Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Chama Tawala kina mizizi mikubwa sana hapa Tanzania na hakuna njia ya kupambambana nacho ili kukiondoa,iwe kwa boksi la kura au hata nje ya boksi la kura but kwa bahati mbaya mno viongozi...
3 Reactions
23 Replies
786 Views
Karibia kila nchi ina namna ya kumuita Yesu kwa jina lake, mm mtanzania nikiomba nasema Katika jina la Yesu alafu mwingine anasema in Jesus nama ama Yoshua, to me it feels like maombi yanaenda kwa...
2 Reactions
33 Replies
1K Views
Huu unahisi ni wimbo gani?
1 Reactions
2 Replies
482 Views
Kitaa kwa kitaa tukizungumza na wakazi wa mtaa wa Kombo kuhusu umuhimu wa amani ya Taifa letu. https://youtu.be/iczf_ktTHX8 Amani ya Tanzania inaanza na sisi , Kuilinda Amani ya nchi yetu ni...
1 Reactions
1 Replies
196 Views
Baadhi ya Walimu katika Shule za Msingi Mugana A na Katarabuga ziliyopo Wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera wanawaagiza Wanafunzi vyuma chakavu ambavyo vimekuwa vikiuzwa kwa ajili ya manufaa yao...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Hii video nmetumiwa,sijui ni wapi.. Ila hii style ya vibaka kuvaa baibui usiku ukijua na wanawake kumbe vibaka Naona hapo mzee kabananishwa katulia Ova
16 Reactions
83 Replies
4K Views
  • Poll Poll
Ni wakati mwingine tena tunakukaribisha katika mtanange wa mkubwa hatua ya Nusu final katika Kombe la wimbi la UTEKAJI TANZANIA. Timu zilizoko uwanjani leo ni kati ya KENGE FC vs PONJORO FC, huku...
1 Reactions
0 Replies
322 Views
Kuna wadada kwnye usafiri wa uma ni wakorofi balaa hawarushi mateke wala ngumi ila ni wachokozi tu unapata gari unaingia mtu anakaa mbele yako anajisogeza na anakuletea mzigo makusudi kila...
9 Reactions
37 Replies
3K Views
Dereva Mtanzania aliyekuwa akiendesha lori, Juma Ally Maganga (45) ambaye alikuwa akishikiliwa na Mamlaka za kiusalama nchini Sudan Kusini kwa tuhuma za kugonga mtu na kusababisha kifo cha mtu...
3 Reactions
58 Replies
4K Views
  • Closed
Na Tauceti Rigel Ni lini jamii itaamka kutoka usingizi wa kina, na kukubali kuwa baadhi ya tamaduni zinazofichwa nyuma ya pazia la dini ni vazi la unyama wa wazi? Swali hili linapaswa...
6 Reactions
0 Replies
671 Views
Eti wanavuka mpaka kuja Tanzania kufanyakazi bila vibali. Kazi yenyeweeeee!!! Wee acha tu. You can not solve local challenges by importing solutions; you are likely to put a square bolt in to a...
6 Reactions
89 Replies
3K Views
Mwili wa Sheikh Jabir Haidar Al Farsi umekutwa usiku wa kuamkia leo, Jumatano Mei 28, 2025, katika eneo la Bumbwisudi akiwa tayari amefariki dunia. Taarifa za awali zinaeleza kuwa huenda marehemu...
5 Reactions
86 Replies
9K Views
Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39), Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi Africana, ambaye ni Mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam, anayetuhumiwa kumlawiti...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39), Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi Africana, mkazi wa Dar es salaam, anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi mwenye umri wa Miaka...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Huenda vijana wa kisasa tunapitia changamoto kubwa za kidigital ni kwamba fursa zimekuja kutengeneza changamoto nyingi zaidi,uhalisia umefichwa na uongo unadhihiri pa kubwa. Sikushangai unavyobet...
2 Reactions
2 Replies
336 Views
GTs, Naona mambo yanaenda kuwa mabaya. Yezebeli alitumia vyombo vyake vyote kuhakikisha anaangamiza waliotumwa na Mungu kumletea ujumbe, ila mwisho wa siku yeye alivyofariki mwili wake ulikuwa...
1 Reactions
2 Replies
387 Views
Mara nyingi uchaguzi unapokaribia, hisia huwa za kuchanganyikiwa. Wapo wanaosubiri kwa hamu kutimiza haki yao ya kidemokrasia, lakini wapo pia – kama nilivyokuwa mie – waliopoteza imani na...
1 Reactions
12 Replies
578 Views
Kupanga ni kuchagua Kuna vijana tuliamua kulima Kwa bidii na Sasa tunavuna na Mungu amejalia mazao yamekubali na bei Iko poa mno Nawapongeza serikali hasa sisi watu wa mkoa wa Kagera tumepata...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Watoto wa Saddam Hussein, hasa Uday Hussein na Qusay Hussein, walijulikana kwa kutumia madaraka ya baba yao kwa namna ya kikatili na ya kupindukia, na walihusishwa na vitendo vingi vya...
2 Reactions
4 Replies
744 Views
Hivi karibuni ni kawaida kukuta wanauma wenye miaka ya mid 30s 40s 50s eti wana pressure kisukali magonjwa ya Moyo vidonda vya tumbo nk. Visababishi vikuu ni mshahara mdogo vs maisha ya juu...
7 Reactions
10 Replies
606 Views
Back
Top Bottom