Habari wadau.
Kuna jambo limenishangaza sana.
Katika mtaa wa lumo, kata ya yombo vituka, wilaya ya temeke kuna shule ya sekondari iliyojengwa awamu ya 4 rais akiwa Kikwete katika mradi wa shule...
Kwa waumini wa gwajima;
GWAJIMA yupo mlima wa maombi na anaendelea vizuri!
Leo ni siku ya 4 ya mfungo wa maombi!
Gwajima anaheshimu mamlaka zote,Gwajima hana ubaya na mtu yoyote na anawapenda...
Hawa jamaa watamaliza dada zetu wa Morogoro, jamaa walevi wanapenda chini sio kitoto.
Kuna tukio likitokea la kusikitisha sana siku za karibuni.
Walinunua dada poa wakampeleka walipofikia...
Kuna utunzi wa nyimbo za injili hakika unakonga nyoyo kuanzia mpangilio wa sauti Hadi upigaji wa ala za muziki
Top five ya kwanza zinazo fanya vizuri katika maisha yangu ni hizi hapa
1; AIC...
Huku Arumeru umeme ni mateso vitu vimeunguzwa mpaka watu wamekata tamaa, kwa siku umeme unakatwa hata zaidi ya mara 20.
Leo wameukata tangia asubuhi bila kujua tatizo ni nini. Ni hujuma...
Maisha ya uswahilini ukiwa mgeni huwezi kuelewa wanaishi au wanatania.
Umekaa zako tu vizuri chumbani kwako unasikia inje dirishani kwako minong'ono ya watu wakitongozana laivu
Hujakaa vizuri...
Wakuu!
Kuna tabia inashamiri kwa kasi ya akaunti za Viongozi wa umma kublock, mute na kufungia comments
Sasa wananchi wanatoaje mawazo yao? Kama hutaki comments unapost kwanini?
Watu wawe na...
Ukifuatilia waumini wengi wanapenda kweli kusoma biblia na kutafakari, na wanaposoma wanapenda kuelewa kile wanasoma.
Kutokana na dhana nyingi walizojazwa ndani yao, wapo wanaishia kuona usomaji...
Katika ustaarabu wa China, ndoa haikuwahi kuwa tu muungano wa wapendanao wawili; bali ni muungano wa koo, uzalishaji wa urithi, na uendelevu wa heshima ya familia. Kila hatua ya harusi ilikuwa...
Maisha ya mwanadamu ni safari ya ndani—safari ya kuvuka majaribu ya tamaa, hofu, na giza la nafsi kuelekea mwanga wa utambuzi wa kweli. Kati ya maadui wakubwa kabisa wa maisha ya kiroho na...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeyafunga makanisa sita ya Ufufuo na Uzima yaliyopo eneo la ZZK Mbalizi, Mtaa wa Mnadani Rujewa VWilaya ya Mbarali, Wilaya ya Chunya, Rungwe, Kyela na Jijini Mbeya...
USIACHE UMRI UAMUE HATMA YAKO...
Unaweza kuanza kwa bidii, ukiwa na miaka 29 tu—
Ukajipanga, ukajiamini, ukajenga ndoto zako kimyakimya, baada ya kupoteza kwenye 18-25s
Miaka 31, ukaoa au...
"Ooh malkia wa uingereza alivyo taka kumsalimia nyerere angali mkono wake ukiwa na glove, nyerere alikataa kuumpa mkono na akampa kifimbo chake kama mbadala wa mkono ili kumuonesha hataki dharau...
Jf Amani iwe kwenu nyote.
Kama kichwa cha habari kinavyosema je ni sawa ama sio sawa kumwangia nje wakati wa kugonoka?
Katika hali ya kawaida kabisa ktk jitihada za kupanga uzazi wa mpango leo...
Kukosekana kwa madawati ya kutosha Shule ya Msingi Mtambani iliyopo Bunju - Kinondoni jijini Dar es Salaam kumesababisha baadhi ya wanafunzi kusoma wakiwa wamekaa sakafuni, jambo linalowakosesha...
Hapa Afrika kuna watu wanafahamika kama Jeshi la Mashambulizi. Hao ukianzisha ugomvi nao huko X (Twitter) jihesabie umepoteza pambano kabla hata halijaanza. Watu hao ni Wakenya wa Twitter (X) au...
MAMLAKA ya Maji na Usafi wa Mazingira Mjini Maswa (MAUWASA) imetumia zaidi ya Shilingi bilioni 29 kukamilisha jumla ya miradi 18 ya maji safi na salama katika maeneo mbalimbali ya wilaya ya Maswa...
Binafsi hapo awali sikuwa interested sana kufuatilia interview ya Milardi Ayo na Jesca Magufuli,lakini jana katika kupitia hapa na pale,nikasema ebu ngoja nichek hii interview
Kiukweli sikujutia...
Ndugu zangu, mara kwa mara nimekuwa nikiwasimulia humu mambo makuu anayonitendea Mungu maishani mwangu. Leo tena nawaletea ushuhuda wa kweli, kweli tupu, jinsi Mungu alivyoniwezesha kupata...
Je unajua ubatizo unaua na vile vile unaokoa?.
Ipo siri kubwa sana katika ubatizo ambayo laiti watu wengi wangeijua wangeutafuta kwa bidii zote.
Hebu tusome mistari ifuatayo,
1 Petro 3:20 “watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.