Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Pale Ubungo Plaza nilifanyiwa hivyo mara ya kwanza....nikasema poa ngoja na kesho nije nione ...ikawa yale yale... Nikaa siku mbili nikaenda tena na laki mbili nikafika dirishani kwa yule dada...
16 Reactions
19 Replies
1K Views
Kuna wimbi kubwa la wamama wanakuja mjini kuomba wakiwa na nguvu zao wala si wahitaji kwa maana wana uwezo kufanya kazi haya maeneo niliyotaja wamefanya kama vijiwe vyao yaaani wanasumbua sana...
4 Reactions
7 Replies
458 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), Mhe. Balozi Dkt. Mpoki Ulisubisya, akisaini kitabu cha maombolezo kwa heshima ya aliyekuwa Daktari Bingwa wa Radiolojia...
3 Reactions
6 Replies
721 Views
Mtu kalipia zaidi ya miezi 2 huu unaenda wa tatu ila hakuna huduma, majibu mnayonipa ni ya hovyo huduma kwa wateja ni ya ovyo umeme kufungiwa nyumbani kwake mpaka anyooshe mkono au? Kuna watu...
2 Reactions
5 Replies
373 Views
Kinachonishangaza ni kwamba wanafanya uchaguzi mwaka 2027, but wapo busy as if uchaguzi unafanyika July 2025!... Jamii ya magharibi ilituweza sana kutupatia mfumo ambao baadhi bila kujielewa...
1 Reactions
16 Replies
618 Views
https://youtube.com/live/YybY9DT4-As?feature=share https://www.youtube.com/watch?v=sS8BGd_1yRA&pp=ygUKbWFlbGV6byB0dg%3D%3D Leo Mei 30, 2025 ni Siku ya pili ya Mkutano wa Afrika wa Utawala wa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
●Maulid Kitenge, Shaffih Dauda na DJ Joozy wapata sehemu ya Uzoefu katika Maisha kwa kwenda Munich Kwa Hisani ya Kampeni ya Heineken ya "Cheers to the Hardcore Fans" Dar es Salaam, Tanzania...
1 Reactions
2 Replies
433 Views
Anonymous
Habari, Stendi ya Mbezi Chini kumekuwa kero kiukweli, sio magari au watembea kwa miguu yaani wafanyabiashara wamepanga bidhaa zao hadi kwenye barabara kabisa. Wengine wameegesha kabisa mabanda...
3 Reactions
9 Replies
738 Views
Ndugu zangu hii naiona wilaya ya Nkasi iliyoko mkoani Rukwa , wilaya hii ni ngumu sana kupata uhamisho hasa kupitia mfumo wa Ess ambao uliletwa mbali na shughuli nyingine kumrahisishia mtumishi...
1 Reactions
8 Replies
692 Views
Tangu mazuji app yenu haifanyi kazi, Simbanking nako haifanyi kazi, mpigiwa simu mnadai IPO kwenye matengenezo. Matengenezo gani hayo hayamaliziki? Mnaboa mnooo
2 Reactions
7 Replies
435 Views
Nilishawahi kuandika kuhusu hii shule, walimu hawafundishi, hawaingia darasani, headmaster haonekani shuleni, hajui kinachoendelea ktk shule anayoiongoza. Inaumiza, inasikitisha jinsi watoto wa...
10 Reactions
68 Replies
4K Views
Helllo JF.... Nilikuwa na wazo... Tanzania (serikali) iwe na mtandao unaotoa distant couurses za ufundi... Ziwe free ku tackle shida ya ajira... Nimeona course kama Graphic designs...
10 Reactions
34 Replies
1K Views
WAKAGUZI wa Migodi ya Madini na Baruti wametakiwa kufanya kazi kwa weledi, kuongeza ufanisi na kufuata taratibu na sheria za nchi katika utoaji wa huduma. Hayo yamesemwa leo Mei 29, 2025 na...
1 Reactions
3 Replies
359 Views
Tarehe 17 may,2025. Kuna mwananchi mmoja kata ya Reha,Kijiji Cha Nessae wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro alichomwa moto na mwanachi. Jeshi la polisi lipo kimya na tunazo Taarifa kua wanataka...
1 Reactions
6 Replies
547 Views
Habari? Katika harakàti zangu za kufuatilia habari mitandaoni Huwa napitia pitia mtandao wa Facebook nilichogundua vifo vingi vinatokea vya watoto wa 2000 RIP zimekuwa nyingi mno mpaka najiuliza...
14 Reactions
59 Replies
3K Views
Wazee habarini. Aisee kwa wale waliokuwa wanatangaza matangazo kupitia facebook,google,toka wafanye mabadiriko yao mambo yamegeuka na kuwa magumu sana. Yani unatangaza hupati matokeo...
3 Reactions
18 Replies
854 Views
Anonymous
Mimi ni mwalimu wa Halmashauri ya wilaya ya Kasulu DC , Kumekuwepo na sintofahamu kuhusu pesa za likizo za walimu katika Halmashauri ya wilaya ya Kasulu, unaweza kuomba likizo ya malipo mwezi wa...
1 Reactions
7 Replies
453 Views
Mbunge wetu kutoka Jimbo la Kyerwa, Innocent Bilakwate,amekuwa bungeni Kwa mihula miwili, Vipindi vyote hajawahi kuchangia hoja au mawazo yoyote bungeni, Mbunge wetu hajawahi kutuliza swali la...
3 Reactions
16 Replies
771 Views
Back
Top Bottom