Katika hali ambayo sikutaraji kbsaa ni hiki kitendo cha kunyimwa maji ya kujengea
Nimemaliza karibia material karibia zote za kujengea nyumbani kwake na bila wasi wasi, sas ilipowadia kipindi cha...
Video hapa chini
Video hii inaonyesha kijana aliyemkopesha mama yake kiasi cha laki 5 na alipoenda kumdai, mama yake kiasi hicho ili arejeshewe, basi mama yake alianza kukumbusha mambo yake yote...
Wakuuuu habari za mida ikiwa ni weekend tulivu kabisa
Kwa heshima naandika hapa nilimkopa mke WA MTU pesa sahizi nimeitwa kwa mwenyeketi Nina kesi ya kujibu
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai Wakazi wa Mtaa wa Makamba, Mbezi Msakuzi wana uhaba wa Huduma ya Maji katika Mtaa wa Makamba kutokana na Mradi kutokamilika kwa maelezo Mhandisi...
Wakuu nasoma chuo X hapa dar
Sasa Kuna matatizo kwenye mfumo wangu wa matokeo
Matokeo yalivyo yanaonesha Nina incomplete kibao na ada zimeongezeka na muda wa kufanya mithiani imebaki wiki moja...
Katika zama hizi tunazoita za maendeleo, kuna mambo mengi tunashangilia bila kuyachambua kwa undani. Tunaona fahari umeme unaposambaa hadi kijijini, nyumba za nyasi zinavyopungua, na watu...
Kila media utakayoingia utaskia bodi ya ligi na dabi mara hatuchezi mara betting mara ujinga gani sijui.
Hivi kipaumbele chetu kimekuwa michezo?🤔
Jamani hatuna mengine ya kiuchumi kisiasa...
Mara Wasipofanikiwa kukutumia kwa malengo yao watakuita Bahiri. Iwe ndugu, marafiki au, mpenzi.
Katika kitu Hatari kwenye Biashara ni kusifiwa kua unatoa sana Pesa, Biashara lazima ikushinde na...
Baadhi Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo, Dar es Salaam ambalo limefungiwa na Serikali, wamejitokeza eneo la pembezo na Kanisa hilo wakiimba nyimbo mbalimbali za Dini.
Hata...
Hii bank nadhani kwa sasa wanabweteka sana hawajali tena wateja wao. Imagine wateja 8 tu wanahudumiwa masaa matatu kwenye huduma za kutoa/kuweka pesa dirishani, hivi mnaajiili vilaza au?
Na kama...
Yohana 18:33–38
33 Pilato akaingia tena ndani ya ikulu, akamwita Yesu na kumwuliza, "Ati wewe ndiye Mfalme wa Wayahudi?"
34 Yesu akamjibu, "Je, hayo ni maneno yako au wengine wamekwambia habari...
Zaidi ya shilingi Bilioni 2.4 zimetengwa na serikali kupitia Ofisi ya Rais-TAMISEMI kwa mwaka 2025 kwaajili ya Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa shule za Msingi na Sekondari.
Hayo...
Alikuwa amekaririshwa kwamba kutahiri watoto wake lazima aende kwa Dokta Juma Kariakoo. Anaishi Chanika na hana gari binafsi. Tukamshauri mpeleke pale nguvu kazi hospital tafuta Dokta anae fanya...
Katika mistari hii ya kina ya Seneca, tunaalikwa kuutafakari msingi wa maisha yetu—siyo kwa matukio ya nje, bali kwa namna tunavyoyatafsiri kupitia fikira zetu. Hii ni falsafa ya kweli ya kiungu...
Katika utafiti wangu nimegundua kuwa kwenye maisha ya kujitafuta/utafutaji/kufanya uamuzi, watu wamegawanyika katika makundi matatu.
1. Watu ambao wana kipawa cha kugundua hasara/madhara kabla ya...
Hello, wanaJF;
Sote tunajua Serikali imefungia mtandao wa X (Twitter) lakini wao Serikali wanaendelea kuutumia kwa kutoa matangazo yao kwenda kwa Wananchi na watumiaji wa mtandao huo.
Sababu zao...
Ni desturi na tamaduni iliyozoeleka kwa wa-tz kwamba nyama ya kafara inabidi iliwe pale pale eneo la kafara, sasa je, ni halali kupokea misaada ya nyama ya kafara toka kwa nchi za uarabuni baada...
Mgogoro wa ardhi unaoendelea katika eneo la Mbopo, Wilaya ya Kinondoni, umeibua malalamiko kutoka kwa Wakazi na Wamiliki wa viwanja wanaodai kunyimwa haki zao. Wananchi hao, wakijitambulisha kama...
Hili ni swali muhimu linalopaswa kujibiwa, Inafahamika kwamba miongoni mwa watoto hao wa Mahita yumo Mahita Omari ambaye sasa imefahamika kwamba amewekwa kwenye kundi la WATESAJI, au kwa jina la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.