Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Steve mnaomtukana na kumdharau siku akidondoka alafu tukapitia vitu fulani fulani ndio tutamkumbuka sana"
0 Reactions
30 Replies
1K Views
1. Tamaduni na Dini: Spellcasting kama Uunganisho wa Roho na Nguvu Tamaduni za Kiafrika (Ifa, Voodoo, Uganga): Matumizi ya mitishamba, maneno ya nguvu, na mizimu yanaonesha imani kwamba ulimwengu...
1 Reactions
1 Replies
642 Views
"Seven Keys of Creation" ni dhana inayopatikana mara nyingi katika mafundisho ya kimetafiziki, kiroho, au ya siri. Ingawa tafsiri zinaweza kutofautiana kulingana na mila au chanzo, funguo hizi kwa...
2 Reactions
3 Replies
538 Views
SOMO: (LIGHT AS THE SOURCE OF CREATION AND AWAKENING OF CONSCIOUSNESS) Nukuu Takatifu kutoka kwa Nikola Tesla (1899) "Kila kitu ni mwanga. Katika mmoja wa mionzi zake kuna hatima ya...
0 Reactions
4 Replies
409 Views
🔰Ulimwengu WA 3D Hadi Ulimwengu wa 5D🔰 👉Hivi sasa ulimwengu wetu umegawanywa katika vipimo tofauti ambavyo unaweza kuchagua na kuamua ni njia gani unataka kwenda. Katika makala hii, napenda...
0 Reactions
2 Replies
752 Views
Ni jambo la kawaida kwa mujibu wa mitaala ya elimu nchini wanafunzi wa shule za secondari na shule za msingi kuwa na likizo ya mwezi mmoja kati ya mwezi wa sita hadi wa saba.Hata hivyo , kuna...
7 Reactions
42 Replies
2K Views
Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde ameeleza kuwa, Serikali ya Tanzania imeendelea kuchukua hatua madhubuti kuelekea mageuzi ya kweli ya Sekta ya Madini hapa nchini kwa kuanza rasmi mkakati wa...
0 Reactions
2 Replies
482 Views
Waziri wa Madini Anthony Mavunde amezindua mradi wa uchimbaji Madini ya dhahabu kwa vijana, wanawake na wenye ulemavu kwa kutoa leseni za uchimbaji mdogo wa madini ikiwa ni utekelezaji wa...
0 Reactions
1 Replies
317 Views
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ametoa muda wa siku 30 kwa Kampuni PMM Tanzania Limited inayoendesha na kumiliki Mgodi wa Kati wa Dhahabu wa Magambazi, uliopo katika Wilaya ya Handeni, Mkoani...
1 Reactions
1 Replies
428 Views
Imeelezwa kuwa mradi unaotumia teknojia ya kisasa ya uzalishaji umeme wa jua ni mkombozi kwa wachimbaji wadogo wa madini nchini kwa kupunguza gharama za uzalishaji kwa zaidi ya asilimia 65. Hayo...
0 Reactions
1 Replies
364 Views
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ametoa agizo kwa makampuni ya uchimbaji takribani 95 ambayo yamepewa leseni za uchimbaji lakini bado yanaendelea kusuasua kuaza uchimbaji. Akizungumzia suala...
0 Reactions
2 Replies
508 Views
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde leo Juni 4, 2025 amezindua zoezi la ulipaji fidia kwa Wananchi wa Kata ya Ngwalla Wilayani Songwe Mkoa wa Songwe kwa ajili ya kupisha ujenzi wa mradi wa...
0 Reactions
5 Replies
448 Views
Ni kawaida kwa mwanaume kuomba ngono katika mahusiano, ila ujue kuwa kumpa au kutompa hakutomfanya adumu kwako. Hivyo uhuru wa kumpa au kutompa unabaki kwako. Ngono pekee haitoshi kumfanya...
0 Reactions
5 Replies
658 Views
Sisi wakristo huwa hatupigani kwa nguvu za mwili na nyama, Biblia hasa Yesu anaagiza kwanza tuwaombee mema wale wanaotuudhi na kuacha kisasi kiwe cha Mungu, sio chetu, vita vyetu ni kwa njia ya...
0 Reactions
7 Replies
279 Views
Ni ujuha na mihemko tu kusema Watanzania tumewazidi Wakenya kila kitu au kusema Wakenya wametuzidi kila kitu. Uhalisia kuna mambo tunazidiana, haya ni baadhi. Watanzania tunayowazidi wakenya 1...
20 Reactions
139 Replies
5K Views
1. Hakutakuwepo na ibada ktk makanisa yote ya GCTC ya Tanzania kesho J'pili tarehe 8/6/2025 2. Wakristo na waumini wote wa makanisa hayo, wafanyie ibada zao nyumbani mpaka itakapotolewa taarifa...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Its simple, Wewe anakuuliza hivyo kama njia ya kejeli kwa maana anajua hauna uthibitisho wa kumuona ila na yeye anasahau kuwa yeye mwenyewe Hana uhakika kama kweli hayupo kwa maana labda kweli...
0 Reactions
4 Replies
341 Views
VETA (Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi) ina umuhimu mkubwa kwa vijana wa kizazi cha 2000 kutokana na sababu zifuatazo: * Ajira na Ujasiriamali: * Kizazi cha 2000 kinakabiliwa na...
1 Reactions
3 Replies
515 Views
Habari za uzima wenu ndg zangu hongereni sana kwa mapambano.Na wapenda sana. Nimeona nianzishe huu uzi uwe wa General kwa kutuma changamoto zetu zote tunazopitia katika mifugo yote. Hii namanisha...
11 Reactions
136 Replies
5K Views
Kwema 'Directors'? Kitendo cha Bwana yule kumzidi kete bosi wake wa wakati huo na kufanikiwa kupenya na kupeperusha bendera, kinaonesha Bwana yule alivyokuwa mjanja(smart)! Ama kwa hakika...
0 Reactions
1 Replies
306 Views
Back
Top Bottom