#NoReformsNoElection
Wananchi wa Butiama wamepewa ng’ombe 500 kama sadaka ya Eid al-Adha kutoka kwa Mbunge wao, Jumanne Sagini – tukio lililopambwa kwa kauli za mshikamano, imani na upendo...
aslaam,
Hakika narudia tena, kama wewe mwanaume una mahusiano yawe ya muda mrefu au mfupi na mwanamke aliyeajiriwa iwe sekta binafsi au serikalini na umeweka Nia ya kumuona hakiyamungu jiulize...
Wakuu hii style ambayo CCM wamebuni ya kupakana rangi vidoleni ilianzishwa na Nani?
Ni aibu kubwa Sana kama taifa linaloji nasibu kuwa Lina uchumi wa Kati kuendelea kutumia mbinu ya wakoloni...
Ukifatilia makala ya vita vya kagera kuna video zinaonyesha wanajeshi wanataamka kidumu cha mapinduzi.
Ni jambo la kujiuliza kwa nini hii sera kidumu chama cha mapinduzi hipo mpaka kwenye vyomba...
Waandishi wa habari nao wamejitosa kwenye Kampeni ya kumtetea Rais Samia,
Ina maana utekaji, mauaji ya watanzania na unyanyasaji unaoendelea nchini hawauoni? hawausikii? Ama wameamua kushupaza...
Mimi ni mhitimu wa chuo cha mafunzo na ufundi VETA Dar es salaam, kozi ya udereva wa awali, ila kumekuwa na adha katika suala la kupata leseni nimeenda TRA zaidi ya mara mbili ila nimeambiwa...
Poleni kwa majukumu.
Ndugu zangu hapa katikati kuanzia miaka ya 2010 limeibuka wimbi la waandishi wa habari pamoja na vyombo vyao vya habari ambavyo vimekua ni zaidi ya janga kabisa.
Kwanza...
Habari wana jamvi kwa miaka ya hivi karibuni takribani 3 nmekuwa nkifuatilia projects mbali mbali kuhusu hawa viumbe wa kigeni duniani yaani ALIENS
Nimekuwa nikofuatilia documentaries za historia...
Yaani kweli Hussein Bashe na Dr Samia ndani ya UTAWALA wao wa miaka 4 hawajakuza KILIMO hata kwa asilimia 10%.
Swali langu ni kutokana na kauli ya kafulila ya kuwa tukikuza KILIMO kwa asilimia...
- Weka umakini katika rangi ya moto wa gesi uliopo kwenye jiko lako.
* Kama moto una rangi ya bluu inamaanisha kila kitu kipo vizuri na joto linalozalishwa na huo moto ni nyuzi joto kuanzia...
Hii ni observation yangu.
Baada ya Utandawazi kubomoa mfumo huu muhimu wa jamii yetu kwa kisingizio cha uasherati na ukeketaji sasa ndio tunaanza kuona matokeo yake halisi.
Vijana balehe...
Kundi la mwisho la mahujaji 273 wa Hajj kutoka Jammu na Kashmir waliondoka kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Srinagar siku ya Jumatatu, wakienda kwenye hitimisho la safari za Hajj kwa mwaka...
Ni mambo mengi sana muhimu watu huwa wanasubiri wakati sahihi kuyaweka wazi lakini kifo huwa hakina hodi
Mifano ya vitu Muhimu ambavyo havitajulikana ukifa leo:
Akaunti zako za benki au fedha...
Mabibi na Mabwana habari zenu.
Sio kitu muhimu sana but kimenifanya nijione maisha kuna muda mwingine yanaweza kupoteza vitu flan maishani mwako ambavyo japo unavichukulia kama minor issues but...
Nilisimamia kauli yangu kwamba "usimtukane mamba kabla ya kuvuka mto"
Na baadaye kuna wananchi waliandika kila aina ya mada sehemu tofauti za kushangilia kuamukiwa kwa ugomvi sijui ulikuwa wa...
Yaani maumivu niliyonayo hapa hayaelezeki,toka wiki iliyopita najiuliza nipo Tanzania au nimetekwa na mimi nipo nchi zingine zisizokuwa na umoja wa kitaifa kwa dini na makabila yote,kinacho...
Nimemsikiliza Msigwa akiwa Udom akiwaambia wanachuo kuwa rais ameagiza kuwapelekea wanafunzi wa vyuo vikuu burudani kwa kuwa wanasoma sana.
Nimejiuliza, hivi hili nalo rais kaagiza? Burudani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.