Habari wakuu,
Ninaendesha NGO ndogo inayolenga kusaidia wanafunzi wa shule za umma kwa njia ya elimu na maendeleo ya kijamii. Sasa tunahitaji kufungua akaunti rasmi ya benki kwa ajili ya kupokea...
Mfano, ingia behewa namba 7 kwenye treni ya ordinary uone jinsi vyoo vilivyoharibika na ni zaidi ya mwezi sasa hakuna hatua zozote.
Huu ni mwanzo wa kuiua treni yetu.
Halafu mwambieni huyo Mtu wenu kuwa akiwa anaenda kuwatembelea na kuwapigia Magori Wakatoliki (hasa akiwakosea) asiwe anafanya Siri kwani siku hizi hakuna Siri sawa?
wanaume wa Dar ni tabia haijalishi unaishi wap, mfano we mwanaume :-
1. Unaishi Tabora ndani afu unamtext mwanaume mwenzako una mwita My, dear etc wewe pia ni mwanaume wa Dar🙈
2. Unaishi Mwanza...
Kuna samaki anapatikana amazoni kwa jina Arapaima (pia anajulikana kama Pirarucu au Paiche). Huyu ni mmoja wa samaki wakubwa kabisa wa maji baridi duniani na hupatikana kwenye Mto Amazon...
Kama wewe ni mpenzi wa michezo mbalimbali kwenye simu nikiwa na maana ya Games kama unahitaji simu ya mid range basi hii Infinix ni nzuri kwako.
Inaitwa Infinix GT 30 Pro ni simu nzuri sana ya...
Watanzania wengi wanaishi katika hali ya umasikini licha ya rasilimali nyingi tulizonazo. Wengine wanaamini serikali haijawawezesha ipasavyo, huku wengine wakiona tatizo ni mtazamo wetu wenyewe...
Dunia ya Leo wanaomiliki bidhaa za kiteknolojia ndo wanamiliki ukwasi.
MTU Kama mirradayo , diamond n.k
Max Melo
Ili uwafikie sijui unabidi ufuge mbuzi wa ngapi na ulime heka ngapi
Dunia...
NB
Nitakayoandika hapa ni kutokana na Imani yangu na utafiti wangu.
"Kwanini watu wazuri hufa mapema na wabaya wanaishi miaka mingi ".
Hapa dunia kuna kitu kinaitwa Purpose ( Kusudio) na ndani...
Watu wasiofahamika Wamefariki Dunia kwa kuteketea kwa moto na kubakia majivu baada ya magari mawili kugongana uso kwa uso na kisha kuwaka moto na kuteketea na kusababisha vifo hivyo.
Akizungumza...
Ninawajua watu kama kadhaa walioenda kusoma nje ya nchi miaka ya 2012 hadi 2015, Wamesumbuka sana kwenye soko la ajira imewabidi tu wakubaliane na matokeo kwa kujiendeleza na shughuli nyinginezo...
Nahitaji msaada wa tafsir ya ndoto
Nimeota usiku wa kuamkia leo tar 19 March 2025
Nimeachwa na ndege katika ndoto kwa sababu ya kusahau passport nyumbani,
Sema hii issue inanipa mawazo kwa...
Katika moyo wa Afrika Mashariki lipo ziwa kubwa, lenye umuhimu mkubwa wa kiuchumi, kijamii na kiutamaduni kwa mamilioni ya watu wanaolizunguka – Tanzania, Kenya na Uganda. Ziwa hilo, ambalo kwa...
Si tumeshapata uhuru au?! Sasa kwanini ziwa letu adhimu tuliite jina la kimalkia cha ajabu ajabu hata sijui kimetokea wapi! Kwanza ni fahari gani tunayoiona kwa kufanya hivi?! Kwa nnavyoelewa mimi...
Usiku wa leo nimeota ndoto ya ajabu sana, nimeota kuna mtu ninaye mfahamu ananikimbiza na kutaka kunidhuru.
Nikaanza kumkemea kwa maombi huku namnyooshea kidole, ghafla nikaanza kupaa angani...
Wenzetu nchi kubwa kama unataka bucha za nyama za vibudu zipo.
Kama unataka za dini zako zipo.
Kama unataka za wahadizabe zipo yani wanyama pori.
Hapa nacho sema bucha nyingi za tanzania...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na wenye ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb) leo Mei, 31, 2025 amewaongoza mamia ya Watumishi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo...
Mafuta haya ya nazi ya MINARA yanayotengenezwa Mombasa nchini Kenya ni mafuta ya asili ya nazi kutoka mwambao wa pwani ya Afrika mashariki, Mombasa.
Haya mafuta niliwahi kuleta dukani kwangu...
Baba Mtakatifu Leo XIV amemteuwa mtanzania Monsinyori Romanus Mbena kuwa ni Mkuu wa Ofisi ya Baraza la Kipapa la Huduma ya Upendo, ambaye hadi kuteuliwa kwake amekuwa akihudumu kama Afisa Mshauri...
Mwanaume umeshajua we ni mnene, bonge, kiriba tumbo na upo irregular.
Sasa,kwanini una-watia aibu wanaume wenzio kwa kuvaa boxer ndogo isiyofunika mfereji wote mpaka chini?
Kwanini unavaa nguo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.