Habari,
Nina mdogo wangu amechaguliwa kwenda Mpwapwa JKT. Naomba kufahamu namna ya kufika kambini. Mdogo wangu yupo Dodoma mjini. Akiwa anatokea Dodoma kwa usafiri wa bus ashukie wapi? Je kambi...
DCEA yataja njia sahihi za kukabiliana na adhari zitokanazo na dawa za kulevya.
PCCB na Sekretariati ya MAADILI ya viongozi wa umma yasisitiza uwajibikaji kwa Watendaji na viongozi ngazi ya Wilaya...
Ujenzi wetu upo sana katika misingi ya kufinya bajeti.
Siwezi kulaumu yoyote kwa maana hali ni ngumu kiukweli.
Ila hali hii isitengeneze kama jadi fulani hivi sasa maana tunaishia kugharamika...
Umri wa kuishi nchini Finland ni mrefu ikilinganishwa na mataifa mengi duniani, ambapo wanaume huishi wastani wa miaka 79 na wanawake miaka 84.
Tofauti hii ya miaka mitano kati ya jinsia...
Hivi utajisikiaje ukiwa umepanda Ndege halafu unasimama kama kwenye mwendokasi freshi sio!!
Shirika moja nchini Ireland linaitwa Rynair limeleta safari za ndege za gharama nafuu kwa kuweza...
Hakuna hatua yoyote wala chombo chochote kinaweza kuhoji sasa.
Yani nguvu kubwa mnayotumia kuteka wanaharakati,kudeal na lissu na wengine wanaouliza na sasa mnamatokeo.
Enzi zetu kupata kazi kama umesoma haikuwa '' a big deal''...sasa watu wengi walikuwa na maringo ya kuchagua mikoa ya kufanya kazi....kuna baadhi ya maeneo mtu akipangwa na kazi anaacha kabisa...
Tutakumbuka siku chache zilizopita ilisambaa barua iliyoashiria chuki, ubaguzi wa Kidini wa watendaji wa Serikali (Tume ya utumishi wa walimu - Muleba Kagera) kwa kukataa kumpatia barua ya...
Huyu Mkenya anamiliki pori lililopo karibu raia ambapo Kwa mbele ya Hilo pori shule ya West Gate Secondary ya wanawake, nyuma ya shule hiyo kuna pori kubwa linalofuga wezi na majambazi...
Akiona ana data anawasha. Kisha anaenda kwenye address au kwenye app ya explore au chrome. Kabla haja sign in anatoa ubongo anaweka pembeni kwenye kibakuli kichafu au kopo la chooni. Ndo anakuja...
kama kawaida ya CcM ukiwauliza leteni hoja wao ni kusimanga chama kitakacho kuwa mwiba kwao tena na kutunga.
Sasa leo dodoma tumethibitisha yale ya Idd amin kule uganda yule marehemu alikuwa na...
Kuhani Musa Richard Mwacha anasema aliyemuweka Rais Samia kwenye kiti cha urais ni Mungu, kama mnaona kuna mambo ambayo anapaswa kuyafanya ili kuwafurahisha muombeni Mungu aliyemuweka pale, ili...
Katika jamii yoyote inayojitambua, wakili ni zaidi ya mtaalamu wa sheria—ni mhimili wa maadili, sauti ya wanyonge, na mlinzi wa utu. Lakini leo, mbele yetu amesimama kiumbe mpya: wakili msomi...
Swala la katiba Mpya lilianza kupigiwa kelele na kupamba moto toka enzi za Kikwete akaingia magufuli naye akasema yupo kwenye mchakato wa kukamilisha, Mzee Magufuli alahudumu miaka yake 5 akaaga...
Wanasema mwanadamu ametokana na udongo — lakini udongo wa maskini huonekana kuwa wa thamani pungufu. Ni kana kwamba aliumbwa si kuishi, bali kubeba, kutumikia, na kuteseka. Misuli yake ni injini...
Kwa mtazamo wangu mkuu wa Majeshi, aliepita ( Mabeyo).ameweka Alama au histolia kwa Majeshi ya Afrika, ninachowaza ni kua ameacha Alama na Elimu kwa Majeshi mengine ya Afrika.
Na hili nimeliwaza...
"Miaka ya 4500 kabla ya Kristo, wakati jamii zilipoanza kuelimika, askari walijitolea kwa moyo wa dhati kuilinda jamii dhidi ya watu wabaya. Walikuwa ngao ya wanyonge, walinzi wa haki na utulivu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.