Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 595
- 716
"Kijana wa kiume kumdhihaki mama yake si uhodari bali ni ukorofi wa aibu, unaostahili bakora ya mama kumrudisha kwenye mstari wa heshima.😂😂"— Alloyce, P.R.
Kijana mmoja amepania kumkata ngwara mama."Kijana wa kiume kumdhihaki mama yake si uhodari bali ni ukorofi wa aibu, unaostahili bakora ya mama kumrudisha kwenye mstari wa heshima.😂😂"— Alloyce, P.R.