Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Akiwa Makamu wa Rais,Samia Suluhu Hassan alinikuliwa akitamka maneno ya Kejeli,dhihaka na dharau Kwa wapiga kura wa Chunya Mkoa wa Mbeya ! "Msipigie...
7 Reactions
4 Replies
518 Views
1: Doctors 2: Marafiki wa mitandaoni 3: Headmasters/Mwalimu wa mwanao 4: Boda Boda 5: Boss wake kazini 6: Garden boys 7: Graduate alieko kitaa muda wote 8: Mfanyakazi mwenzio 9: Mpangaji...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Habari Nimekua na muda mrefu sana pasipo kuhudhuria Misa takatifu ya roman Catholic kulingana na shughuli mbalimbali ambazo nimekua nafanya pengine kukosa muda wa kwenda kanisani kutokana na...
2 Reactions
1 Replies
286 Views
Kwa wale tuliosoma ifunda tech tunajua mziki wa engineering science (physics) sio poa. Mimi tangu nipo form one mpaka namaliza form six sijawahi kupata chini ya A kwenye somo lolote lile...
27 Reactions
412 Replies
45K Views
Makala ya utangulizi katika safu mpya ya JamiiForums Na: Mwandishi wa Uchumi 360 Je, tunaishi au tunapumulia tu? Hili ni swali gumu, lakini linastahili kuulizwa. Tunaamka kila asubuhi...
0 Reactions
0 Replies
229 Views
Mtu analipwa laki 8 kwa mwezi baada ya makato yote halafu anachukua mkopo wa milioni 10+ na anaanza kukatwa karibu laki 4 kwa miaka mitano. Hizi akili watu wanatoa wapi? Hela zenyewe hamna cha...
41 Reactions
124 Replies
12K Views
Leo siku ya pentecost tunafundishwa kuwa ni sikukuu ya kuzaliwa Kwa kanisa takatifu la Mungu sikukuu ya Mavuno... Watu Wana ongea lugha mbalimbali lakini zote Zina msifu Mwenyezi Mungu... Hakuna...
2 Reactions
6 Replies
390 Views
Kuna njia nyingi ambazo watu hutumia kufifisha mjadala au mazungumzo hasa pale inapobainika kuwa kuna ukweli usiowapendeza au unaoweza kuathiri maslahi yao. Hapa kuna baadhi ya njia zinazotumika...
3 Reactions
3 Replies
337 Views
Elon Musk na Donald Trump wameingia kwenye mgogoro mkubwa hivi karibuni kwa sababu kadhaa ambazo ni 1. Mgawanyiko kuhusu “One Big Beautiful Bill” Musk amekosoa kwa nguvu muswada wa $3‑trilioni...
0 Reactions
5 Replies
528 Views
Humu JamiiForums inabidi tuanzishe campaign ya ku ignore machawa wote ili threads zao wasome machawa kwa machawa.
47 Reactions
112 Replies
4K Views
Nimeanza kumcheki jamaa mida ya saa 6 usiku, ubao wa followers IG ulikua unasoma hivi (note muda juu kulia) Saa moja baadae saa 7 usiku, ubao unasoma hivi: Imagine hii ni usiku wa manane...
26 Reactions
108 Replies
8K Views
Katibu mkuu wa Kanisa la Glory of Christ (Nyumba ya Ufufuo na Uzima), Dk Erick Shoo ametangaza kutokuwa na ibada katika matawi yote ya kanisa hilo leo Juni 8, 2025 ikiwa ni utekelezaji wa kufungwa...
1 Reactions
0 Replies
412 Views
Mambo ntakayoyafanya nikìwa Rais wa Tanzania kwa Kuboresha mazingira ya vyuo na kua ya kisaaa kama ifuatayo Kuhakikisha ndani ya campus za vyuo vya serikali barabara zote zinapigwa lami...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Habari wana jf. Naomba kama kuna wasukuma org. humu ndani wanisaidie mila na tamaduni za kisukuma wanazoamini ni zao, wanapaswa kuziish. Mim ni msukuma fake(mama mnyarwanda, baba msukuma) watoto...
2 Reactions
8 Replies
750 Views
Habari Tanzania ! Natamani sana siku moja ardhi hii ya Tanzania isimamiwe na kuangaliwa toka moja kwa moja ofisi za JWT. Usalama wa nchi ni sambamba na ardhi. Kwa kuwa chombo cha JWTZ...
1 Reactions
8 Replies
530 Views
Ndio jiji pekee ambalo linakupa uhuru wa kupambana bila kelele nyingi na matarajio ya jamii za mikoani. Hakuna pressure ya kuwa na watoto au mke/mume, “focus zako” ni zako mwenyewe. Utaendelea...
15 Reactions
17 Replies
910 Views
Mnaofanya kazi kitengo cha huduma za wateja mtafute kazi nyengine sasa. AI wanakuja na mpango wa kutengeneza huduma kwa wateja ambao watatuliwa matatizo ambayo kama kwa njia software itakuwa...
4 Reactions
17 Replies
763 Views
Nimeona video moja, mzazi ametuma HELIKOPTA kwenda kuchukua mtoto mwanafunzi shuleni huko bukoba baada ya shule kufungwa. Jamaa simfahamu ila nampa pongezi sana maana ndio matumizi halali ya Pesa...
20 Reactions
52 Replies
2K Views
Hivi kwanini iko hivi maana kama kuomba si iwe kwa watu husika sio kwa mtaa mzima au eneo zima amlali ni kwaya usiku kucha ukienda kuangalia kanisa ndani wapo watu awazidi watano Mtuonee huruma...
8 Reactions
54 Replies
1K Views
Wahitimu wa kike kutoka vyuo vikuu wako wapi?? Wahitimu wa kiume wengi wameingia kwenye bodaboda na kazi za viwandani, pia wapo walioanguikia kwenye ulinzi na saidia fundi. Hawa wahitimu wa kike...
5 Reactions
34 Replies
1K Views
Back
Top Bottom