Kwema wakuu,
Mkataba wangu uliisha nikaona nikachukue mafao yangu NSSF nikakamilisha taratibu zote.
Wakaniambia ni Subiri week 3
Sasa kabla ya week nikaona hela imengia Sema ilikua ni ndogo...
Ndio jambo lililoonekana kutokea pande za juu baada ya kazi kubwa iliyofanyika jana na usiku kucha.
Yule wa mwanzo aliliwa na mbwa na huyu ataoza akiwa bado hajatoweka.
Amani iwe kwenu,
Nitakuwa na upload free style na Cyphers zote humu ambazo zitakuwa zinatetea maslahi ya nchi (Taifa) ....na kama una free style ama Cyphers ambayo inaweza kuendana na hali ya...
Unajua kwanini Abiria wengi huzuiliwa kubeba Power Bank kwenye Ndege!!!
Mnakumbuka ajali ya Ndege ya Airbus A321 iliyotokea nchini Korea kusini chanzo chake kimebainika sababu kubwa ni Power...
Wapo ndani ya hifadhi ya barabara wamegeuza kijiwe cha bodaboda na kukamata bodaboda wengine wanaopita na kuwatoza faini wakishinikiza kuwa huruhusiwi kubeba abiria eneo hilo kama haupo kwenye...
Watu wanafanya mambo ya hovyo kwa kisingizio ya kulinda amani na utulivu wa nchi. Najiuliza hiyo amani iko wapi kama tu ukitoa maoni unaanza kuwindwa, watu wakitekwa na kuuwawa polisi wanakaa...
Ameandika Baba Askofu =AZWrmXhK1_pFvd1TZDgMO7L6eJxTPapJZ1twYFezpONs6-gTBhsboTdtxMKmX-Piojg1EHDc2NrFJssXTd0-1Ff83CtOTZlZOd4TqMHkOU7ugQbudPmJcCSqKiLOrlY8Lxe5uL13Unkr6Vj_aTAlACbU&tn=-]K-R']Kalikawe...
Najiuliza nini hatma ya CHADEMA baada ya kikao cha kamati kuu ya dharura Kesho 3/6/2025.
Maamuzi ya kamati kuu Kesho ndio hatma ya CHAMA hicho kwani wakiendelea kukaidi sijui nini kitatokea...
🌍 Nchi Zinazoongoza kwa Uchawi (Kwa Mtazamo wa Tamaduni na Matukio)
1. Tanzania (Haswa Kanda za Kaskazini na Kusini)
Uchawi ni sehemu ya tamaduni nyingi za kiasili.
Matukio ya uchawi...
DKT. BITEKO AZINDUA MKAKATI WA TAIFA WA MAWASILIANO WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
📌 Aagiza usiishie kwenye makabati; ukatekelezwa katika ngazi zote za Serikali/Wadau
📌 Atoa wito kwa vyombo vya...
“Uwezekano wa binadamu aliyekulia kwenye mazingira yenye upendo, furaha na amani kuwa mbabe, katili anayefurahia na kukejeli maumivu ya wenzake ni sawa na sifuri. Ukatili si asili yetu. Nadra sana...
Unashikilia hadithi ambayo hujawahi kuthibitisha. Watu wako tayari kufa kwa jina la Yesu, lakini hawajachukua muda kuchunguza asili ya hadithi hiyo, nani aliianzisha, na kwa nini ilisambazwa...
Habari za wakati huu wana jukwaa, poleni kwa mfungo wa Ramadhani na Kwaresma.
Naomba kushare nanyi hili swala siku kadhaa zilizopita kuna mahali nilienda kuna mzee nilimsikia anazungumza kuhusu...
Naomba kumpongeza waziri na wizara nzima ya kilimo kwa bajeti iliyo na mashiko pia inayoonesha matumaini. Leo nimeleta hoja mezani hasa ikilenga taasisi ama halmashauri ambazo kwa asilimia kubwa...
Ni mimi tu au kuna wengine mnaoweza kutuelezea yani wanabomoa hapa wakisha bomoa wanakwenda kwengine yani kama vurugu.
Ni kwamba haya ni kwa ajili ya kuzindua kampeni zenu CCM kuwa mnajenga barabara.
Ndani ya nchi yetu Mungu ametubariki uraniamu (uranium). Ni vyema kusimamia ule mradi wetu kule Namtumbo, wale wawekezaji waanze kazi sasa tufaidike na rasilimali ile.
Ni kauli nzito ambayo Rais...
Wakuu , hivi Askofu Gwajima yuko wapi? Toka usiku wa kuamkia leo alipoonekana akitoa update za wasiojulikana wanaojulikana kama polisi hajaonekana tena!
Je, wametembea nae?
Je, alichochora...
Salama wakuu wa JF!
Last wiki nilikuwa na milioni 6 Kash Ila mpaka wakati huu naandika huu uzi nimebakiwa na milioni 3.5 na hii ndio ya kwngu sasa baada ya kulipa madeni na kufanya manunuzi...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary S. Senyamule (kati) akipokea mitungi ya gesi ya kupikia kutoka kwa Jeffrey Nasser, Mkuu wa Kitengo cha Mauzo Nishati Safi kutoka Puma Energy Tanzania, kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.