kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,666
- 4,365
Hivi nafikiria kabisa kwa undani
Sheria ya kuoa mke mmoja kwetu sisi wakristo imetoka kwa Mungu au kwa wanadamu?
Kama ni kwa Mungu je Mungu alishindwa kabisa kujua kuwa mwanaume hawezi kutulia na mwanamke mmoja?
Hiyo sio tamaa ni kama nature yetu sisi wanaume.
Kwa wale ambao wameoa tayari wanajua ichi kitu kuwa hakuna mwanaume anaweza kuishi na mwanamke mmoja.
Na ukiona Ana mke mmoja huyo jua atakuwa na michepuko mpaka basi.