Picha umeipata wapi?Hii dunia ina watu makatili na washenzi sanaView attachment 3352103
Yeye kwa kuwa ni sehemu ya wauaji wa ccm haoni uchungu.hawa wa ccm wanao uwa ndugunzenu vp
Lete picha za hao CCM wanavyouwa hao ndugu zenu.hawa wa ccm wanao uwa ndugunzenu vp
Thread ingekuwa ishafika page ya 30sipati picha wangekuwa na waarabu.
Mmhhh weee!!!!Hao walikuwa wanaigiza tu
Ukatili zaidi hivyo wanavyojichekesha utadhani wamepiga picha ya shereheHii dunia ina watu makatili na washenzi sanaView attachment 3352103