Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kaka tumekuwa wote kijijini Wote tumefeli darasa la Saba Leo hii kaka una v8 3 nyumba Zaidi ya 11 mashamba ndio usiseme maduka ndio kabisa Naomba siri ya mafanikio. Akasema mdogo wangu kuku maji...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakati Mheshimiwa Mbunge wa Kibamba akichangia bajeti ya wizara ya ujenzi 2024/2025 alisema tangazo la tenda ya kujenga barabara ya Mbezi Victoria kwenda Mpigi Magoe limeshatoka. Nimetafuta kila...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) Dkt. Marina Njelekela ametembea taasisi hiyo na kufanya mazungumzo na wajumbe wa Menejimenti ambapo...
0 Reactions
0 Replies
358 Views
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imesema zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura awamu ya pili mzunguko wa pili ulioanza Mei 16 hadi22, 2025 ukikamilika Tume haitaongeza siku za...
0 Reactions
0 Replies
331 Views
MUNGU NI NINI? Zaburi 82:6 “Nilisema, 'Ninyi ni “miungu” “Nilisema, 'Ninyi ni “miungu”; ninyi nyote ni wana wa Aliye Juu Sana Yohana 10:34 Yesu akawauliza, “Je, haikuandikwa katika Maandiko...
0 Reactions
0 Replies
323 Views
Kumekuwa na malalamiko mengi ya wafanyabiashara kuwa, wanauza pesa nyingi lakini mwisho wa biashara hawaoni kitu. Lawama imetupiwa katika maeneo mengi, lakini eneo mojawapo ni eneo la uchawi wa...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu, Kumekuwa na changamoto ya maji takriban week sasa Goba mtaa wa Tegeta A njia ya kuelekea kwa Bedui, na maeneo mengine yote ya Goba maji yamekuwa hayatoki na hata mtaani wanaouza...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Habari wakuu! Nilikuwa nafanya kazi mkoa wa kusini Songea ajira ya mkataba wa muda baada ya mkataba kuisha nilienda kuulizia taratibu za kufungua madai wakaniambia mimi bado kijana nitapata kazi...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Zanzibar. Tarehe 21 Mei 2025: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Benki ya CRDB kwa jitihada zake za kusaidia utekelezaji wa miradi ya...
2 Reactions
2 Replies
340 Views
Ndugu wanajamvi! Kwakuwa haya masuala siyo ya kujivunia wala kujionesha, naomba nikumbushe juu ya habari ya kifo cha waziri mtendaji kama nilivyoota wakati uliotangulia. Pole kwa wafiwa kwa kifo...
8 Reactions
34 Replies
10K Views
Nchi 10 Zenye Idadi Kubwa ya Watu wa LGBTQ+ (2023/2024) | Nchi | Idadi ya LGBTQ+ (Makadirio) | Asilimia ya Watu | Sheria za LGBTQ+ | Marekani | ~31 million | ~9.2%...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
“Jumla ya miradi ya maji 2,331 imekamilika ambapo 1,965 ni ya vijijini na 366 ni ya mijini na hivyo kuboresha upatikanaji wa huduma ya maji vijijini kutoka wastani wa asilimia 70.1 mwaka 2020 hadi...
1 Reactions
4 Replies
474 Views
Mnasamehe et faini za maji! Je,inakuwaje kuhusu Ankara zilizopanda na kuwa juu hasa Arusha na kuwaacha watu katika sintofahamu na maumivu ya madeni ya maji? Huku mamlaka zikiwanyanyasa kwa...
4 Reactions
3 Replies
289 Views
Kumtukana bila sababu. Kumuhusisha na hackers wa Gen X au whoever it is is troubling our country. And this is not the first time the government is arguing with Elon. Recently lilikuwepo tatizo...
0 Reactions
1 Replies
335 Views
Wakuu nina hofu sana na hawa wauzaji wa online, kwa sisi tukio mikoani tunatamani sana kuchukulia dar bei chee, niliwai chukua komputa desktop full set ila nililipia huku huku, sasa changamoto hii...
3 Reactions
56 Replies
1K Views
Kwanini Ulimwengu hauwaadhibu Waarabu na Wazungu kwa Kuwafanya Waafrika Watumwa zaidi ya Waafrika Milioni 200 kwa zaidi ya miaka 1500? Hapa kuna Watu hawaelewi maana ya Asili ni Nini na kwa namna...
0 Reactions
2 Replies
544 Views
Gb 10 bure kwa wenye voda na halotel Kabla sijakuja kuendelea ngoja niwape mchongo kizuri kula na Mwenzio tigo na halotel sahivi wanatoa ofa ya Magb ya bure Unachotakiwa kufanya kama ni tigo...
32 Reactions
293 Replies
131K Views
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa amesema kuwa baadhi ya akaunti za mitandao ya kijamii za taasisi za Serikali zilidukuliwa kutokana na udhaifu wa taratibu za kiusalama...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Nchini Denmark, watoto hujifunza kuendesha baiskeli wakiwa na umri wa takriban miaka 3. Baiskeli hizo huwa na magurudumu ya mafunzo hadi atakapoweza kushikilia usawa wake. Kisha, wanapokuwa...
3 Reactions
15 Replies
683 Views
Kam wamezuia maana yake hawataki watu wa access, sasa taasisi za serikali zinapo tweet taarifa kwa uma zinalenga nani azione? Au account ya Rais inapo tweet? Pia soma...
1 Reactions
4 Replies
747 Views
Back
Top Bottom