Premier na Meridian betting wanavuna bilioni 2 kwa siku!

Premier na Meridian betting wanavuna bilioni 2 kwa siku!

Wadanganyika ni watu wa ajabu sana, ukiwaambia wakatwe buku 2 mara moja kwa mwezi kwenye line ya simu ili tukazibe mashimo kwenye barabara zenye matope Dar wanagoma katakata.., lakini muda huo huo wanawachangia wazungu na wahindi takriban bilioni 2 kila siku kwenye kamari za kimbwa...!!! Hivi mmerogwa..???!!!!

Umerogwa mwnywe ambae huwez tumia akil mpk unapost ujinga.
Unajua maana ya kuchangia ww au unakulupuka 2...?
If u cant take risk then keep cool.
 
mtoa mada umekurupuka hoja yako haina mashiko keasababu hayo makampuni yanatoa kodi kwa hiyo sion tatizo hapo, wewe kama unataka kuchanga hizo buku mbili za line waambie wawe wanakukata we mwenyewe
 
mtoa mada umekurupuka hoja yako haina mashiko kwasababu hayo makampuni yanatoa kodi kwa hiyo sion tatizo hapo, wewe kama unataka kuchanga hizo buku mbili za line waambie wawe wanakukata we mwenyewe
 
Wadanganyika ni watu wa ajabu sana, ukiwaambia wakatwe buku 2 mara moja kwa mwezi kwenye line ya simu ili tukazibe mashimo kwenye barabara zenye matope Dar wanagoma katakata, lakini muda huo huo wanawachangia wazungu na wahindi takriban bilioni 2 kila siku kwenye kamari za ki-mbwa! Hivi mmerogwa?

Mmerogwa nyinyi mnaotaka watu watoe hela bila ya consideration yoyote, hela ya escrow tumewachangieni mmegawana wenyewe na familia zenu, na kununua magari yenu ya kifisadi na bado tena mnataka tuwachangie ujenzi wa barabara, hata chembe ya aibu na huruma hamna!!!!

Betting ni mchezo halali na umewasaidia wengi wapo niliona wameanzisha biashara kwa hela ya bet, wapo walionunua bodaboda na hela ndogo ndogo kibao, hapa nilipo nimekuja kuweka elf moja yangu, nimekutana na mtu amekuja kuchukua milioni 2 jana aliweka mia tano tu,
 
Utake usitake betting ni mchezo wa kimbwa na hauna tija kwenye uchumi wa nchi kiujumla (sio kwa mtu mmoja mmoja), hivi kwenye betting mnazalisha nini..?! mnazalisha bidhaa na huduma gani kama sio kupoteza energy na manpower ambayo ingeweza kutumika efficiently na effectively sehemu zingine za uzalishaji huduma na bidhaa..,
 
Mpwa mada yako iko too general, una uhakika ni kila Mtanzania anakwenda huko kwenye kamari?
 
Wadanganyika ni watu wa ajabu sana, ukiwaambia wakatwe buku 2 mara moja kwa mwezi kwenye line ya simu ili tukazibe mashimo kwenye barabara zenye matope Dar wanagoma katakata, lakini muda huo huo wanawachangia wazungu na wahindi takriban bilioni 2 kila siku kwenye kamari za ki-mbwa! Hivi mmerogwa?

Don hamna mtu anayekataa kukatwa kama anaona hela inakoenda..hatuiamin serikal cuz ya ujinga unaofanyika ndo mqna watu hata mm cwez kukubql kukatwa!!sisi tunaishia kua maskin na kuambiwa kua kasungura n kadogo kwaio tunagawana kidogo kidogo....lakin kupitia hako kasungura kadogo kamezaa EPA..RICHMOND...RADA...IPTL
haya ndo yanayokatisha tamaa
 
Kwa hiyo tuendelee kua na barabara zenye tope la kinyesi na mashimo katikati ya mji kisa IPTL..?
 
Habari hii imfikie Nzi na mtoto wake Mtoto wa nzi japo hapo juu wadau wamemshukia vikali mtoa mada
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom