Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Haya mawili huwa yana nichanganya kiasi. Mwenye uelewa anisaidie kujua dini za kishetani zinakuwaje na tabia za kishetani ni zipi.
2 Reactions
12 Replies
552 Views
Miaka hiyo kulikua hakuna TCRA ila kulikuwa na mamlaka ambayo ilataka watu wasiwe uhuru wa habari. Ilikuwa si rahisi kumiliki redio tena kipindi hiko kulikuwa na masafa ya SW(short wave) na AM...
0 Reactions
3 Replies
329 Views
Kwa upande moja Mbeya imekuwa mkoa wa kujivunia kwa kutoa wasomi na viongozi mahiri lakini kuna upande mwengine unaitia doa 1. Mawinga wengi sana hutoka huko, utafika Kariakoo kuulizia kiatu cha...
4 Reactions
37 Replies
1K Views
"Kuna mstari mwembamba sana kati ya imani ya dini na changamoto ya afya ya akili, wakati mwingine mtu anaweza kuonekana kuwa na imani timilifu, lakini ndani yake anapambana kimya kimya na msongo...
1 Reactions
3 Replies
330 Views
1. Kuwa mwangalifu na afya yako siku zote. 2. Jiwekeze kiuchumi kwani fedha itakuwa msaada wako umri ukienda. 3. Umri ukienda sana thamani inategemea hali yako ya kifedha. 4. Umri ukishaenda...
5 Reactions
3 Replies
415 Views
Naomba radhi mapema kwa yeyote atakayeona maudhui haya yanakwaza au kuumiza. Makala hii haikulengi kuchokoza, bali kuchangia fikra za kitaifa. Imani yangu ni kwamba hata Chama Cha Mapinduzi...
-1 Reactions
14 Replies
549 Views
Ndugu yangu Samia nchi asilimia 60 ipo Giza mpaka muda huu ninapoongea hakuna umeme una taarifa ?? Unajua umeme ndio usalama namba moja wa Taifa? Mafisadi ya umeme yamekushinda ndugu yangu Samia?
2 Reactions
6 Replies
424 Views
Nilisikia mahali kwamba Zanzibar ina wakilshwa na wabunge 80 kwenye bunge la Muungano, na raia wote wa Zanzibar hawafiki milioni moja. Halafu eti mtanzania bara hawezi kugombea nafasi yoyote ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema serikali imerekebisha changamoto ambazo wawekezaji wengi walikuwa wakizilalamikia, ili kufungua milango wawekezaji wengi kuja kuwekeza kwani Tanzania ni mahali...
0 Reactions
3 Replies
220 Views
Mheshimiwa Mpina amemlenga huyu huyu Waziri au yule Waziri mwingine? Janga la utekaji nchini ni likesababishwa na uzembe wa Wizara ya Mambo ya Ndani au Uamuzi wa "wakubwa"? Utekaji ungekuwepo...
0 Reactions
3 Replies
317 Views
Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi (BRT) jijini Dar es Salaam, hasa barabara ya Posta/Gerezani kwenda Kimara, uliwahi kuonekana kama suluhisho la uhakika kwa adha ya usafiri. Hata hivyo, hali halisi...
0 Reactions
2 Replies
525 Views
Je, Wajua? Finland ndiyo nchi yenye kiwango kikubwa zaidi cha furaha duniani kwa mujibu wa ripoti ya furaha ya Dunia ya Umoja wa Mataifa kwa miaka 7 mfululizo (2024, 2023, 2022, 2021, 2020, 2019...
1 Reactions
4 Replies
435 Views
Juzi nikiwa nimejilaza kibarazani ghafla nilimuona paka wangu akifanya kitu ambacho sijawahi kumuona akifanya kabla wala kumuona paka mwingine yeyote akifanya hivyo.Nilishangaa sana nikamchukua ka...
11 Reactions
81 Replies
2K Views
Kusajili vpn gharwma zake na taratibu zikoje
12 Reactions
24 Replies
1K Views
Kumfunga mtu ni kitendo cha kumzuia mtu asifanye jambo fulani katika hali ya kawaida na alifanye kinyume na kawaida asili ya mwafrica ipo kwajiri yakurudisha samani yamaisha yako unaweza kuja...
1 Reactions
6 Replies
516 Views
Kama usafiri unaweza kubisha hii mada. Wenzetu unaweza kuwa na jirani na wala msiwe na urafiki na mazoea. Nchi zilizoendelea ni ngumu sana kuwa na mazoea ya kulazimishana na urafiki kama huku...
15 Reactions
22 Replies
1K Views
Nakusalimuni nyote. Kulingana na tarehe itokanayo na mwandamo wa mwezi wa kimataifa Eid Al Adh haa kwa mwaka huu wa 1446 Hijriyyah sawa na 2025 Miylaadiyyah itakuwa siku ya ijumaa ya tarehe 10...
11 Reactions
49 Replies
3K Views
Sheikh Yahya alisema! "Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania...
18 Reactions
73 Replies
5K Views
Kwamba career yangu inadharauliwa adi na watoto? Nimemaindi sana
2 Reactions
22 Replies
652 Views
Mwenzenu nakerwa mno na meseji nyingi za kijinga zinazoingia kwenye simu yangu kila mara kutoka VODACOM Na TIGO. Mara Songesha, mara Ofa maaluma.......yani vurugu tupu. Naomba mwenye kujua jinsi...
16 Reactions
55 Replies
6K Views
Back
Top Bottom