Katika maisha ya binadamu ,tunao marafiki wa wili ambao bila wao hatuwezi kuishi duniani.
Rafiki wa kwanza kabisa ni Mungu,muumba wa mbingu na dunia.Alianza kuumba maji ,ardhi ikafuata miti...
Naona kwa sasa nchi inaelekea kwenye uponyaji wa kweli baada ya watu wengi kuondokana na tabia ya kuogopa na sasa wanaongea wazi-wazi.
Watekaji wasiojulikana wanakazi ya kuteka wananchi wote...
Hili suala la viongozi kununulia watu nyama siku za sikukuu inamaanisha bongo bado watu wengi hawana uwezo wa kununua nyama ya kula?
Mbona kuna watu huwa wanasema maisha ni rahisi sana bongo...
Mavazi ya kivita katika Jeshi la Marekani (U.S. Military) ni ya kisasa, yanayotumia teknolojia ya hali ya juu kwa ajili ya kulinda askari vitani, kuongeza ufanisi na kuwapa uwezo wa kuhimili...
Napata ujumbe huu
"error initializing transfer request "
Niliomba maombi ya uhamisho wa kubadilishana vituo vya kazi , mwenzangu aka accept ombi then maombi yakatumwa kwa mkurugenzi na kuwa...
Jamani naombeni msaada wenu, mke wangu alikuwa anaenda Songea kufika Mbezi wakamtapeli wakamkatia tiketi ya basi la kwenda Kyela lenye jina la Kyela Express.
Alipoomba msaada hakuna...
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) - Dayosisi ya Kusini Kati limefanikiwa kupata zaidi ya shilingi milioni 210 katika harambee ya ujenzi wa kanisa la Makao makuu iliyofanyika leo Juni...
Wazoefu wa mikoa ifuatayo....
Je, kati ya mikoa ifuatayo ni wapi kunamfaa kuishi mtu wa maisha ya chini na kati?
(A) DAR ES SALAAM
(B) ARUSHA
(C) MWANZA
(D) MOROGORO
(E) DODOMA
USIACHE...
Nimewaza mpaka nimewazua ; kama Ulikosa tafakuri hii Usiku wa Jumamosi (Jana) basi jumuika nami Leo hii tuzichangamshe bongo zetu tulizotunukiwa na Muumba 👇👇👇...
Kutaanzishwa kilimo cha umwagiliaji cha miti ya rubber cha mashamba makubwa sana, latex inayovunwa kutoka kwenye miti ya rubber ni nzuri kutengeneza vitu kama condom, na gloves sababu ni imara...
Unamsikia binti anasema
“Mimi siasa sio vitu vyangu”
Kikubwa nakula nashiba nalala naamka!
Au kijana wa maana kabisa anakwambia
“Mimi ishu za siasa sizimii kabisa zinanipotezea muda”
Kikubwa...
Wasanii wengi wa kwetu na watu maarufu wanasahau kuwa Raia ndio waliowafikisha pale juu kwenye mafanikio na wala sio serikali wala Mwanasiasa yeyote.
Nchi kama Marekani, Wananchi walichoma...
Kauli ya “No Reform, No Election” ni tamko linalodai uchaguzi usifanyike bila kwanza kufanyika kwa mabadiliko ya msingi ya mfumo wa uchaguzi.
Wakati makundi ya upinzani au wanaharakati wanapotoa...
kama kweli Yesu alikuja afe kwa hiari ili kuwa fidia ya dhambi zetu kwanini akae kimya wakati wanajeshi wa kirumi wanauliza yesu ni upi?
Swali hili linaibua hoja ya mantiki: Kama Yesu alikuja...
Kuna hizi pipi za watoto!
Ziko ndani ya vigari vidogo pamoja na pipi yake unapata kwa tsh 200/= (mia mbili)
Ukijuuliza malighafi ya kuunda hivo vigari, muda, kiwanda cha kuunda kigari, uweke...
Nchi nyingine, watu maarufu na Mastaa usimama na Wannchi linapokuja swala au jambo la maslahi ya wananchi kwa ujumla. Huko South Africa, Nigeria hata hapo kwa majirani zetu Kenya wasanii wengi...
Protas Magesa Katibu wa zamani TSC (Teachers Service Commission)wilaya ya Bunda anatajwa na wajumbe wengi kama kiongozi anayestahili kuwa naibu Katibu mkuu CWT.
Hakika kwa walimu huyu mtu...
Kuna mambo mengine ukisikia mitaani unaweza kusema wanawatetea watu ambao hata wajawahi kuwepo kwenye hizo nchi.
Yani mfano mimi ni muone putin au marcon kuwa watu wenye haki wakati sipo nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.