Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna jambo limekua likinifanya nijiulize kuhusu maisha yetu katika kizazi hiki. Leo mtu akifungua Instagram, TikTok au Facebook, anaona watu wakisafiri, wakinunua magari, wakijenga nyumba na...
1 Reactions
1 Replies
81 Views
Spika wa Bunge la Afrika Kusini Angela Thokozile Didiza akizungumza katika mkutano maalumu wa ngazi ya juu wa kundi la Afrika la IPU alimtaja na kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa...
0 Reactions
0 Replies
70 Views
guest-1791669434
Wahitimu wa shahada ya uuguzi kutoka UDOM wanakabiliwa na changamoto ya incomplete kwenye matokeo yao ya mwaka wa pili hali inayosababisha matokeo yao kucheleweshwa TNMC na hivyo kukosa uhalali wa...
0 Reactions
0 Replies
61 Views
Inasikitisha sana, naandika huku kama nataka kulia kwa uchungu. Yule kijana wa morogoro amekaa zake dukani kapigiwa simu, kaka wahi kwako wanatoa vitu ndani watu wa mkopo, jamaa kafunga duka...
0 Reactions
1 Replies
82 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nikiri wazi kuwa Tangia nimepata fahamu vyema mpaka hapa nilipofika sijawahi kushuhudia Tetemeko kali la Ardhi kama nililoshuhudia usiku huu wa manane. Ni Tetemeko...
13 Reactions
52 Replies
5K Views
Mjini kila mtu ni mteja, kila shida ya mtu ni fursa kwa mwingine, kila pesa yako lazima itumike na hayo maisha yako ndio mtaji kwa wegine.
0 Reactions
7 Replies
188 Views
Habari Wakuu, Ni muda sana nimekuwa nikipitia hii hali na inaniumiza sana nimeona nishare hapa ili niweze kupata ushauri wenu. Nina jirani yangu ambaye hatuna mazoea sana ila anafahamu kazi...
2 Reactions
0 Replies
60 Views
  • Redirect
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amezungumza na wawakilishi wa Kampuni za SpaceX na Starlink kuhusu uwekezaji wa kampuni hizo nchini Tanzania katika sekta ya mawasiliano na teknolojia. Kikao...
0 Reactions
– Replies
– Views
Naombeni Ushauri Nipo Singida,Kama Mvua zitakuwa ni nyingi naweza kupanda zao gani nipo wilaya ya Ikungi
4 Reactions
34 Replies
425 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ametoa wito kwa madereva kufuata sheria na kanuni za usalama barabarani baada ya kushughulikia mashauri ya madereva waliowasilisha malalamiko...
1 Reactions
0 Replies
201 Views
Wakuu, nchi hii imefika mahali ubepari unazidi kutawala sana. Hivi karibuni tumemsikia Mkuu wa Wilaya ya Temeke akitoa kauli ya dharau kubwa kuwa "bandari haihami, lakini binadamu tunaweza...
16 Reactions
85 Replies
1K Views
Nilikuwa na mke wa ndoa tukakubaliana tuachane kipindi sina kitu, ila alivyo ona mimi sio fala akanidanganya tuachane tu ila ndoa tusivunje🤔 Eti kigezo kuwa yeye kaajiriwa nitatumia bima...
12 Reactions
59 Replies
633 Views
Wanabodi habari..... Tumekua tukilalamika sana lakini hatusikilizwi juu ya upataji wa tiket za SGR... mfano mzuri ni lalamiko la Afande na ASKOFU Fulani hivi... toka jana najaribu kukata tiketi...
12 Reactions
21 Replies
448 Views
✅Serikali yakusudia kukamata fursa uwekezaji barani Ulaya. ✅Ndio suluhisho la kiutafiti ajira za staha kwa Watanzania. ✅Ni wakati ulimwengu ukifuatilia agenda za Dunia Tanzania.
0 Reactions
2 Replies
52 Views
Nipo mapumziko mkoani Tabora wakuu, tetemeko ndio kwanza limemalizika kupita hapa mkoani Tabora. Vipi huko kwenu hali ipoje, na hakuna madhara..? Pia soma: Tetemeko kali la Ardhi latikisa Mkoa...
7 Reactions
40 Replies
2K Views
Nipo mitaa ya 88 mji kasoro bahari mida hii 12:31 - 12:32 Pm limepita tetemeko la ardhi japo kipimo chake hakijajulikana, labda mamlaka husika zitasema. Enjoy your day guys Pia soma: Tetemeko...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Taarifa GST inapenda kuutangazia umma kwamba kumekuwa na matukio ya matetemeko ya ardhi katika maeneo ya wilaya ya Manyoni kwenye mpaka kati ya Mkoa wa Singida na Dodoma yakiwa na ukubwa wa 4.3...
3 Reactions
54 Replies
6K Views
Waandishi nguli wa habari za michezo kutoka sehemu mbalimbali duniani wameendelea kuvutiwa na uzuri wa vivutio vya utalii nchini Tanzania baada ya kufanya utalii wa baluni katika Hifadhi ya Taifa...
0 Reactions
0 Replies
47 Views
Kuna Haya mafunzo ya udereva kwa wale ambao ni wamiliki wa leseni kwa muda wa wiki mbili?? Je vyeti ambavyo vinatolewa vinatambulika na serikali?? Je vyeti hivyo vinaweza kutumika kama sehemu...
2 Reactions
32 Replies
454 Views
Wana wa manabii ni akina nani Katika biblia tunasoma sehemu kadha wa kadha zikiwataja “wana wa manabii”. Katika Agano la Kale, lilikuwepo kundi la watu waliojulikana kama Wana wa Manabii...
0 Reactions
2 Replies
116 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…