Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna jambo ambalo nimekuwa nikilitafakari kuhusu tabia za watu katika jamii yetu. Tunapozungumzia rushwa, unafiki, ubinafsi, udanganyifu na kupotea kwa uaminifu, mara nyingi tunahitimisha kwamba...
1 Reactions
1 Replies
67 Views
Kuna wakati ni bora ujilipue lolote litakalotokea, litokee tu. Hii nchi, ukiwa mfanyabiashara, wakati mwingine ni kama umetangaza vita na serikali. Kuna mifumo kandamizi sana kwa wafanyabiashara...
73 Reactions
168 Replies
6K Views
Biashara ya duka la dawa muhimu , asilimia kubwa wanaoifanya wanaifanya kinyume na sheria. Yani hii biashara wengi wanaiendesha kinyume na matakwa yanayotakiwa hivyo wengi wanaiendesha kiujanja...
2 Reactions
17 Replies
410 Views
Habari za wakati huu wadau wa JF, Huku Kivule tangu jana usiku saa 4, Tanesco wametukatia umeme mpaka saa 7. Sasa cha ajabu zaidi ni kwamba tangu muda huo wanakata umeme na kurudisha; haipiti...
0 Reactions
8 Replies
265 Views
Nina tatizo hapa,shemeji yangu kawapigia TANDAO FULANI kwa simu ya kwangu ambayo yamezani na kuwalaghai password na huo mtandao waka reset password na kaweka mpya kisha kaamisha fedha zote. Mimi...
5 Reactions
13 Replies
221 Views
Mtoto yeyote yule wa mjini hakai kindezi , lazima awe mtu wa kuchungulia huku na huku kuangalia michongo yake . Pia huwezi jua siku wala saa siku utakayoingia wavuni mfano kupata kesi kubwa na...
3 Reactions
19 Replies
237 Views
Huyu anatesa sana Watanzania imagine. Leo nimepita sehemu mada ni kwamba jamaa kiwandani kwake hapa Dar es Salaam analipa 4000 yaani elfu nne Hivi wadau hii ni kazi au mateso na unakuta mtu...
45 Reactions
580 Replies
18K Views
Ebana iko hivi hizi gari zinazouzwa bongo na kilomita 56,000 ni unapigwa. Ukitafuta Japan au UK nyingi utapata zina 150,000, 230,000 hadi 300,000 kilomita. So hizi za bongo kama huwezi ku verify...
1 Reactions
1 Replies
72 Views
Naombeni mwenye utaalamu wa jinsi ya kuandaa miche
2 Reactions
3 Replies
51 Views
Na ndio sababu tuna visingizio na lawama nyingi !! Ukiangalia maisha yetu kwa karibu, utaona hii tabia ipo kwenye maeneo mengi. Deadline ikikaribia ndio kazi inaanza. Mtihani ukikaribia ndio...
1 Reactions
0 Replies
67 Views
Habari WanaJF, Tunatambulisha NEXTGAMIS ABS --- mfumo wa kusimamia, kuendesha, kutunza kumbukumbu, na kufuatilia ukuaji wa biashara ya uwakala wa fedha kupitia mitandao ya simu na benki...
1 Reactions
1 Replies
107 Views
Kijana murij mkazi wa mbeya ametambulika kua aliwahi kua mwanafunzi wa shule ya iyoto mbeya, na amesoma na baadhi ya watu maarufu akiwrmo aunty lulu. Murij alikua akiishi na mpenzi wake Binti kwa...
3 Reactions
44 Replies
678 Views
Ona Jinsi wanyama au ndege wa usiku (kama bundi, paka weusi, au popo) wanavyotumiwa kiimani kama "wajumbe" au "mashuhuda" wa mikataba ya kishirikina inayowekwa kwenye viwanja vya watu. Thats why...
13 Reactions
56 Replies
664 Views
Nimewaza kuhusu members wenye shida jf , ni mekuja na huu uzi kwa wale members wenye kuhitaji connection ya kutoka kimaisha πŸ€” Jf tumekua na changamoto mbalimbali , binafsi nimevuviwa...
38 Reactions
221 Replies
2K Views
Wanawake wa kichaga ni matatizo matupu. Kwao kila mtu ni buzi wa kuchunwa na kuwapelekea ndugu zao wavivu wa kutafuta. Matokeo yake watu wanaishia gerezani kwa mauaji. Dawa ni kutowaoa kabisa...
1 Reactions
5 Replies
167 Views
Wakuja town wanatafuta kazi badala ya kutafuta PESA. Hawajui kupata kazi ni kazi sana kuliko kupata pesa. Wengi hapa mjini wana pesa ndefu lakini hawana kazi/ajira SHTUKA.
5 Reactions
21 Replies
196 Views
Miaka imesonga sasa badilisheni baadhi ya mambo muendane na ulimwengu wa kidigitali mambo kama; 1. Mwenge wa uhuru na kuwatoa wanafunzi mashuleni na kuwapanga msululu yamepitwa na wakati 2...
3 Reactions
7 Replies
99 Views
Wakuu, kuna jambo nimekuwa nikilitafakari sana. Katika maisha haya tunahangaika kutafuta pesa, heshima, mali, nafasi na kutambulika. Tunajenga nyumba, tunanunua magari, tunatafuta followers na...
42 Reactions
250 Replies
2K Views
Kama kuna mtu kamaliza secondary 2022 naomba tujuane tafadhali Mimi naitwa YAHAYA FADHILI HUSSEIN. kama kuna mtu yoyote kamalliza secondary huo mwaka apo.. Hapa naongea na GENERATION Z ...πŸ™πŸ™πŸ™πŸ˜πŸ˜
2 Reactions
10 Replies
95 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…