Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nchini Finland, huduma za afya na ustawi wa jamii hutolewa kwa ufadhili wa serikali kupitia mfumo wa kijamii wa kitaifa. Kwa sababu hii, gharama za huduma kama kumuona daktari, kulazwa hospitalini...
2 Reactions
28 Replies
1K Views
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Kondoa pamoja na wananchi wa Kata ya Haubi, wamefanikisha operesheni...
0 Reactions
4 Replies
373 Views
Hii tabia ni mbaya inaleta hatari sana pasipo watu kujuwa athari hutokeaje,lakini kwa wote wawili yani abiria na dereva ni hatari sana. Kwa upande wa dereva hawezi kuizuia ajali ambayo ingeweza...
2 Reactions
5 Replies
534 Views
Hata Idd Amin alitaka haki kwa kuwafanya wajinga waislamu. Huyu anakwambia wanaharakati wanamakosa ila hapo hapo ndio mtu wa kwanza kulalamika palestina na waislamu wanaonewa. Alitaka...
2 Reactions
8 Replies
479 Views
KATI YA MZAZI NA MTOTO NANI ANATAKIWA KUMFAFUTA MWENZAKE? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Baadhi ya wadau walinipigia simu katika nyakati tofautitofauti wakiwa na visa binafsi tofautitofauti...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Nimesoma hii habari toka millard ayo ila sijasikia sehemu yoyote kwenye vyombo vya habari kuthibitisha. Ili sakata la kesi ya lissu ili kuzimisha mikusanyiko ya watu na kufanya kesi ya lissu...
2 Reactions
8 Replies
579 Views
Serikali imesema huduma za afya ya akili zimeshajumuishwa kwenye vifurushi vya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), na hivyo wananchi wanaonufaika na bima wanaweza kupata matibabu hayo kwa...
1 Reactions
5 Replies
850 Views
Ripoti kutoka BBC... India is home to 1.4 billion people but around a billion lack money to spend on any discretionary goods or services, a new report estimates. The country's consuming class...
1 Reactions
2 Replies
537 Views
Kwanini mtu akitoa au kutuma pesa, kwa mfano, kiasi cha 100,000/= hakatwi gharama "in terms of percentage" bali anakatwa gharama kwa mfumo wa "range" from this amount to that?? What's the...
3 Reactions
14 Replies
716 Views
💭 Hakika Wa afrika tuko Vizuri umesikia kuhusu mdada mmoja toka kenya aliyefanya mapinduzi ya kipekee kwenye Teknolojia aiseeh!!. 💭 Mjasiriamali mmoja toka nchini Kenya ameanzisha Kampuni yake...
1 Reactions
0 Replies
302 Views
Utangulizi: Mwalimu Aliyepitwa na Wanafunzi Wake Ulaya. Bara lililowahi kuwa kitovu cha maarifa, maendeleo na utawala wa dunia. Waliwahi kuja Afrika wakiwa kama walimu, wakitutazama kama...
1 Reactions
12 Replies
760 Views
Katika Maisha uwezi kua na Kila Kitu, Kile una choona Mungu Amekujaria mshukuru Mungu kwa Hicho ulichopata.
1 Reactions
8 Replies
404 Views
Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) Wakili Onesmo Olengurumwa, amelishauri Jeshi la Polisi kutoa taarifa kwa umma juu ya wapi walipo Wanahabari Boniface...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe ki mdahalo (debate), wakati wowote. Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada...
39 Reactions
314 Replies
13K Views
Marekani ingeweza kuivamia Afrika vipi? Ni mikakati gani ambayo Afrika ingeweza kutumia kujilinda? Na gharama ya vita hivi ingekuwa kiasi gani? Katika uchambuzi huu, tunachunguza hatua kwa hatua...
0 Reactions
4 Replies
618 Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu amesema kwamba hawaogopi kukabiliana na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye uchaguzi Mkuu 2025 kwamba Chama hicho kitashiriki...
7 Reactions
63 Replies
3K Views
Kuna mambo yanafurahisha sana . Yaani watu wanakusifia wewe kwa kufanya kitendo flani kibaya . Kitendo hicho kibaya aliyekusifia yeye mwenyewe hakifanyi. Hii kwa wenye akili inaonyesha huyo mtu...
3 Reactions
4 Replies
553 Views
1. "Napenda kuwaambia wale wanaodhani siasa haiwahusu, Moja ya madhara ya kukataa kujihusisha na siasa ni kwamba utaongozwa na watu uliowazidi akili. Na kwa upungufu wao wa akili watafanya maamuzi...
6 Reactions
27 Replies
10K Views
Leo hii dunia nzima inaishangaa Afrika kwa mambo mawili makuu : La kwanza ni umaskini wake, na pili jinsi lilivyojikita katika mambo ya Imani . Bara pekee lenye idadi kubwa ya watu wanaoishi kwa...
1 Reactions
1 Replies
491 Views
kuna mpango gani wa Siri wa Uwepo wa Magugu maji katika kivuko cha KIGONGO-BUSISI eneo MWANZA serikali haioni haionj jambo hili?? Magugu maji ni majani yanayoota na kuelea ndani ya maji na...
1 Reactions
3 Replies
463 Views
Back
Top Bottom