Huenda vijana wa kisasa tunapitia changamoto kubwa za kidigital ni kwamba fursa zimekuja kutengeneza changamoto nyingi zaidi,uhalisia umefichwa na uongo unadhihiri pa kubwa.
Sikushangai unavyobet...
GTs,
Naona mambo yanaenda kuwa mabaya. Yezebeli alitumia vyombo vyake vyote kuhakikisha anaangamiza waliotumwa na Mungu kumletea ujumbe, ila mwisho wa siku yeye alivyofariki mwili wake ulikuwa...
Mara nyingi uchaguzi unapokaribia, hisia huwa za kuchanganyikiwa. Wapo wanaosubiri kwa hamu kutimiza haki yao ya kidemokrasia, lakini wapo pia – kama nilivyokuwa mie – waliopoteza imani na...
Kupanga ni kuchagua
Kuna vijana tuliamua kulima Kwa bidii na Sasa tunavuna na Mungu amejalia mazao yamekubali na bei Iko poa mno
Nawapongeza serikali hasa sisi watu wa mkoa wa Kagera tumepata...
Watoto wa Saddam Hussein, hasa Uday Hussein na Qusay Hussein, walijulikana kwa kutumia madaraka ya baba yao kwa namna ya kikatili na ya kupindukia, na walihusishwa na vitendo vingi vya...
Hivi karibuni ni kawaida kukuta wanauma wenye miaka ya mid 30s 40s 50s eti wana pressure kisukali magonjwa ya Moyo vidonda vya tumbo nk. Visababishi vikuu ni mshahara mdogo vs maisha ya juu...
Naandika Nikiwa nalenga nyanja ya malezi, Mapenzi, siasa, uchumi na kila nyanja inayohitaji character yako asilia ili kudeliver kile kitu kinapaswa... matharan unapolea watoto heb kuwa vile...
Wanabodi leo ni Juni 1, 2025. Nusu ya mwaka imekatika.
🎯 Malengo Yako Mwaka 2025 – Je, Upo Njia Sahihi?
Tukumbushane wanabodi.
Muda hausubiri mtu; na uzee ndiyo unasogea.
Ni wakati mzuri wa...
Nchi ya Botswana ni mfano mzuri wa nchi yenye rasilimali moja kuu — almasi — ambayo imeweza kutumia vizuri rasilimali hiyo kuwasaidia wananchi wake kuwa na ajira na kuboresha maisha yao kwa...
Huyu jamaa anayritwa Ngugi wa Thiong'o kama walivyo activist wengi ambao nawaona fake, alikuwa akijinadi na kuitwa pia mkosoaji wa mabeberu, akijidai kukosoa mifumo ya elimu na lugha ya Kiingereza...
Tujibu Hoja kwa Hoja, si kwa Kejeli
Ni muhimu tujenge mazoea ya kujadili hoja kwa hoja. Mtu anapowasilisha hoja, si busara kuikwepa kwa kuuliza kwa nini hakuzisema enzi za utawala fulani.
Swali...
Mpaka sasa hakuna mtu aliyejibu hoja za Gwajima, zaidi ya yote wamemkejeli na kumtukana na wengine kumdhahaki, Rais naye leo kaja kupigilia mstari kuwa watu hataki watu wanaohoji mstakabali wa...
Habari wanajamvi, eti kuna njia ya kupunguza mzigo wa majitaka kwa njia mbadala.
Kuna mtu kanishauri ninunue chumvi kg 5 , chlorine lita 1 na chokaa kg 5 nichanganye pamoja halafu nimwage ndani...
Kuna watu wanamlaumu Nyerere kwamba alijilimbikizia madaraka, kujiweka kama mtawala wa kiimla na hatimaye kutuachia mfumo huo mpaka sasa ambao tunahangaika nao. Ni kweli alifanya hivyo lakini...
Mpo Salama!
Nilikuwa napitia orodha ya vijana wa Chadema na wanaharakati waliouawa, wengine kupotezwa kusikojulikana. Ni wengi.
Na imechukua muda mrefu Sana.
iko hivi; kwenye suala la Ukombozi...
"The total road network length in Tanzania is 181,190 kilometers (112,590 miles). This includes 36,760 km of national roads and 144,429 km of district roads"
Nikiwa Rais kutatengwa zaidi ya...
Kila asubuhi tunayofungua macho ni golden opportunity – ni zawadi ya bei ghali mno kutoka kwa Mwenyezi Mungu, ambaye hakutuamsha kwa bahati mbaya, bali kwa sababu kubwa sana. Mungu hakuipeleka...
Tukiwa hai tutakumbushana.
Siasa ni mchezo wa soka ukiwa madarakani ila ni mchezo wa kubet ukiwa haupo madarakani, na kama ukiwa mpinzani (haupo madarakani) na siasa zako za kubet unakuwa mtu...
Wakati Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla akisema kuna mabasi 200 yaendayo haraka yanayoyotarajiwa kuanza kazi katika barabara ya Mbagala, Mkurugenzi...