Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limeeleza kuwa linaendelea kufanya uchunguzi wa kifo cha aliyekuwa msanii maarufu wa vichekesho na mshereheshaji, Emanuel Mathias, maarufu MC Pilipili kilichotokea...
1 Reactions
11 Replies
412 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametangaza uteuzi na uhamisho wa Mawaziri na Naibu Mawaziri, pamoja na mabadiliko ya miundo ya baadhi ya wizara...
3 Reactions
6 Replies
279 Views
Mfanyabiashara Davis Mosha ameacha na mke wake wa ndoa aliyeishi naye kwa miaka 28 amekwenda kufoji nyaraka za kampuni hukumu imetolewa mke hajapewa urithi hata pini. Masikini ya Mungu Huyu...
43 Reactions
909 Replies
114K Views
Umu JF nimetembelea majukwaa tofauti tofauti. Ila kuna kitu kimenishangaza sana Nimeona kuna mijadala ya UKATILI DHIDI YA WANAWAKE Ila nimeshangaa zaidi kuona hakuna jukwaa la[UKATILI DHIDI YA...
4 Reactions
12 Replies
96 Views
Taarifa zilizotufiukia hivi punde katika chumba chetu cha habari, zinaeleza kuwa mchekeshaji na mshereheshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias almaarufu MC Pilipili, amefariki dunia...
16 Reactions
337 Replies
15K Views
Kuna hatua katika maisha ambayo ukifika, unaacha kuelezea watu mipango yako na kuanza kuitekeleza kimyakimya. Si kila anayejua unachopanga anapaswa kujua unachokifanya, na si kila anayekuuliza...
3 Reactions
11 Replies
154 Views
Anonymous (9651)
Benki hazitoi taarifa za kutosha kuhusu makato ya akaunti, kama vile ada za kadi na makato ya kila mwezi. Mara nyingi, mteja hushawishiwa kufungua akaunti bila kuelezwa kwa uwazi gharama zote...
2 Reactions
0 Replies
131 Views
Nani kamuua mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias, maarufu MC Pilipili pengine ndio swali linalogonga vichwa vya wengi kwa sasa. Nani amehusika kwenye mauaji yake na kwa nini...
8 Reactions
61 Replies
4K Views
SULUHISHO LA TATIZO LAKO LA KUKOROMA NI MOJA TU; JIFUNZE KUHEMA KWA KUTUMIA MDOMO UKIWA UMELALA ILI HEWA ITOKE NA KUINGIA KWA UHURU. Hili la kuacha mdomo wazi siku kicha linaweza kuwa gumu...
12 Reactions
49 Replies
495 Views
Dada wa marehemu mchekeshaji na mshereheshaji maarufu nchini, Emmanuel Mathias maarufu kama MC Pilipili, aliyefariki dunia Novemba 16, 2025 jijini Dodoma, amesema kuwa siku ya jana baada ya...
5 Reactions
67 Replies
4K Views
Msemaji wa familia ya marehemu Emmanuel Mathias maarufu 'MC Pilipili', Paschal Maingu amesema taarifa aliyoipata kutoka kwa ndugu inasema marehemu amefariki kwa mateso na mwili wake umekutwa na...
7 Reactions
38 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavyoonyesha hapo hii ni baada ya new updates kuwa sumbufu pia kama kuna app nyingine bora zaidi wasilisha ...weekend bila muvi ni michosho
1 Reactions
5 Replies
119 Views
Mikopo ya 10% Wanawake na Vijana Kigamboni tumesainishwa mikataba tangu September lakini mpaka leo hatupewa fedha. Sisi vikundi vya wanawake na vijana katika halmashauri ya wilaya ya Kigamboni...
1 Reactions
0 Replies
140 Views
NDUGU WATANZANIA HASA WANAUME NAOMBA TUBADILIKE. HATA KAMA TUMEUMBIWA MATESO.KUNA VITU KAMA HESHIMA NA UTI USIPOKUWEPO AU KUUPATA KUTOKA KWA MWANAMKE HALI YA HEWA HUMO NDANI ITAKUWA YA MVUA ZA EL...
5 Reactions
11 Replies
103 Views
Kuna mambo nayaangalia kwa kina na kwa uelekeo kuhusu kanisa kwa ujumla napata ukakasi. Kanisa limekuwa kama kijiwe na kijiwe kimekuwa kanisa. Inawezekanaje kanisa linashindwa kukemea ushoga...
3 Reactions
16 Replies
113 Views
Kuna level ya Uoga na kujali maneno ya watu nilisha ivuka, so kama mnadhani hizi nyuzi zenu za kimkakati wa kunipakazia ujinga humu jukwaani zitanitoa mchezoni mnajidanganya sana Naona mnakazana...
3 Reactions
38 Replies
361 Views
Sala na maombi hazijengi nchi. Hakuna nchi yoyote duniani ilijengwa kwa sala na maombi. Wagwan! What's up! Was geht ab! Economic comparison 👇 Americans: Let's Dominate Chinese: Let's Produce...
32 Reactions
293 Replies
3K Views
Huyu jamaa angempa hata teni
2 Reactions
8 Replies
118 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…