Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

RC MTAMBI AZINDUA SEKONDARI ILIYOANZA KUJENGWA KWA NGUVU ZA WANANCHI Mgeni Rasmi: RC Mhe Col Evans Mtambi Leo, Mkuu wa wa Mkoa wa Mara, Mheshimiwa Col Evans Mtambi amezindua Muhoji Sekondari ya...
0 Reactions
1 Replies
321 Views
Je, kahamia pale jirani na Shule ya Feza / nyuma ya Shule ya Upili (Secondary) ya Ukwamani ambapo alipewa eneo au?
1 Reactions
6 Replies
697 Views
Imagine unapata ajali ukiwa unatoka au unaenda kununua Malaya Imagine unapata ajali kwasababu ulikuwa unafata umbea wa jambo Fulani. Imagine unapata ajali ukiwa unaenda sehemu ambayo haikuhusu...
9 Reactions
36 Replies
1K Views
Wadau naona huyo Mungu wenu ameshindwa kunikill. Sasa Mimi nataka nijiue mnaonaje?
14 Reactions
155 Replies
5K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33, nimeajiriwa na bosi kuwalisha ng'ombe wake porini pamoja na kazi za shambani kwake katika kijiji cha Nkale wilaya ya Handeni, Mnamo tarehe 22 mwezi wa tano...
6 Reactions
55 Replies
2K Views
Hivi kila kilichofanyika wakati wa Magufuli ni lazima kidumishwe? Kipindi cha Magufuli wahuni wachache ili kulinda nafasi zao wakaona wamkoshe Rais kwa kutoa gawio kwa serikali. Mashirika mengi...
2 Reactions
12 Replies
742 Views
Dar es Salaam. Biashara ya ukahaba imevamia kwa kasi baadhi ya maeneo ya Jiji la Dar es Salaam, na kusababisha kero na adha kubwa katika makazi ya watu, hasa eneo la Sinza kiasi cha kuzifanya...
15 Reactions
207 Replies
28K Views
Wana JF, Kila ukiona wapiga kura wa DSM hasa wilaya za Kinondoni na Ubungo, wengine na wakina na tai shingoni walivosukumizwa kwenye yale mabasi kama matenga ya vitunguu naona kama kampuni...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Wakuu habari za jion? Waswahili walisema dunia hadaa ulimwengu shujaa, ndio hii sasa nakutana nayo mimi. Nilikuwa muajiriwa wa kampuni (A) hivyo kampuni (B) walinitafuta sijui ni wapi walipata...
9 Reactions
25 Replies
2K Views
Na Mwandishi wa Habari Hub Zanzibar Kampeni za chuki, suala linalorudisha nyuma nguvu za wanawake wanasiasa. Na Mwandishi wetu - Zanzibar. KATIKA siasa za Zanzibar, kampeni zimekuwa uwanja...
0 Reactions
0 Replies
311 Views
Na Mwandihi wa Habari Hub Katika Kikao cha 76 cha UNGA, Baraza Kuu kwa makubaliano liliitangaza tarehe 24 Juni kila mwaka kuwa siku ya kimataifa ya wanawake katika diplomasia. Kwa azimio hilo...
0 Reactions
0 Replies
749 Views
Wasaalam ndugu wote humu. Awali ya yote nawashukuru nyie wote kwani mmekuwa mkitoa ushirikiano mkubwa kwenye kupambana kutokomeza ukatili kwa watoto wetu miaka yote. Sasa nawaalika hapa tupate...
3 Reactions
8 Replies
539 Views
ATHEISTS wana sema 👇👇👇👇 " Kama kweli Mungu anatupenda Sisi viumbe wake kwanini ameruhusu maumivu kwenye maisha ya watu? " KUHUSU TOHARA : Hakuna asie jua kwamba TOHARA ni suala lenye maumivu...
0 Reactions
1 Replies
357 Views
Tumechoshwa kufanywa mazuzu ndaninya Nchi yetu aliyotupigania Baba Wa Taifa Mwl Nyerere na Wenzake. Tumechoka kusindikiza maslahi ya wanasiasa walafi wa madaraka huku wanatwambia tuandamane wao...
3 Reactions
14 Replies
430 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam, leo...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakati kijana mwingine angekuwa bado anatafuta mwelekeo wa maisha, Abdulmajid M. Nsekela tayari alikuwa ndani ya mabenki, akijifunza kwa vitendo namna taasisi za fedha zinavyosimama na kusimamia...
3 Reactions
7 Replies
730 Views
Mambo ya kupiga piga kura nilikuwa nimeshaachana nayo kitambo hivyo yeyote atakayeshinda sawa tu japo vyama pinzani nilikuwa sivipendi balaa. Kwa sasa nimeamua kupiga kura nafasi ya urais kumpa...
14 Reactions
48 Replies
2K Views
Nimeenda ofisi Fulani kupeleka barua kuhusu mambo Fulani. Secretary kwa mapozi ananijibu barua hii itachukua mwezi kujibiwa. Nikamuuliza utanisaiidiaje Sasa anasema Hana msaada wowote...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Nimefuatilia sana mikutano ya Ndugu John Heche ( Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa) haya ndiyo niliyoyabaini:- 1. Ndiye mwanasiasa pekee bora kwa sasa mwenye ushawishi wa hoja zote anazosimamia...
11 Reactions
18 Replies
968 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter *******, amesema kuwa wanamichezo wanapaswa kufahamu hali ya afya ya mioyo yao ili kuepuka madhara mbalimbali yanayoweza...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
Back
Top Bottom