Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Baada ya serikali kuzuia wanaharakati wa Kenya kuingia Tanzania kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa chadema Tundu Lissu, Wakenya wamekosoa tu Wanasema 1. Tanzania tunajivunia mahindi 2. Watanganyika...
3 Reactions
15 Replies
929 Views
Baada ya vuguvugu la mitandao mbalimbali ya kijamii kuvambiwa na wadukuzi (wahalifu wa mitandao), ambao waliweza kudukua mitandao ya kijamii ya taasisi za serikali na ambazo zisizo za kiserikali...
0 Reactions
1 Replies
330 Views
Naomba tulioongelee hili swali, ikiwa we ndo admission officer pale muhimbil (MUHAS) imebaki nafasi Moja tu Kuna mwenye division one point three ya PCB na mwenye GPA ya 5.0 ya clinical medicine...
3 Reactions
67 Replies
4K Views
Wakuu yuko wapi Tally Hunter? msaada tafadhali
1 Reactions
32 Replies
8K Views
Nimekuwa mfuatiliaji wa taarifa za viongozi wanazoweka katika kurasa zao binafsi za kwenye Chanel za WhatsApp. Hizi kurasa ni mbali na zile zinazotangaza kazi rasmi za ofisi zao. Naomba nitoe...
2 Reactions
3 Replies
351 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya ufunguzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa kilometa 3 na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mshindi kutoka Benki ya Exim Tanzania wa kampeni ya ‘UEFA Priceless’ Manjeet Kaur Mair (wa pili kutoka kushoto) akipongezwa na Silas Matoi (wa pili kutoka kulia), Mkuu wa Idara ya Huduma Mbadala...
1 Reactions
0 Replies
250 Views
Mkurugenzi wa TEHAMA wa Vodacom Tanzania PLC, Athumani Mlinga akikabidhi cheti na zawadi kwa mmoja wa washiriki wa programu ya ‘Code Like A Girl’ katika hafla ya kuhitimisha mafunzo hayo jijini...
0 Reactions
0 Replies
227 Views
Siku hizi, kuna kitu kinachoitwa “soft life” – maisha ya raha, bila presha, na kila kitu ni utulivu. Mitandaoni, watu wanajipiga picha kwenye hoteli za kifahari, wanavaa nguo za bei, wakila...
4 Reactions
6 Replies
600 Views
Pesa ina kupa security na guarantee ya kuvuka mipaka mingi sana. Muda unakupa nafasi na fursa zaidi na zaidi. KARIBUNI.
4 Reactions
8 Replies
391 Views
Mimi ni mmoja wa wale ambao waliamini kwamba elimu ni mlango wa mabadiliko. Leo hii nimesimama kama mtu mwenye Master’s Degree kutoka University of California, Berkeley, moja ya vyuo vikongwe na...
4 Reactions
9 Replies
837 Views
Foleni ya Mwenge hali inazidi kuwa mbaya Bado kipande cha Mlimani City imekuwa kero Mtu unakaa kwenye foleni ukijaribu kuchomekea tu uwahi nyumbani faini inakuhusu Kwa hali inayoendelea Dsm ni...
3 Reactions
10 Replies
673 Views
Takribani watu 7,000 wanapoteza maisha yao kila saa, duniani. Takwimu hizi zinashtua, ila zinapaswa kutufanya tufikirie kwa kina kuhusu maisha yetu yajayo. Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Shirika...
5 Reactions
18 Replies
886 Views
Hiki kisa ukienda pale Harvard University watakusimulia wale ma Professor maana ilikuwa gumzo siku hiyo. Mimi sina hili wala lile kumbe Elon Musk ashaambiwa kuwa kuna kijana Black Ame ana akili...
53 Reactions
124 Replies
5K Views
Residents of Mikocheni A are facing a growing health crisis due to a heavily polluted river running through their neighborhood. The river, clogged with waste and trash, poses a significant danger...
0 Reactions
4 Replies
613 Views
IDOLIZE: Unapokuwa mdogo unamuona baba yako kama shujaa yako. Una muweka katika viwango vya juu vya mtazamo na uwepo wake kwako ndio muelekeo wako. DEMONIZE: Ukishaanza kukua unaoona maagizo ya...
2 Reactions
1 Replies
265 Views
Nikiwa Rais wanafunzi wa form four waliopata div 4 na zero wataenda VETA kwa udhamini wa serikali, na watapata ujuzi ambao anagalau utawasaidia kwenye maisha yao Vyuo vya veta vitaboreshwa na...
6 Reactions
35 Replies
1K Views
Mit 16:20 SUV [20] Atakayelitafakari neno atapata mema; Na kila amwaminiye BWANA ana heri. Kila mwamini ana namna yake, tunaweza tukawa ndani ya wokovu tusione umhimu wa neno, na kama tunaelewa...
4 Reactions
2 Replies
322 Views
"KABURI LA AJABU" Kuna kaburi moja linavuma sana... Halionekani kwa macho, halina jiwe wala msalaba. Halipo makaburini, bali linatembea kati yetu. Ni kaburi linalobeba ndoto zilizokufa, vipaji...
3 Reactions
3 Replies
466 Views
Habari zenu wakuu! Nimekuja hapa mwa ajili ya kuomba ushauri kwa sababu wapo watu waliopitia hali kama hii yangu Nilikuwa nafanya kaz kwenye mradi mmoja Usaid sasa baada ya pilika za trump kazi...
28 Reactions
263 Replies
14K Views
Back
Top Bottom