Maslahi ya Wabunge Tanzania yapoje?

Andrew123

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
7,046
8,622
Naomba nami nichukue fursa kuendeleza mjadala ulioanza Kwa mtoa mada mmoja siku za awali kuuliza Mwenye kujua maslahi ya hawa Waheshimiwa Wabunge Kwa sasa:

1. Mshahara mnono (bila Kodi)
2. Posho ya vikao
3. Mkopo wa gari
4. Posho ya dereva
5. Mfuko wa Jimbo
7. Bima ya matibabu nje ya nchi
8. Kiinua mgongo baada ya kumaliza Ubunge
9. Pesa ya mafuta ya gari la mbunge
10. Posho vikao vya kamati
11. Posho ziara kwenye miradi, taasisi
12. Posho ziara za kimafunzo ughaibuni

NB: sifa za kuwa Mbunge zipo? Ni zipi?
 
Naomba nami nichukue fursa kuendeleza mjadala ulioanza Kwa mtoa mada mmoja siku za awali kuuliza Mwenye kujua maslahi ya hawa Waheshimiwa Wabunge Kwa sasa;
1. Mshahara,
2. Posho ya vikao,
3. Mkopo wa gari,
4. Posho ya dereva,
5. Mfuko wa Jimbo,
7. Bima ya matibabu nje ya nchi,
8. Kiinua mgongo baada ya kumaliza Ubunge,
9. Pesa ya mafuta ya gari la mbunge.

NB: sifa za kuwa Mbunge zipo? Ni zipi?
Pascal Mayalla ,
 
10. Diplomatic Visa
 
Posho ya kujikimu, na posho ya vikao vya kamati, ziara na posho zake, hongo wanazopewa ili kupoza unoko
 
Kuna watu wanapotosha baadhi ya vitu

Mshahara ni mil3.8

Pesa ya mfuko wa jimbo ni mil 8...

Posho ya kikao ni laki 360(Sitting allowance 240, pesa ya Malazi ni 120)

Mafuta ya gari kwa mwezi ni lita 1000

Bima ya afya kubwa

Diplomatic Passport

Kiinua mgongo baada ya 5 years ni 264mil baada ya kodi

Nikikumbuka mengine nitayaleta ila anaweza kuchukua mkopo mpaka bil 2 kwa dhamana ya ubunge wake
 
Mshahara wa Mbunge 3.8 milioni? Acha utani!!! Hivi unadhani ingekua hivyo Sugu angepata wapi nguvu ya Kujenga Ile hotel yake? Maana mshahara wa 3.8m (salary slip) unatumia kukopa kiasi gan?
 
Mshahara wa Mbunge 3.8 milioni? Acha utani!!! Hivi unadhani ingekua hivyo unadhani Sugu angepata wapi nguvu ya Kujenga Ile hotel yake? Maana mshahara wa 3.8m (salary slip) unatumia kukopa kiasi gan?
Huwezi kunielewa mzee ikiwa ulishakariri kuwa wanalipwa mil 12. Hiyo 12 mil huwa inamchanganuo wake, nilikuwaga nafahamu kama wewe hivyo mtu mmoja mhusika wa mjengoni akanielewesha
 
Back
Top Bottom