Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amepiga marufuku raia wa kigeni kuingia na kufanya shughuli kwenye leseni za uchimbaji mdogo; hii ni kufuatia changamoto zilizobainika katika uingiaji...
1 Reactions
3 Replies
426 Views
Njaa inaweza kumfanya mtu afanye jambo la ajabu sana! Tena usiombe upatwe na njaa ikiwa unga umeisha, mafuta yameisha, gesi imeisha, luku imekata n.k Hakika kuna uchizi huwa unaingia ghafla hata...
12 Reactions
113 Replies
12K Views
Je, ni sahihi kwa mwanaume kuvaa kofia au kufunika kichwa chake anapokuwa katika ibada? Biblia inalo jibu la wazi kabisa. Katika 1 Wakorintho 11:4, Mtume Paulo anaandika: “Kila mwanamume...
2 Reactions
64 Replies
2K Views
Kuna kanisa leo kutwa nzima wanapiga kwaya tu tena kwa kutumia sauti za nje. Wenyewe wapo majumbani lkn wameweka flush, licha ya leo.kuwa eid Waislam watu wa amani sana, maana uvumulivu kwa dini...
0 Reactions
11 Replies
386 Views
Ukifika Dar kwanza jihesabu wewe ni miongoni wa wateule wenye bahati, hivyo usiichezee nafasi hiyo. Bila kujali umeenda huko kwa njia gani iwe umeletwa kwa kudandia gari ya msiba, ama umeenda...
2 Reactions
7 Replies
894 Views
Leo hii watu wengi wamepanga foleni kuchagua kilichochaguliwa. Huo muda mchafu sina
12 Reactions
29 Replies
1K Views
"USIANGALIE MACHO YAKE – ITAKUFUATA USIKU!" Mtu huyu si wa kawaida. Uso wake umeharibika kwa kuungua na kuoza, macho yake meupe yamevimba kana kwamba yanatazama roho yako moja kwa moja. Kinywa...
0 Reactions
10 Replies
766 Views
Nina bachelor degree in Gender and Development, nataka kwenda Dubai kutafuta maisha. Ila ndoto zangu nataka kwenda nchi za kiarabu kama njia ya kwenda ulaya... Hasa scandinavian countries, Sasa...
2 Reactions
18 Replies
737 Views
[emoji344] VIJANA WENZANGU! Sauti yetu ni nguvu yetu [emoji1434]! Tusikubali kudanganywa wala kuzuiwa kushiriki maamuzi ya nchi yetu. Wakati umefika wa kusimama imara na kusema...
-1 Reactions
99 Replies
2K Views
Mwisho wa mambo yote umekaribia; basi, iweni na akili, mkeshe katika sala. Zaidi ya yote iweni na juhudi nyingi katika kupendana; kwa sababu upendo husitiri wingi wa dhambi.
9 Reactions
22 Replies
1K Views
Timu ya wataalamu kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imekamilisha rasmi mafunzo ya Usajili wa Miamala ya Hakimiliki za Kimila kwa Watendaji wa Vijiji pamoja na Wenyeviti wa...
1 Reactions
5 Replies
349 Views
Katika tukio la kihistoria, Dkt. Nyambura Moremi ametangaza rasmi kujiuzulu kama Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Umma (NPHL), akihitimisha kipindi ambacho kilibadilisha kabisa taswira ya...
2 Reactions
5 Replies
571 Views
Msongo wa mawazo ni hali ya mfadhaiko wa kiakili ambao hujitokeza pale ambapo mtu atakuwa anapitia tatizo, kikwazo, dhiki au changamoto yoyote maishani mwake ambayo inakuwa ngumu sana kukabiliana...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Kijana kaomba aongezewe pesa iliyobaki ili aweze kufanya sherehe kabambe. Wakuu mtu kama huyu anasaidiwa vipi huko kwenu?
8 Reactions
48 Replies
1K Views
Nchi inayoongaza kuwa na maafisa ubashiri wengi afrika ni 1. South afrika - 83% ya maafisa ubashiri wanaweka majamvi. 2. Kenya - 79% ya maafisa ubashiri wanaweka majamvi. 3. Tanzania - 74% ya...
3 Reactions
6 Replies
527 Views
Moja ya post Tumejipanga kusimamia miundombinu ya michezo. Post hiyo upande wa comment imefungwa na Msigwa je hii ipo vipi?
6 Reactions
11 Replies
781 Views
Video hii ikimuonyesha moja ya mwanamke akizungumza katika mkutano wa hadhara Mambo hayo 🤣🤣🤣
3 Reactions
7 Replies
502 Views
Hongereni Kwa kazi nzuri ya kujenga maduka mazuri kuzunguka kituo chenu cha polisi, ila kibanda kilichopo mbele ya kituo chenu kinaondoa hadhi ya jengo lenu.... Banda Hilo halitumiki na ni kuu kuu...
2 Reactions
10 Replies
402 Views
Hii inakuaje wazee Kuna broo huku mtaani kwetu Kila mwaka anasafiri kwenda mikoa mbali mbali kuchimba madini tangia mwaka 2002 ndio kazi yake hiyo cha ajabu hakuna alichofanya hata kiwanja Cha...
4 Reactions
50 Replies
2K Views
Hivi ni kweli kuwa Kuna pesa za kishirikina? Mimi naona ni story tu na kuaminishana ujinga
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Back
Top Bottom