Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kimemaliza kimepata rais mpya, Suleiman Ikomba, aliyeibuka mshindi kwa kupata kura 608 dhidi ya kura 260 alizopata aliyekuwa rais wa awamu iliyopita, Leah Ulaya...
2 Reactions
0 Replies
520 Views
Tukiangalia muamko wa wananchi hasa GenZ uko mtandaoni ni wamechangamka kweli, ila tujaribu kufikiria hata kihistoria mageuzi mengi watu walichukua hatua kwa kunyanyuka na kwenda kutenda ndipo...
1 Reactions
3 Replies
357 Views
Mwenyekiti wa Taasisi ya Pondeza Foundation, Mhe. Ussi Salum Pondeza ametoa ufafanuzi mfupi kuhusu malengo na safari ya kuianzisha wa Taasisi ya Pondeza Foundation ambapo ameeleza kuwa Taasisi...
0 Reactions
1 Replies
293 Views
Kijana kamaliza degree yake akiwa na 23, mindset yake imekuwa tuned kujiona yeye ni special keki kwamba inabidi asubiri kazi za ofisini zenye ulaji mnono, ujinga huu huwa wanajazana sana vyuoni...
17 Reactions
33 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa utafikiri uliofanywa na jarida la takwimu l AfroBarometer limebaini kwamba takribani 45% ya Watanzania wote wanasema Hitaji lao kuu ni Huduma za afya. --- A recent survey by...
0 Reactions
3 Replies
311 Views
Tangu jana Yanga watoe matangazo ya kuendelea na msimamo kila mtu anapaza sauti hadi wakina mama tena kwenye hizi public transport imagine. Ila mijadala yenye afya kuhusu mustakabali wa taifa...
4 Reactions
14 Replies
557 Views
Katika hali ya kushangaza, kauli mbiu ya "No Reforms, No Election" inachipuka kwa kasi kubwa kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, jukwaa ambalo lilizoea kudharauliwa na wachambuzi wa kisiasa...
18 Reactions
50 Replies
3K Views
NO REFORM NO ELECTION MADAI NA MSIMAMO WA CHADEMA NA WANANCHI WOTE 1. TUME HURU ISIYO CHINI YA RAIS/IKULU: Tume ya sasa sio huru ipo chini ya Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Mgombea Urais. Hii...
4 Reactions
16 Replies
766 Views
Je, walijitathimini vizuri, wakagindua na wakaona mbali na hatimae wakajiepusha na anguko la vyama vyao kama ilivyoangukia pua Chadema chini ya ungozi wa Tundu Lisu mwenyewe? Au ni kwasasababu...
1 Reactions
46 Replies
1K Views
Jamani elimu haina mwisho. Hiki kituo One Stop Judicial Centre Temeke - High Court of tanzania genesis yake ni ipi na kwanini kinaitwa One stop centre .......
0 Reactions
3 Replies
737 Views
Ukimkuta bodaboda hospitali amevunjika viungo chake vya mwili utamwaga machozi mengi sana. Lakini pindi unapomwaga machozi yako usijaribu kukumbuka fujo zao za mtaani/barabarani, hakika machozi...
3 Reactions
50 Replies
2K Views
Mange Kimambi ana watoto watatu. Wawili wa kiume ni raia wa Marekani. Mmoja wa kike ni raia wa Uingereza.. Ye ye mwenyewe anaweza kuwa na uraia wa Marekani kupitia ndoa y/zake. Babake na...
12 Reactions
102 Replies
4K Views
kwa Kiswahili: “Hakuna anayepata faida ya $10,000 kwa mwezi kwenye biashara ya trading halafu bado anataka kusajiliwa na wewe.” Kauli inayotumika kwenye forums za biashara (kama Forex Factory)...
1 Reactions
1 Replies
339 Views
Baada ya mwanamke kujifungua mtoto wa pili, wengi Huwa na mabadiliko fulani ya kimtazamo, kitabia, na hata kihisia ambayo baadhi ya wanaume huwa wanayahisi au kuyaona kama “kiburi.” Wapo...
2 Reactions
1 Replies
481 Views
Huwa naona baadhi ya maduka ya dawa kuandikwa DLDM.hii dldm ni aina ya dawa au ni kampuni au ni huduma fulani tofauti na maduka mengine!! Hii dldm inamaanisha nini ufafanuzi tafadhali.
3 Reactions
9 Replies
2K Views
nimemaind sana, nimempa laki 1 net ili akampe mwenye nyumba, badae nampigia kama alishampa anasema ndio nimempa 90 nikauliza mara mbili nilijua amekosea, anadai haikutimia et jamaa nilimwamini...
2 Reactions
10 Replies
467 Views
Hapatakua na nyodo wala kuropoka ropoka tena, midomo mirefu na kisirani ya viongozi wa chadema itakua imekwesha kabisa. kama tujuavyo, bila ruzuku hakuna chadema. Na ndio maana mnaona mikutano...
2 Reactions
6 Replies
306 Views
Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Wafugaji Tanzania (CCWT), Thomas Nkola maarufu kwa jina la Mkulima, amepinga vikali uamuzi wa chama hicho kuwatoza wafugaji Sh 15 milioni kutoka kila kanda...
0 Reactions
0 Replies
243 Views
Aloooh Mwamba anajikubali sana, siku zote ukiwa unasimamia haki au ukweli na una vidhibitisho huwezi kuogopa ukiwa na Imani, achana na wale machawa wanaojificha kwenye dini kumbe hawana lolote.
0 Reactions
7 Replies
570 Views
Wakuu Kwa hiyo huyu Kala Jeremiah anaamini kuwa hizi No Reforms No Election zimekuwa nyingi kwa sababu Rais Samia ni mwanamke na ni mama? Angalieni jinsi ya kumtetea Rais. Kauli kama hizi sio...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Back
Top Bottom