Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nabii na Mtume Mwamposa amewataka waumini wake wajiandae kupikea ugeni mkubwa sana wakati wa ufunguzi wa Jengo jipya la Ibada Wageni hao watatoka duniani kote wakiwo viongozi wakubwa Source...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Ndio maana wakati wa mwezi wa Ramadhani wakipenda kualikwa ktk ftari za waislam. Ukiwaalika wanafurahi sana na unawaona kwamba wanakula vyakula ambavyo kwao wanavipenda na hawavipati ktk familia...
16 Reactions
131 Replies
4K Views
Sahihi bukhari 691 inasema wakati wa kuswali ikitokea mtu yeyote ataanza kunyanyua kichwa chake kabla ya imam wake msikitini Allah atamgeuza huyo mtu kuwa Punda. Je ni kweli watu huwa wanageuka...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Pichani ni Eric Mandala Kizenga, raia wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Fally Ipupa alitunga wimbo maarufu kumsifia mkewe, Maria Piron Mandala (PM). Wimbo huu ulizua gumzo sana, na kuonyesha...
33 Reactions
222 Replies
15K Views
Kulikoni? Naambiwa Huko Iwambi Mbeya kuna ajali kubwa. Pigia simu ndugu na jamaa.. Sijajua zaidi hadi sasa sababu ni taharuki tupu.. Tusubiri Polisi waseme ===== UPDATES: 1200HRS ===== Watu...
6 Reactions
45 Replies
4K Views
"Pasipo upepo, mashua haisogei,’ asema huku akiingia kwenye akaunti ya mtu mwingine kama jambazi wa mawazo, kisha anajitangaza kama mjumbe wa taifa. Huyu ni kama kunguru aliyevaa joho la bundi...
1 Reactions
2 Replies
421 Views
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima, amesema mwaka huu wanawake wameitika kwa kushiriki katika makongamano ya wanawake yaliyofanyika sehemu...
1 Reactions
5 Replies
402 Views
WIZARA YA TAMISEMI YAOMBA TRILIONI 11.78 YA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA MPYA 2025/2026 OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imewasilisha bungeni makadirio ya mapato kwa...
0 Reactions
3 Replies
497 Views
Ikiwa leo ni siku ya mwisho ya kujadiliwa kwa bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) wananchi mkoani Dodoma wamejitokeza kutoa maoni yao kuhusu bajeti hiyo kwa...
1 Reactions
2 Replies
489 Views
Leo siku ya siku ya Eid Al Adha karibu viongozi wote wa dini wameongea siasa kwenye mahubili ya swala zao maani woto wameongelea jambo la uchaguzi mkuu wa October kuwa uko palepale na wamesisitiza...
6 Reactions
45 Replies
2K Views
Wakuu Elon Musk alikuwa Special employee wa Serikali ya Marekani ku lead Department of Efficiency(DOGE) tumekuwa tukisema umu kuwa mafahari wawili hawakai zizi moja Bunge la marekani na Wapinzani...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
GT Pesa ni hatari sana. Ndo maana hata kwenye bibilia pesa imeandikwa kumsaliti yesu. Viongozi wenye njaa wanaenda kulitumbukiza taifa hili katika matatizo Makubwa sana. Wale wa wa upande ule...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Inawezekana umeshtuka au ujaamini kile unachokiona kupitia macho yako lakini ndo Uwalisia , kama wewe ni mwana mitindo je Utaweza kununua begi ili lenye thamani kubwa kuliko ndege halisi...
1 Reactions
10 Replies
403 Views
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wakati upo down hakuna anayetaka kujihusisha na wewe isipokuwa watu Wachache Sana ambao ni wenye upendo wa KWELI kwako. Hawataki kujihusisha na familia yenu. Na...
5 Reactions
15 Replies
781 Views
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekumbwa na ongezeko la matukio ya kutekwa kwa watu—hali inayoibua hofu, mshangao na maswali mazito miongoni mwa raia wake. Hili si jambo la kawaida, na n...
0 Reactions
10 Replies
527 Views
Serikali imesisitiza kuwa watoa huduma wanaopewa zabuni ya kuzoa taka katika mamlaka mbalimbali nchini wanapaswa kuwa na vifaa na miundombinu muhimu vinavyowalinda wafanyakazi dhidi ya madhara ya...
1 Reactions
2 Replies
274 Views
Mashindano ya Dream fm super cup yaliendelea kutimua vumbi siku ya jana kwenye uwanja wa chuo kikuu cha Teku Mechi hiyo ya fainali ilizikutanisha timu za chuo kikuu cha Sayansi na technology MUST...
2 Reactions
3 Replies
423 Views
Wengi wetu hatuamini kama kweli kura huwa zinaibwa. Ukweli ni kwamba kura huwa zinaibwa haswa maeneo yenye upinzani mkali. Nitashare nanyi baadhi ya mbinu nilizo fanya utafiti wangu binafsi 1...
0 Reactions
4 Replies
412 Views
Salaam! Kama kichwa kinavyojipambanua. Huu ndio mpango wangu miaka 3 ijayo. Jimbo nitalitaja hapo baadaye. Kwa sasa naomba ushauri na mawazo yenu ya kunijenga na kuniwezesha kufanikiwa juu ya...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Back
Top Bottom