupa undani wa hoja hii. Sisemi Kiswahili wakiache matumizi yake...
1 Reactions
3 Replies
300 Views
Habari wanajukwaa samahani kuna mlipuko wa watu saivi wanakufuata kukodisha account ya linked in je hawa watu wako kweli au ni scammers? Wakichukua Account wanafanya yao
0 Reactions
1 Replies
300 Views
Back
Top Bottom