Kipindi hiki cha uchaguzi kama wananchi wanajipambania wenyewe basi ewe diwani au mbunge wa maeneo hayo ukienda kunadi sera zako jiandaee
Wakazi 17,000 wilayani Mbozi wamechanga fedha ili...
Tumewekewa sauti zao wanatoa salamu msibani
Mmoja wa kike yuko Hungary
Mmoja wa kiume hajasema aliko
Mwingine Maria, ye akasema ameshindwa kuja kwa sababu za kiusalama
-----------------------...
Mtaani maisha ni kama jungle – ukiwa soft, unaliwa bila huruma. Vitu haviendi kwa mpangilio, hakuna guarantee ya kesho, na ukiwa na stress sana unaweza kujikuta ukibadilisha ndoto zako kuwa ndoto...
Wadanganyika ni watu wa ajabu sana, ukiwaambia wakatwe buku 2 mara moja kwa mwezi kwenye line ya simu ili tukazibe mashimo kwenye barabara zenye matope Dar wanagoma katakata, lakini muda huo huo...
Dr.Dorothy Gwajima.Huyu mama licha ya uchapakazi wake kuwa mzuri ni mtu mwenye roho poa sana.Anaitendea haki kabisa nafasi ya uwaziri.
Mama ikikupendeza Mpe Dr.Dorothy Gwajima nafasi nyeti zaidi...
Hapa natoa mfano ila wenzetu Stive Nyerere aka lucas mwashamba kazidi mpaka tumemfahamu kwa kushiriki misiba mpaka kububujikwa na machosi.
Sasa angalia movie.
Unajua kwa nini lucas mwashamba...
1- Nikawaida kabisa kukutana na mmachinga bonge la mtu kama goliati alafu anauza kata kucha na sio nyingi kama tano tu,nikajiuliza huu mwili unalelewa na biashara hii ndogo hivi au kuna lingine...
"Kijana wa kiume kumdhihaki mama yake si uhodari bali ni ukorofi wa aibu, unaostahili bakora ya mama kumrudisha kwenye mstari wa heshima.😂😂"— Alloyce, P.R.
Mit 22:3 SUV
[3] Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia.
Sio ajabu kumwona mtu anakimbilia jambo ambalo ameliona kabisa lina athari kwake, linaweza...
Ila wapangaji wenzangu mna siri sana!
Kumbe mother house wetu alikwenda kumuona padri kimya kimya na hamtaki kutuambia wapangaji wenzenu!
Sasa ndiyo muelewe kauli ya mlinzi wetu pale getini...
Badala ya kutuma pesa na kupiga simu au tuma ujumbe kua pesa ni yanini, tuokoe muda.
Unaweka kiasi cha pesa na ujumbe mfupi, mfano :mchango wa harusi kutoka kwa Stive ruso.
Au wana jamii...
Muhali gani Wadau;
Kiukweli kila mmoja wetu humu na nje ya humu JF alishaipitia hii hatua ktk ukuaji wake, ndio kama ukaribisho wa kuingia kwenye utu uzima.
Kila mmoja ana style yake ambayo...
Analysis of protein data itabase kwenye maeneo yafuatayo
Energy distribution of individual amino acid and complete protein
Magnetic force of individual amino acid and complete protein
Amino acids...
1.Mijanaume na nguvu zao kabisa imevaa t-shirt za ccm.
2.saa 7 mchana wa jua kali mtu kavaa rain boots.
3.Chadema office zao zimefungwa nasikia ni mwezi wa nne huu sasa eti wameahindwa kulipa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.