Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Polisi mkoani Mwanza limemuachia kwa dhamana Diana Bundala maarufu ‘Mfalme Zumaridi’ huku uchunguzi dhidi ya tuhuma zinazomkabili ukiendelea. Zumaridi, ambaye alikamatwa kwa tuhuma za kugeuza...
1 Reactions
5 Replies
528 Views
Mhalifu hawi mhalifu hadi pale itakapothibitika! Sakata la mfalme Zumaridi (Kiongozi wa kanisa la Zumaridi huko Mwanza) Linaacha midomo wazi kwa wapenda haki na utii wa sheria! Sipo hapa...
37 Reactions
463 Replies
31K Views
Habari wadau , hivi ndo tuseme telegram bongo imepigwa ban , maana Nina zaidi ya miezi kadhaa nashindwa kuitumia , nime uninstall na kuinstall upya lakini wap, shida Nini waugwana
2 Reactions
5 Replies
777 Views
Katika Biblia na Qur'an, uchawi unatajwa kama tendo linalokatazwa na lenye madhara kwa jamii na mtu binafsi. Mifano hyo chini 📖 Mifano ya Uchawi katika Biblia 1. Kutoka 22:18 “Usimwache...
6 Reactions
18 Replies
817 Views
Nilikopa mkopo kutoka Really pesa na tarehe ya mwisho niliambiwa ni kesho ila wameanza kunitumia ujumbe wa vitisho. Ujumbe huu hapa chini " DHARAU, KIBURI NA KUPUUZIA TARATIBU UNAZOWEKEWA NA...
14 Reactions
48 Replies
2K Views
Habari za Sabato! Kuna Mambo yanachekesha kwa nje lakini kwa Ndani yanasikitisha Mno. Yanavua heshima. Mjeshi mwenye mafunzo ya kijeshi. Komando tena jasusi bobevu ATI kupigana na raia ambaye...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Habari zenu wanaJF. Nilikuwa nauliza kuhusu Aliexpress mwenye ujuzi nao tafadhali atuthibitishie. Jana nilipata kutextiwa whatsapp kwa namba ngeni akijitamvulisha kuwa ni mfanyakazi wa Ali...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Huu uraibu nilidumbukia rasmi mwaka 2016 nikapigwa wee akili ikaja kunikaa sawa mwaka 2021 Niko nyang'anyang'a. Nikasema basi sirudi Tena huko. Hamna tim ambayo siijui, ligi zote zipo kichwani...
13 Reactions
99 Replies
5K Views
Habari wana jamvi mimi namshukuru muumba wa mbingu na ardhi, mimi ni mfanyakazi wa idara fulani nina miaka zaidi ya kumi kazini, kuna ndugu yangu mmoja mzanzibar alinifundisha kamari [betting]...
10 Reactions
31 Replies
2K Views
Nchini India watu wengi wameathilika na program ambazo zinatoa mikopo ya pesa kwa kuweza kudhalilishwa kutokana na mikopo waliokopa. Takribani zaidi ya wahindi 60 wamejiua baada ya kunyanyaswa na...
1 Reactions
0 Replies
730 Views
Habari Wakuu. Nauliza kwa nia njema, kwa heshima na kwa kutambua ugumu wa majukumu ya uongozi, Kwanini viongozi wengi hawajibu SMS za watu? Sijafika kulalamika, bali nataka kuelewa. Mara kadhaa...
5 Reactions
21 Replies
894 Views
Uzinduzi wa Sera ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001 Toleo la Mwaka 2024 utafanyika tarehe 19 Mei, 2025, Dar es Salaam.
0 Reactions
2 Replies
326 Views
Katika maisha Kuna moments inafika tunakutana na changamoto ambazo kwa namna moja au nyingine automatically zipo juu ya uwezo wetu. Matokeo yake ni pale mtu anafanya mambo mabaya akidhani ndio...
2 Reactions
0 Replies
269 Views
SABATO NJEMA .... "Ee Tanzania, Tanzania… Uwauaye Wakosoaji wako Kama Yerusalemu" Neno Kuu Mathayo 23:35 “Ili juu yenu ije damu yote ya haki iliyomwagika juu ya nchi, tangu damu ya Habili...
1 Reactions
1 Replies
302 Views
Kama kichwa cha habari kilivyo nauliza kama kuna member humu alipata matibabu kwa voda bima ya vodacom hali ikoje na je huduma zote zinapatikana ikiwemo upasuaji,kunywa na meno,uzazi na magonjwa...
1 Reactions
7 Replies
528 Views
Najiuliza hapa Bei ya kuvuta umeme nguzo Moja ni Bei Gani Kuna jamaa wameniambia 1m hivi ni kweli wakuu au wanataka kunipiga maana sielewi taratibu mnaojua mnijuze wakuu@Tanesco
5 Reactions
56 Replies
5K Views
Kuna watu wanakiri kwamba wamepata utajiri baada ya kupewa "dawa" na waganga wa kienyeji au wachawi. Kulingana na Maandiko, inawezekana shetani akakupa mali lakini lazima ukubali kumsujudia...
4 Reactions
12 Replies
798 Views
Habari za jioni. Nimeshindwa kupata usingizi kutokana na wimbi la mawazo. Wakuu Take home yangu 613K Mimi ajira mpya mwaka jana ila nimekuwa na wimbi la mawazo na kuona kama sitaweza kutoboa...
53 Reactions
401 Replies
21K Views
MWANAUME HALII Wanaume wamefundishwa kuwa miamba, wasilie, wasilalamike, wasionyeshe uchungu. Lakini nyuma ya uso mgumu na sauti ya kujiamini, kuna wanaume wanaovunjika taratibu ndani kwa ndani...
9 Reactions
30 Replies
1K Views
Taswira ya kweli ya wanaume wawili waliopigwa picha kutoka Damascus mwaka 1889: Mkristo Samir alikuwa mlemavu wa kupooza na pia alikuwa mfupi. Na Mohammed, Mwislamu kipofu aliyekuwa akimbeba...
2 Reactions
1 Replies
582 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…