Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakati wawekezaji wanaochangia kwa kiwango kikubwa kuzalisha bidhaa ambazo zinapelekea uwepo wa taka rejeshi kwenye mazingira wakiendelea kuneemeka, lakini maisha ya waokota taka hizo yapo...
0 Reactions
4 Replies
585 Views
Kutokana na matukio ya matajiri wa Arusha waliopoteza maisha yao,kumetokea mchanganyiko wa mawazo wengine wakisema ni mabilionea na wengine wakipinga.Bilionea ni mtu ambaye asset zake zimefikia...
1 Reactions
85 Replies
23K Views
Wakuu, Karibuni tufahamu kwa uchache kuhusu nchi ya Finland kuhusu usawa wa haki na maisha ya kazi. Nchi hii imekuwa kinara wa usawa wa kijinsia kwa muda mrefu. Wafinlandi wamezoea kuwaona...
0 Reactions
0 Replies
348 Views
Nimeona kitu kama kimondo juu kinaenda Kasi nikachukulia kawaidatu ghafla kikabarika rangi nakuwa chekundu kinawaka kamamoto kikaanza kushuka chini kamakinadondoka Nikahisi tushashushiwa kiazi...
4 Reactions
52 Replies
2K Views
Leo tarehe 19 Mei, 2025 Ujumbe wa Tanzania kutoka Wizara ya Madini, ukiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo, umewasili jijini London nchini Uingereza kwa ajili ya kushiriki...
1 Reactions
3 Replies
371 Views
Wakuu Nimeamka kutafakari na kuja na hitimisho la tafakuri yangu kuwa ENL alikuwa mtu na nusu Kwanza alikuwa ni msomi na mkimya asiyependa kuonekana sana kwa watu,mchaMungu na mpenda maendeleo...
0 Reactions
0 Replies
224 Views
Utumbo usitupwe. Sisi tunalia ndizi. Ni kitu kitamu sana. Na hilo nadhani wengi hamjajua. Naomba sana Serikali sikivu izingatie suala la kuhakikisha utumbo hautupwi na unatumika kwa sisi wapwani...
1 Reactions
4 Replies
341 Views
Baada ya kudumu na mwanamke miaka 10 tokea shuleni, licha ya migogoro mingi kuwepo kati yangu na yeye, nilishawapa story ndani humu, nirejee kwa ufupi, ni kwamba nilimpatia mimba (kwa mujibu...
11 Reactions
40 Replies
2K Views
Hakika amejiangamiza kwa mikono yake, maana ghadhabu ya aliye juu, italamba ukoo na kizazi hadi kizazi, hawataona ile amani, zaidi ya hofu na maombolezo, asema BWANA, mwenye sikio asikiye, mwenye...
1 Reactions
4 Replies
351 Views
Sio kawaida hii. Nimeskia vishindo vya kutisha juu ya ardhi nilipokuwa naenda kujisaidia haja ndogo. Kiasi Kwamba nimeogopa hata kutizama dirisha la chooni nisije nikaona mambo ya ajabu...
9 Reactions
47 Replies
3K Views
Shalom! Niko mbioni kuanzisha kanisa langu na yafuatayo yatakuwa mambo ambayo nitayafundisha 1. Kwamba ukifa kunakuwa na mzani utakaotumika kupima ubaya na uzuri uliofanya ukiwa duniani na...
7 Reactions
60 Replies
1K Views
Je, umewahi kufikiri dunia inaweza kufutwa kwa dakika ishirini tu? Je, maisha yote tuliyoyajenga – shule, familia, ndoto – yakaisha kwa sauti moja ya kishindo? Huu si utani. Si sinema ya...
0 Reactions
11 Replies
902 Views
Would you advise a Kenyan to emigrate to TZ? I have been thinking hard about it. I work online so basically I'm set economically in the near future, unless something changes. I am ready for...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Wazaramo wasomi wanasemaga “When an apprentice graduates, the master will show up” Hizi hekaheka sio bure, kuna mkubwa wao bado hajajitokeza, haiwezekani hawana hata Cognitive dissonance, tena...
0 Reactions
0 Replies
249 Views
Kuna ndege kama inatumiwa na watu wengine kwa kusingizia kuwa wanaotoa pesa ni watu furani. Ila hii ndege ni kama hipo kusikilizia 2025 someni code
1 Reactions
0 Replies
313 Views
Wanafunzi wa Dar es salaam wananyanyaswa sana na makondakta wa daladala,watoto wanawahi mapema stand lakini hawawabebi na mara nyingine wanawatusi kabisa. Wanaweza kukaa stand takribani masaa 4...
3 Reactions
12 Replies
609 Views
Hiki kitu nimeona sana nchi ambazo majasusi waliobobea wameweza kujiweka na ndevu ambazo si rahisi kujua huyu ni asia au mwarabu wakiwa na lengo lao. Ina maana wazungu wanaweza kubadilika kwa...
3 Reactions
11 Replies
617 Views
Back
Top Bottom