Naandika Nikiwa nalenga nyanja ya malezi, Mapenzi, siasa, uchumi na kila nyanja inayohitaji character yako asilia ili kudeliver kile kitu kinapaswa... matharan unapolea watoto heb kuwa vile...
Wanabodi leo ni Juni 1, 2025. Nusu ya mwaka imekatika.
🎯 Malengo Yako Mwaka 2025 – Je, Upo Njia Sahihi?
Tukumbushane wanabodi.
Muda hausubiri mtu; na uzee ndiyo unasogea.
Ni wakati mzuri wa...
Nchi ya Botswana ni mfano mzuri wa nchi yenye rasilimali moja kuu — almasi — ambayo imeweza kutumia vizuri rasilimali hiyo kuwasaidia wananchi wake kuwa na ajira na kuboresha maisha yao kwa...
Huyu jamaa anayritwa Ngugi wa Thiong'o kama walivyo activist wengi ambao nawaona fake, alikuwa akijinadi na kuitwa pia mkosoaji wa mabeberu, akijidai kukosoa mifumo ya elimu na lugha ya Kiingereza...
Tujibu Hoja kwa Hoja, si kwa Kejeli
Ni muhimu tujenge mazoea ya kujadili hoja kwa hoja. Mtu anapowasilisha hoja, si busara kuikwepa kwa kuuliza kwa nini hakuzisema enzi za utawala fulani.
Swali...
Mpaka sasa hakuna mtu aliyejibu hoja za Gwajima, zaidi ya yote wamemkejeli na kumtukana na wengine kumdhahaki, Rais naye leo kaja kupigilia mstari kuwa watu hataki watu wanaohoji mstakabali wa...
Habari wanajamvi, eti kuna njia ya kupunguza mzigo wa majitaka kwa njia mbadala.
Kuna mtu kanishauri ninunue chumvi kg 5 , chlorine lita 1 na chokaa kg 5 nichanganye pamoja halafu nimwage ndani...
Kuna watu wanamlaumu Nyerere kwamba alijilimbikizia madaraka, kujiweka kama mtawala wa kiimla na hatimaye kutuachia mfumo huo mpaka sasa ambao tunahangaika nao. Ni kweli alifanya hivyo lakini...
Mpo Salama!
Nilikuwa napitia orodha ya vijana wa Chadema na wanaharakati waliouawa, wengine kupotezwa kusikojulikana. Ni wengi.
Na imechukua muda mrefu Sana.
iko hivi; kwenye suala la Ukombozi...
"The total road network length in Tanzania is 181,190 kilometers (112,590 miles). This includes 36,760 km of national roads and 144,429 km of district roads"
Nikiwa Rais kutatengwa zaidi ya...
Kila asubuhi tunayofungua macho ni golden opportunity – ni zawadi ya bei ghali mno kutoka kwa Mwenyezi Mungu, ambaye hakutuamsha kwa bahati mbaya, bali kwa sababu kubwa sana. Mungu hakuipeleka...
Tukiwa hai tutakumbushana.
Siasa ni mchezo wa soka ukiwa madarakani ila ni mchezo wa kubet ukiwa haupo madarakani, na kama ukiwa mpinzani (haupo madarakani) na siasa zako za kubet unakuwa mtu...
Wakati Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla akisema kuna mabasi 200 yaendayo haraka yanayoyotarajiwa kuanza kazi katika barabara ya Mbagala, Mkurugenzi...
Stress zinazowakumba wanawake wengi ni stress zifuatazo;
1. STRESS ZA MAREJESHO YA VICOBA.
Wanawake wengi wanacheza Vicoba vingi kuliko uwezo wao. Wana madeni na marejesho ni makubwa.
2. STRESS...
TUNAPOENDA KUANZA MWEZI JUNE; AYA HII IKUSAIDIE, IWE MUONGOZO KWAKO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Isaya 48:17
Bwana, mkombozi wako, mtakatifu wa Israeli, asema hivi; Mimi ni Bwana, Mungu...
Niliwahi kusikia Dunia hii kila mtu ana mission yake aliyopewa kuja kuikamalisha, Mfano ni mtu kama Lissu mission yake ni ukombozi haijalishi hata akishindwa, Mrisho Mpoto ni kutukumbusha asili...
Habari Tanzania !
Kwa wewe mwenye kupenda kuondokana na kadhia ya bills za umeme aidha nyumbani au ofisini kwako, sasa waweza jizalishia umeme wako mzuri kwa viwango uvitakavyo kwa kutumia upepo...
Wakurugenzi Wakuu (CEOs) wa Makampuni ya Mitandao ya Simu Tanzania, Kenya na Uganda.
Tanzania.
1. Vodacom - Philip Besiimire - Uganda
2. Airtel Tanzania - Charles Kamoto - Malawi
3. Yas - Pierre...
Kampuni ya Google kupitia program yao ya Google play store imefanikiwa kuzindua feature mpya inayotumia muundo wa akili bandia (AI),
kwa kuweza kumruhusu mtumiaji wa play store kuweza kuuliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.