Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

⭐Tolstoy aliamini kwamba imani ya kweli haipaswi kuonyeshwa tu kwa sala, ibada, au mafundisho ya kidini, bali kwa jinsi mtu anavyoishi. Mtu wa dini anapaswa kuonyesha huruma, haki, na maadili mema...
0 Reactions
0 Replies
253 Views
Kwa mtazamo wa kifalsafa, mwanamke ni chanzo cha uhai na msingi wa maisha. Hii inaonyeshwa wazi kwa kutumia mifano kama motherland, mother nature, mother tongue, na mother earth—hizi zote ni...
1 Reactions
1 Replies
327 Views
Siku za hivi karibuni ukiwa na mkopo kwenye ulikopa kwa kutumia namba yako ya NIDA basi upati mkopo kwenye Bank. Je ni sahihi kunyimwa mkopo wa bank eti ulikopa Kwa kutumia NIDA namba tena...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Yani hali yetu ni tete sana labda hao wenye mirija ya ufisadi kwao mambo yao safi.Yani toka mwaka uanze jadi sasa biashara hazijachangamka mzunguko wa hela tabu tu.
29 Reactions
93 Replies
4K Views
Habari Wana JF,Miaka ya nyuma huko1960.......1990,Tuliokuwepo, unaenda posta unakoroga simu kwa operator,anskuitikia unataka namba baadae anakuunganisha unaongea na kutumbukiza hela ya muda wa...
3 Reactions
4 Replies
306 Views
WANAMICHEZO WANAENDELEA KUWASILI VIWANJANI UZINDUZI WA UMITASHUMTA & UMISSETA 2025 OR-TAMISEMI Wanamichezo kutoka mikoa mbalimbali wanaendelea kuwasili katika viwanja vya Kichangani Manispaa ya...
0 Reactions
0 Replies
262 Views
Kwakwel licha yakua tunatoutiana dini lakini heshima Kwa mitume na manabii wa MUNGU ni jambo nzuri Kwa dini zote, huwezi tu Leo kuanza kuwakashifu manabii wa mungu kisa Sheria za kizungu za miaka...
1 Reactions
1 Replies
330 Views
Baadhi ya mabweni ya Wanafunzi wa kike pamoja na stoo ya Shule ya Sekondari ya Jenista Mhagama iliyoko Halmashauri ya Songea Mkoani Ruvuma yameharibika kwa kuwaka moto siku chache zilizopita na...
1 Reactions
4 Replies
661 Views
Ndugu zangu niwasalimu kwa jina la mizimu ya mababu wema walio itunza asili ya kiafrika, mizimu iwalaani mababu waovu walio rubuniwa kupoteza uafrika na kutuletea Imani za ajabu zisizo kuwa na...
18 Reactions
157 Replies
62K Views
Wakuu! Ni jambo la kusikitisha kuona jinsi ambavyo baadhi ya wabunge wetu bado hawajafahamu vizuri majukumu yao ya msingi kama wawakilishi wa wananchi. Katika kipindi hiki ambacho nchi inapitia...
1 Reactions
1 Replies
378 Views
Maafisa 30 wa kilimo na wataalam wa kiufundi kutoka Nigeria, Ethiopia, Kenya, Misri, Gambia, na Cameroon hivi karibuni wamekamilisha "Semina ya Teknolojia ya Mpunga wa Kudumu kwa Nchi za Afrika...
0 Reactions
1 Replies
387 Views
Habari zenu? Swali hili nalielekeza kwa Wana-taaluma wa afya Madaktari, Manesi.... Je, uhai na PF3 kipi kina umuhimu zaidi, kuna case mbalimbali ambazo waliokumbwa na kadhia za ajali...
3 Reactions
7 Replies
357 Views
Huu Sasa ndio Utume na Injili!! Mchungaji wa Kanisa la waadventista wa Sabato Kinyerezi Maotola John Lumbe amesema wanaothubutu kukatiza uhai wa watu damu zao zitawalilia akisema 'inakuweje wewe...
16 Reactions
44 Replies
4K Views
Hivi karibuni nilipata fursa ya kukaa karibu na operators, mafundi ,drillers na madereva wanaofanya kazi kwenye kampuni za uchimbaji wa madini hapa nchini. Nilishangazwa kubaini kwamba wengi wao...
3 Reactions
11 Replies
633 Views
Wakuu, Yaani kutoka TANU mpaka kufikia CCM bado wameendeleza kuweka nguvu kwenye mambo yasiyo na maana na kuacha vitu ambayo vinadidimiza taifa kwenye maendeleo ya sekta mbalimbali. Yaani watu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwisho wa miaka ya 1990 na mwanzoni mwa 2000, intaneti ilikua jukwaa la video za kutisha za mauaji, ikiwemo vichwa vya watu wa Magharibi kama wazungu na wamarekani vikichinjwa. Video hizi...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Mariam Saidi Mfaume amekaza ngumi kwenye mkono wake mdogo, akashusha pumzi ndefu na kufyatua teke juu lililopita kwenye hewa yenye ukungu. Matone ya mvua yalidondoka kwa upole kwenye majani yaliyo...
1 Reactions
0 Replies
414 Views
KITABU CHA ENOCH KINAWATAJA MALAIKA 200 WALIOASI AMBAO NDÎO WALIIBA WALIIBA SIRI NA TEKNOLOJIA ZA MBINGUNI KISHA WAKAMFUNDISHA BINADAMU Anaandika Robert Heriel Mtibeli Kwa Wakristo na waumini wa...
63 Reactions
331 Replies
28K Views
Kwa bahati mbaya kuna watu badala ya kuoa mke ila wanajikuta wanahudumia mke na familia nzima yaani hii ni utake hsitake. Hasa ukiaa muoga kuaachana wanahamiavwote kwako.
5 Reactions
13 Replies
688 Views
Kama umefika geita na viunga vyake utajionea umaskini uliopo kuanzia miundo mbinu na wananchi wenyewe. Katika mkoa wenye migodi mingi mikubwa ni geita. Shida ya serikali yetu ya CCm tokea kupata...
2 Reactions
10 Replies
617 Views
Back
Top Bottom