Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tuweke mjadala mpana zaidi hapa najua kuwa baadhi tunaweza kudokeza kuwa sera,mitazamo,mazingira,utamaduni na mengineyo kuwa ni tatizo,lakini upande wa serikali huwenda ikamuona mwananchi ndiyo...
0 Reactions
3 Replies
284 Views
Mheshimiwa Mama Yetu Samia Suluhu Hassan, Wapo wanaoongoza kwa mikono, wachache kwa akili, lakini wachache sana huongoza kwa moyo. Wewe ni miongoni mwa hao wachache uliyesimama si kwa nguvu, bali...
1 Reactions
1 Replies
287 Views
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu itaendela kuisimamia na kuipa hadhi sekta ya afya ikiwemo kwa kutoa vibali vya ajira...
0 Reactions
1 Replies
308 Views
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Benki ya Dunia kuhusu ushirikiano wa kimaendeleo kati ya Tanzania na Benki hiyo, kikao...
0 Reactions
0 Replies
328 Views
Makamishna wa TRA Wakurugenzi wa miradi ya wafadhili (donor-funded projects) Wakuu wa vyuo vikuu vya umma Maafisa wa ubalozi (diplomats) Wakurugenzi wakuu wa manunuzi (chief procurement officers)...
1 Reactions
1 Replies
347 Views
Habari Tanzania ! Je, tunaweza kuwa na eneo au maeneo katikati ya Miji yalibuniwa vizuri, kupandwa na kuwekwa bustani za maua hasa kwenye haya Majiji yetu sehemu ambazo wananchi watapumzika na...
2 Reactions
5 Replies
441 Views
Miaka ya 2000s hio, nilibahatika kusoma kwenye shule flani private baada ya wazazi kujibana vilivyo, shule hio walikuwa wanaruhusu simu, Kuna wanafunzi walikuwa wanaingiziwa vocha za laki 2 kila...
1 Reactions
11 Replies
499 Views
Hii itaendan na serikali kussuport ujenzi wa asphalt concrete mixing plants nyingi sana lengo Lami inayotengenezwa hapa Tanzania inakua na uzuri na ubora wa hali ya juu sana Gharama za...
7 Reactions
69 Replies
2K Views
Baada ya Jumapili kutokea ajali ya gari Visiga Kibaha,leo kumetokea mlipuko katika Kiwanda cha Nondo Zogowale Kibaha. Kiwanda hicho kinamilikiwa na wachina. Taarifa zinadai kuwa mlipuko huo...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari Tanzania ! Naomba kuuliza kwa kukaribisha hoja ya Utalii hapa nchini. Je, hatuwezi kuwa na Utalii wa ndani (Domestic Tourism) kwa kuwapatia watoto wa Shule za Msingi na Sekondari...
1 Reactions
0 Replies
421 Views
Unaweza kuona ugumu wa kulifungia Kanisa na Wepesi wa Kuifunga Huduma Huduma nyingi hapa Tanzania Mkuu wao alikuwa Askofu Moses Kulola wa EAGT na baada ya Kulola kutwaliwa na Mungu wa mbinguni...
4 Reactions
77 Replies
3K Views
Nikishuhudia uzinduzi kufanya biashara masaa yote 24 siku Saba za wiki mliopo mbezi tupeni ushuhuda hiyo biashara inafanyika masaa yote?
1 Reactions
1 Replies
313 Views
TUZIFAHAMU FAMILIA 13 ZA ILLUMINATI ZINAZOIENDESHA DUNIA NA MAISHA YA BINADAMU KATIKA NYANJA ZOTE. Kwa nini ni muhimu kuzifahamu familia 13 za illuminati? Katika kitabu kinachoitwa"Holy blood...
9 Reactions
112 Replies
18K Views
Hakika, historia ya Ukristo wa awali inaonyesha jinsi imani hiyo ilivyoathiriwa na mila na desturi za kipagani. Wakati Ukristo uliposambaa katika Dola ya Kirumi, ulijumuisha baadhi ya vipengele...
0 Reactions
6 Replies
428 Views
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Zikiwa zimesalia siku 17 kwa Waandishi wa Habari Kujisajili katika Mfumo wa TAI-HABARI ili kuomba Ithibati na Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Press Card)...
0 Reactions
0 Replies
339 Views
Mchungaji wa Kanisa la Gospel Revival Centel (GRC), Antony Lusekelo amehoji Matukio ya Watu kutekwa kutokana na kutoa maoni yao kuhusu Serikali na kueleza kuwa wanaofanya Vitendo hivyo wanatakiwa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Morogoro, Tanzania: Kampuni ya Puma Energy Tanzania imetangaza uzinduzi rasmi wa kituo cha umeme wa jua chenye uwezo wa kilowati 570 katika kiwanda cha tumbaku cha Alliance One Tanzania Tobacco...
0 Reactions
0 Replies
320 Views
Jeshi la Polisi Tanzania limewataka vijana waliochaguliwa kujiunga nalo kuripoti katika Shule ya Polisi Moshi kuanzia Juni 12 hadi 14, 2025 kwa ajili ya kuhudhuria mafunzo. Vijana hao, ni wale...
1 Reactions
5 Replies
877 Views
Back
Top Bottom