NIRC YAENDELEA NA UTELEKELZAJI WA AHADI YA RAIS SAMIA KUCHIMBA VISIMA 67,000 VYA UMWAGILIAJI,NCHI NZIMA
📍Dodoma
Serikali ya Awamu ya Sita, kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, imeanza...
Kwahiyo kipatikanacho kwa nguvu hulindwa kwa nguvu
Na wale wengine hulinda kwa Upanga kabisa
Kidunia tunasema Usione Vyaelea Vyaundwa
Yangu machache ni hayo
Ahsanteni sana
Mbele yenu ni kijana wa kitanzania ambae kwa sasa napatikana mkoani Iringa ila nina plan ya kuingia jiji la dsm siku chache zijazo.
Nina uzoefu wa kutosha katika maabara baada ya kujitolea kwa...
=======
Geita. Ni maajabu ya kweli. Unaweza kusema hivyo. Ni kutokana na uwezo wa kipekee wa Athuman Masimba (30), mzaliwa wa Muheza mkoani Tanga anayeishi Geita, wa kukamata kundi la nyuki kwa...
Mhe. Kate Osamor (kushoto), Mjumbe Maalum wa Serikali ya Uingereza anayeshughulikia Biashara Afrika Mashariki akiskiliza maelezo kutoka kwa Shekar Makasare (kulia), Msimamizi wa Shughuli za...
Kwa asili, kazi kuu ya msanii ni kutoa burudani. Na walaji wakuu wa kazi hizi kwa asilimia kubwa ni wananchi wa kawaida, watu wa mtaani, vijana, akina mama, na wapiga kura wa taifa hili. Hawa si...
Watalaam wasalaam!
Hasira hasara, je umewahi kukasirishwa sana na ulifanya kituko gani?
Ngoja nianze, kwa kawaida mimi ni kijana mpole mkimya japo nikiwa na mtu ambaye tumematch chemistry...
Anayeweza kunisaidia kufafanua bot inayosafirishwa kupita mikoa zaidi ya 4 kwa siku 30 kwanini lisingesafiri kwa maji kutoka Mtwara mpaka Mombasa Kenya kisha, wasafirishe mpaka bandari ya Kisumu...
Kuna taarifa za msiba wa Alli Mafuruki. Hakuna taarifa zaidi zilizopatikana hadi sasa. Pumzika kwa Amani
====
Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Infotech Investment Group, Ali...
Hivi unajihisi uko salama kiasi gani unapokuwa mikononi mwa polisi?
Je mamlaka hii iliyopewa dhamana ya ulinzi wako na mali yako inakufanya uhisi usalama katikati ya hofu ama wasiwasi?
Siku nikiwa boss, nitakumbuka kuwa watu wana maisha nje ya ofisi, nitajua kuwa mfanyakazi mwenye huzuni hawezi kutoa furaha kazini.
Siku nikiwa boss, sitaamini kuwa vitisho huongeza tija, badala...
Tayari nina mtoto wa kiume niliye adopt 2016 akiwa na miaka mitatu ila ilikuwa kwa njia za kienyeji.
watoto wetu mimi na wife tunao watatu hadi sasa, malengo wawe wanne, waku adopt tunahitaji...
Wanasema muacha asili ni mtumwa lakini kuna baadhi ya mambo lazima tukubaliane ni ya aibu ndio maana makabila mengi yaliacha.
Mila kama hizi zina tija gani zaidi ya kutiana aibu wakuu ?
.
Ukiona farao anaangaika ujue kwenye mto kuna kisafina kimemficha mtu mkuu.Ukiona sauli anaangaika ujue kwenye nyumba yake kuna ka kijana kadogo kanaitwa daudi kanamtisha.
✍️jambo jema...
Songea uko wanafunzi kachoma shule kisa anataka aende nyumbani likizo kupumzika huu ni mfano tu kuwa hawa watoto wanachoka wanaitaji kupumzika
Ratiba ya mihula ipo wazi kwa kueleza siku za masomo...
Naomba niwape elimu, nini maana ya kifo?
Kifo maana yake ni kutokuwepo kwa maisha kwa mtu na tukisema kuzaliwa maana yake ni kuwepo kwa maisha kwa mtu, hivyo kwasababu hakuwepo akazaliwa yani...
Sijawahi kuelewa.
Kwanini kila mahali Wazungu (hasa Wakristo) wanapokwenda, dunia yote huanza kuwafuata? Walienda Amerika na Kanada, leo dunia nzima inahama huko kama ndiko kwenye wokovu...
Wakuu kheri nyingi kwenu nyote.
Tuanzie hapa.
Miaka kadhaa iliyopita hapa kazini ulikuja uongozi mpya wa wazungu kuanzia ngazi ya gm,super hadi kwa foreman.
Hawa wazungu walikuwa wametoka...
Ninaumia kuona vijana wangu wakitwangana makonde kisa siasa, nikifikiria kwa upana zaidi ninaona chanzo cha yote ni umaskini,
Hivi lengo la kwenda kwenye mkutano wa chama kingine na kuleta fujo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.