Waislam Pemba Waandamana Kanisa Lisijengwe Pemba

Hao wapemba wajue hii ni jamhuri ya muungano wa tanzania. Hata zanzibar yenyewe si ya kiislam licha ya kuwa ina waislam wengi. Kwanza makanisa kujengwa kwenye maeneo yenye waislam wengi inapendeza sana nchini na duniani kwa ujumla. Inajulikana wazi wakristo si watu wa fujo na ghasia, imani yao huongozwa na upendo na amani kwa watu wote
 
wako sawa kabisa, pemba >98% muslim, hivyo wana haki ya kutetea imani yao, binafsi sioni tatizo na katiba yetu iruhusu watu wenye imani moja kuweza kujitenga na kuishi kwenye eneo lao na kupractice imani yao watakavyo, nchi ni kubwa sana na linawezekana …
 
Uwezo wako wa kufikiri ni kama wa Samaki aina ya Kambale kukaa kwenye matope tu wakati samaki wengine wakiishi Kwenye maeneo yenye maji mengi

Nikirudi kwenye kukuadabisha kimoja, Tanzania sio Nchi ya kidini... ukifanya hivyo kusema eneo moja Dini fulani iseme ni eneo lao tu hapo ndipo tutachochea vita vya wenyewe kwa wenyewe, umesema Zanzibar kwa asilimia 98% ni Waislamu, ukisema Zanzibar yote iwe ni Waislamu tu hakuna shughuli yoyote ya Wakristo kufanyika maeneo hayo huoni kama hao 2% wanaweza kuanza kuleta fujo kwa sababu ya kuzulumiwa haki yao ya msingi... hapo ndipo waasi au makundi yanayopigania dini uanza kutengenezwa.... Wakristo wataanza kutengeneza makundi ya kutaka haki yao, na watakapokuwa na Wakristo wa mataifa ya nje.

Vilevile Waislamu wengi wako Tanzania Bara, na mikoani ambayo kimsingi ni maeneo ya Wakristo wengi, utafanya Waislamu wanaoishi maeneo ya Wakristo wachomewe misikiti yao au wafukuzwe katika maeneo hayo kwa sababu ni maeneo ya Wakristo. Na hapo napo Waislamu wataanza uasi wa kutaka haki yao.

Itafika mahali hata Barabara au mitaa hatakiwi kukatiza mtu wa Dini fulani, hiyo itaenda mpaka kwenye ajira, chakula na mambo mengine

Kabla ya kutoa maoni fikiria athari zitakazotokea, sio kutoa maoni tu bila kufikiria.... Ogopa sana vita vya kidini au kikabila, angalia kule India Wahindu wanavyouwa Waislamu na kuwafukuza kwenye maeneo yao, vita mpaka imepelekea Nchi ya Pakistan na India kuchukiana na kutaka kuleta vita ya 3 ya Dunia. Sudan walipigana vita kiasi kwamba mpaka Nchi ikagawanyika kwa sababu ya Udini, leo tuna Sudani kusini na Sudani Kaskazini.

Dini zenyewe zimeletwa na Meli alafu unataka kuzipigania kuliko kupigania umoja wa Taifa letu, Utaifa kwanza Udini badae, Nchi hii ni mali ya Watanzania wote, kila mtanzania anayo haki ya kuabudu popote cha msingi hasivunje sheria au kumdhihaki mwingine.
 
na hapo ndipo mnapodanganywa unaposema tanzagiza siyo nchi ya kidini unamaanisha nini? kwa nini kiapo cha raisi wa tanzagiza huishia na “ewe Mwenyezi Mungu nisaidie”, kwa
nini bunge la tanzagiza huanza kwa sala? kwa nini wimbo wa taifa wa tanzagiza una neno “Mungu ibariki …” ?

aliyewambia tanzagiza haina dini amewadanganya na nyie mkajaa, > 85% ya watanzagiza ni aidha Wakristo au Waislamu.

hivyo you are in denial, nilichomaanisha ni kwamba katiba iruhusu watu dini xyz kujitenga na kuwa eneo lao kupractice dini yao bila ya kuingiliwa, mfano kama mimi ni Mkristo na wilaya, kata au tarafa yangu >98% ni Wakristo basi tuwe na haki ya kuishi na kupractice Christian way life na kama ikiwa ni muslim pia vivyo hivyo au unafikiri kwa nini waislamu walivunja mabucha ya nguruwe kipindi cha nyuma? ni kwa sababu kihistoria hayo maeneo yalikuwa ni predominantly makazi ya waislamu kwa nini ukajenge mabucha ya nguruwe wakati unajua uislamu hauruhusu? hivyo kwangu katiba iruhusu sehemu ambapo kama majority ni waislamu wawe na haki kuishi kiislamu kama wakipenda na ambapo majority ni Christians pia wapractice Christian way of life wanaotaka kuchanganyika pia kuna maeneo wanaoweza kuchanganyika na kuishi ufuska na ushenzi wao pia.

punchline: katiba iruhusu kujitenga! …
 
Back
Top Bottom