Mimi Deo mzaliwa wa Mbeya Madibira Kijijini Mkunywa, MWAKA 2015 mwishoni nilipata binti aitwaye Ana wa Kyela alikuwa na miaka 21 nikaoa,
Lakini kabla ya kumuoa nilimusihi sana tukapime afya zetu...
Kwa haya mambo yanayoendelea ni wazi tu kuwa raia wawe wapole serikali ina mkono mrefu kamwe huwezi kushindana nayo au kutunishiana misuli
Since Kuna mambo mengi raia tunayoyafanya lkn ni vile...
Bila kupoteza muda huyu jamaa mjanja sana.
Inasemakana ile video aliyorekodi kua yuko kanisani na nje kuna polisi ilikua danganya toto kuwapoteza maboya polisi.
Bila kufikiria mara mbili polisi...
Wa Tanzania bana watu wa ajabu kweli. Drama ya Gwajima imewafanya wasahau kuhusu Tundu Lissu.
Hongera sana GwajiBoy kwa kazi yako nzuri..
Pole sana Lissu. Hawa ndio Wa Tanzania unao wapigania
Nivema kutambua kwamba Katika muktadha wa Tanzania, utaratibu wa kisheria na kikanuni wa kufuta dhehebu au jumuiya ya kidini unategemea masharti yaliyowekwa chini ya sheria na kanuni husika na...
Habari wadau.
ukweli mchungu vibinti ya 2000 vijanja sana. hasa vilivyokuja na mbinu ya niagize china nikununulie mzigo wako.
Instagram na social media zingine zinatajirisha sana watu wanaojua...
Miaka ya nyuma, sindano baada ya matumizi zilikuwa hazitupwi. Zikitumika zinachemshwa kwenye maji ya moto kama inavyoonekana pichani na baadaye hutumika kuchoma tena watu wengine. Sindano inatoka...
Kawaida kila baada ya miaka kumi yani awamu mbili kupita basi chama tawala tunachagua mgombea Mpya katika kiti cha Urais baada ya kutuongoza kwa awamu mbili.
Aliyekalia kiti cha urais akifanya...
Bashungwa
Bashungwa
Bashungwa
Nimekuita kwa herufi ndogo ili nikupe onyo.
Most of unregistered churches ni pentecostal churches. Wapentekoste ni watu wanaodharaulika sana katika jamii nyingi...
Kuna mtazamo potofu wanao watu wa dini, wanaamini mtu ambaye haamini uwepo wa Mungu basi ni mtenda maovu, hana maadili n.k
Mtazamo huu ni potofu.
Maadili ya mtu hayaamuliwi na imani yake ya...
Kijana saa 12 asubuhi tayari macho mekundu kisungura kimeshamchapa. Mpaka saa 6 mchana anaongea pumba tupu.
IGP intelejensia yako miaka 15 mbele Taifa linaonekana liko wapi?
Viongozi mnaacha...
Barabara ya UBUNGO kutoka Posta wananchi wameifunga
Hii sasa ni balaa wananchi wanamlinda Askofu wao.
Baadhi ya wananchi ( waumini ) ambao walionekana nje ya Kanisa la Ufufuo na uzima ambalo...
Kama ningelikuwa ni rafiki wa Askofu Gwajima leo ningemtembelea nyumbani kwake huku nikiwa nimebeba zawadi mkononi.
Zawadi yenyewe ni kitabu kiitwacho "The 48 Laws of Power" kilichoandikwa na...
Sisi Tunae kazini, Yani ndio anakuwa mtoa vibe Kwa wenzake na ni baba wafamilia yan mambo yake hua tunacheka mnoo
Shuleni walikuwepo kina Dullah 😂 lakini sikuhizi alivyotulia kama sio yeye
Kuna kipindi kinaitwa Easterntv kupitia youtube kikionesha kisa kilianza baada ya jamaa mwenye kipindi kuibua challange ya wapenzi ambaye mwanamke wake kumbe alikuwa anauza watoto na kuwaotoa bone...
Uzi huu unaonyesha viwango vya utambuzi wa akili (cognitive complexity) kwa wanyama tofauti, kuanzia viwango vya chini vya silika za kuishi hadi viwango vya juu vya kujitambua na kufikiri kwa...
Katika mambo ambayo nataka twende kwenye mada kuhusu Wajapani na mataifa ambayo yanaweza kuwa kama japani.
Wajapani wakitaka kukuheshimu kuna mambo mengi ila cha kwanza kikubwa.
Heshimu maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.