Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Inaelezwa Serikali imetafuta Kampuni kutoka Dubai ili kuipa tenda ya kuendesha Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi Jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ushirikiano wa Umma na Binafsi...
7 Reactions
41 Replies
5K Views
Salaam Aleykum Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nasikitika kusema kwamba siku chache zijazo kutatokea ajali ya ndege kubwa ya abiria ambayo itasababisha vifo vya watu ikiwemo watoto wadogo...
126 Reactions
987 Replies
174K Views
Kuna siku niliandika uzi...nikasema yule Rais wa ile Nchi ni kielelezo kingine kikubwa kua Wanawake wa Afrika kwenye Mwaswala ya Uongozi bado. Mods mkaula kichwa ule uzi sijui kwa sababu...
13 Reactions
36 Replies
1K Views
Gwaji boy jasusi la mbinguni a.k.a mkono wa baunsa, ni mtu mwenye Kujiamini sana, ni mtu aliyepambana na makonda single handedly at the prime of his terror na akamkalisha. Ni chuma...
7 Reactions
11 Replies
869 Views
Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society - TLS) kikiongozwa na wakili Boniface A.K Mwabukusi kimetoa tamko zito lililoweka wazi hali ya kusikitisha inayolikumba taifa. Kwa mujibu wa...
13 Reactions
87 Replies
12K Views
1. Jenga nyumba mapema. Iwe kijijini kwenu au mjini. Kujenga nyumba ukiwa na miaka 50 sio mafanikio. Usizoee nyumba za serikali. Faraja hii ni hatari sana. Hebu familia yako yote iwe na wakati...
15 Reactions
26 Replies
2K Views
Lilikuwa ni jambo nililodhamiria, ili kuepusha mgongano wa mke na mtoto nilitafuta mtoto kijini kwa wife, nilipompata nikamwambia wife nashukuru wanaishi vizuri tu. Tulifanikiwa kupata mtoto wetu...
11 Reactions
11 Replies
627 Views
Uislam ni dini ambayo inakwa kwa spidi sana ulaya, muungano ndio silaha yao kuu ukiachana na ukristo ambao kuna madhehebu mengi kama kama anglikana, Lutheran, roma, sabato, pentecost, mashahidi...
15 Reactions
203 Replies
15K Views
Habari ya wakati huu wakuu. Samahani naomba msaada anayefahamu zinapouzwa submeter kampuni hii Ya MT electrical nina shida na namba za wauzaji au operator hapa ninapo kaa nimeikuta hii meter na...
0 Reactions
0 Replies
321 Views
MHADHARA (89)✍️ Kitu pekee utakachokula/utakachomeza bure mjini ni mate yako tu. Lakini vingine vyote ni gharama. Hakuna cha bure, ni lazima ulicholishwa utalipia kifedha, kiroho, kimwili...
6 Reactions
13 Replies
668 Views
Maana ya Niyyah na Mahali Pake Sahihi Niyyah ni kusudio la  ibada ambalo hutokea ndani ya moyo. Haihitaji kutamkwa kwa ulimi kwa sababu ni jambo la ndani ya nafsi. Mtume ﷺ na Maswahaba wake...
1 Reactions
9 Replies
555 Views
MBINU ZA KUKUSAIDIA KUOMBA VIZURI KWA MUDA MREFU-1 Nakusalimu katika jina la Yesu Kristo Bwana wetu. Leo nataka nikupe mbinu kadhaa za kukusaidia kuomba vizuri na kwa muda mrefu. Hakikisha...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Hakuna nchi inayoweza kupiga hatua kubwa za kimaendeleo endapo SIASA zake zinalipa kuliko VIWANDA VYAKE,Katika nchi ambayo Wanasiasa ni matajiri Kuliko Wafanyabiashara na wajasiriamali, hapo ni...
7 Reactions
13 Replies
720 Views
Ubishi ni akili zetu ila ni wafafanulie kwa ufupi.Ndege zinapotaka kuondoka ufanyiwa ukaguzi kama kuna nyufa au kuna uwazi.ili kuzibiti uwazi kuna tape ambayo inatwa speed tape au aluminium tape...
3 Reactions
40 Replies
2K Views
VETA ni Upotevu wa Muda na Fedha – Ukweli Mchungu Watu wengi wanapohangaika kutafuta elimu bora ya ufundi, huambiwa VETA ni suluhisho. Wanawadanganya! Ukishapita huko, utagundua kuwa umepoteza...
4 Reactions
3 Replies
781 Views
SIJDA ni neno la kiarabu linalomaanisha kutukuza, kunyenyekea au kusujudu, katika kutohoa unaweza pia kuita SAJADAT yaani wingi wa Sujud au Sajda Hivyo Binti anayeitwa SAJDA maana yake ni...
17 Reactions
152 Replies
7K Views
Hi Poleni na majukumu ya kila siku, rejea kichwa Cha habari hapo juu kampuni ya uchimbaji wa madini ya MMG gold iliyopo Seka Musoma inafanya mchakato wa kupunguza wafanyakazi kwa mtindo ambao...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Pamoja na kuwa ni soko kubwa lililosheheni Wafanyabiashara wengi wa kila aina, soko hili lililo chini ya Halmashauri ya Wilaya ya Arusha limekuwa na mfumo mbaya wa ukusanyaji ushuru kitu...
0 Reactions
1 Replies
963 Views
Nimewahi kuona matangazo ya nafasi za wakimbiza mwende wa uhuru kwenye halmashauri na mikoa, lakini sijawahi kuona wakitangaza nafasi hizo kitaifa. Hawa watu huwa wanapatikanaje?
1 Reactions
1 Replies
523 Views
Mimi NI Kijana, Umri Miaka 28 Mkazi Wa Dar Es Salaam! Wakuu Mtoto Wa Kiume Akikiri Hadharani Kuwa Mambo Ni Magumu Ujue Kweli Ni Magumu, Na Hii Ikiwa Ni Mara Yangu Ya Kwanza Kuandika Chapisho...
22 Reactions
35 Replies
2K Views
Back
Top Bottom