Kuna conflicting decisions na mambo mengine ambayo yanafanya matumizi ya kiswahili kuleta shida mahakamani. Mawakili wanaweza kukupa undani wa hoja hii.
Sisemi Kiswahili wakiache matumizi yake...
Habari wanajukwaa samahani kuna mlipuko wa watu saivi wanakufuata kukodisha account ya linked in je hawa watu wako kweli au ni scammers?
Wakichukua Account wanafanya yao
Sio wote walio magereza wana hatia.
Uingereza: Peter Sullivan alihukumiwa kwenda gerezani kwa kosa la kumuua mfanyakazi wa bar ( barmaid) Diane Sindall mnamo 1 August 1986.
Ushahidi wa DNA...
Labda itokee kuwe na mwamuzi lakini vinginevyo hataona mwezi wala jua tena.
Kupigana kunahitaji akili sio nguvu tu, Sokwe hana akili kwenye mashambulizi anategemea nguvu pekee.
Ni kweli sokwe...
#Porojozabongo
"Sio kila anayekuuliza, anakujali—wengine wanakuscan."
"Unajua watu wa leo?" Anaongea Bw. Bongo huku macho yake yakivinjari usoni kwa Mgogo.
"Wana maswali mengi, lakini si ya...
Leo tuangazie wasongo.
Unaweza kuwa kumefaulu vizuri na unaweza kuwa ni bora masomoni. Lakini unapokuja mtaani watu hawataki kuona vyeti bali wanataka wasikie kitu tofauti ulichonacho...
🏡 SAMIA HOUSING SCHEME: NDOTO INATIMIA! 🎉
Kawe, Dar es Salaam inazidi kung'aa! 🔥 Samia Housing Scheme, mradi wa makazi wa kisasa unaoleta mapinduzi ya ujenzi, sasa umefikia hatua kubwa – Uzio...
#Porojozabongo
"Ukiona umekaa sana, kaa vizuri."
"Unajua maana ya hiyo sentensi?" Bongo anazungumza
"Mmh, ni kukaa kwenye benchi, au?" akauliza mgogo asiye na mgogoro
"Hapana, hiyo ni ya...
Sina ubaya na polisi wetu ila kuna wengine naona washapewa maziwa na asali.
Haya ambayo hata mwano wa milambo tabora waliofukuzwa anaweza kukubari mzazi wake au ni pesa.
Yani pesa mnazo...
💭 Kampuni pendwa ulimwenguni Google imefanikiwa kubadilisha logo yake yenye nembo ya G kwa kuweza kuweka muundo mpya kwa kuweka rangi katika muundo wa soft transition style.
💭 Japokuwa Rangi...
DAUDI ALIKUWA NA MADHAIFU MAKUBWA
Daudi hakuwa mkamilifu. Alifanya makosa mazito kama:
Kuzini na mke wa Uria (Bathsheba)
Kumuua Uria kwa njama ili kuficha kosa lake
(2 Samweli 11:1–27)
Haya...
Tokea usajili wake mwaka 1993 na katika historia ya Tanzania, hakuna chama cha siasa ambacho kimekua kwa kasi bila kurudi nyuma kama chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) mpaka pale Magufuli...
Kazi ya kuwa tour guide si tu kuonyesha maeneo – ni kuwa na uwezo wa kusimulia, kuelezea kwa usahihi na kuvutia, hadi mgeni ajione sehemu hiyo kwa moyo, si macho tu. Maarifa ya historia...
Katika ulimwengu wa wanyama si kila ugonjwa au majeraha huwatuma kwa daktari kwa sababu hawana! Lakini jambo la kushangaza ni kwamba, wanyama wengi wamekuwa wakitumia njia zao asilia kujitibu au...
Nahisi yale kipindi cha Rwanda na Burundi yana weza kuwa na haya haya japo wengi walichoka huko.
Kuna kitabu kinaitwa mshenzi wa kwanza ni serikali hakuna anayeweza kupeleka nchi kama unanguvu...
Najaribu kujiuliza.
Aliposhambuliwa na Hamas aliwapiga Hadi Sasa hawewezi kabisa kujibu na hawajajibu chochote.
Aliposhambuliwa na Hesbullah aliwapiga sana na kiongozi wao ambaye walikuwa...
Hakika ni baraka sana Super power wa hii Dunia kuwa wazungu, Wazungu ni watu wenye utu kumzidi mwarabu na ndio maana wamebarikiwa sana , hata katika historia ya magonjwa ya kutisha kama...
Wakuu jamaa yangu aliuziwa nyumba, sasa aliyemuuzia amefariki jamaa akiwa bado hajabadili jina la hati ya nyumba hapo inakuaje Ili kuweza kupata haki yake wakuu au ndio atadhulumika?
Mwenye...
Dkt Boniface Nobeji, Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa TPA.
David Kihenzile, Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi
MABORESHO na ujenzi wa miundombinu ya kisasa inayofanywa na Serikali kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.