Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

NO REFORM NO ELECTION MADAI NA MSIMAMO WA CHADEMA NA WANANCHI WOTE 1. TUME HURU ISIYO CHINI YA RAIS/IKULU: Tume ya sasa sio huru ipo chini ya Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Mgombea Urais. Hii...
4 Reactions
16 Replies
766 Views
Je, walijitathimini vizuri, wakagindua na wakaona mbali na hatimae wakajiepusha na anguko la vyama vyao kama ilivyoangukia pua Chadema chini ya ungozi wa Tundu Lisu mwenyewe? Au ni kwasasababu...
1 Reactions
46 Replies
1K Views
Jamani elimu haina mwisho. Hiki kituo One Stop Judicial Centre Temeke - High Court of tanzania genesis yake ni ipi na kwanini kinaitwa One stop centre .......
0 Reactions
3 Replies
738 Views
Ukimkuta bodaboda hospitali amevunjika viungo chake vya mwili utamwaga machozi mengi sana. Lakini pindi unapomwaga machozi yako usijaribu kukumbuka fujo zao za mtaani/barabarani, hakika machozi...
3 Reactions
50 Replies
2K Views
Mange Kimambi ana watoto watatu. Wawili wa kiume ni raia wa Marekani. Mmoja wa kike ni raia wa Uingereza.. Ye ye mwenyewe anaweza kuwa na uraia wa Marekani kupitia ndoa y/zake. Babake na...
12 Reactions
102 Replies
4K Views
kwa Kiswahili: “Hakuna anayepata faida ya $10,000 kwa mwezi kwenye biashara ya trading halafu bado anataka kusajiliwa na wewe.” Kauli inayotumika kwenye forums za biashara (kama Forex Factory)...
1 Reactions
1 Replies
339 Views
Baada ya mwanamke kujifungua mtoto wa pili, wengi Huwa na mabadiliko fulani ya kimtazamo, kitabia, na hata kihisia ambayo baadhi ya wanaume huwa wanayahisi au kuyaona kama “kiburi.” Wapo...
2 Reactions
1 Replies
481 Views
Huwa naona baadhi ya maduka ya dawa kuandikwa DLDM.hii dldm ni aina ya dawa au ni kampuni au ni huduma fulani tofauti na maduka mengine!! Hii dldm inamaanisha nini ufafanuzi tafadhali.
3 Reactions
9 Replies
2K Views
nimemaind sana, nimempa laki 1 net ili akampe mwenye nyumba, badae nampigia kama alishampa anasema ndio nimempa 90 nikauliza mara mbili nilijua amekosea, anadai haikutimia et jamaa nilimwamini...
2 Reactions
10 Replies
467 Views
Hapatakua na nyodo wala kuropoka ropoka tena, midomo mirefu na kisirani ya viongozi wa chadema itakua imekwesha kabisa. kama tujuavyo, bila ruzuku hakuna chadema. Na ndio maana mnaona mikutano...
2 Reactions
6 Replies
306 Views
Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Wafugaji Tanzania (CCWT), Thomas Nkola maarufu kwa jina la Mkulima, amepinga vikali uamuzi wa chama hicho kuwatoza wafugaji Sh 15 milioni kutoka kila kanda...
0 Reactions
0 Replies
244 Views
Aloooh Mwamba anajikubali sana, siku zote ukiwa unasimamia haki au ukweli na una vidhibitisho huwezi kuogopa ukiwa na Imani, achana na wale machawa wanaojificha kwenye dini kumbe hawana lolote.
0 Reactions
7 Replies
571 Views
Wakuu Kwa hiyo huyu Kala Jeremiah anaamini kuwa hizi No Reforms No Election zimekuwa nyingi kwa sababu Rais Samia ni mwanamke na ni mama? Angalieni jinsi ya kumtetea Rais. Kauli kama hizi sio...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Kongore kwa vodacom kutimiza miaka 25 tokea kuwepo kwenu kwa mawasiliano yenu.
1 Reactions
4 Replies
374 Views
Tujadili mada ya hapo juu, binafsi sielewi
1 Reactions
16 Replies
648 Views
Usiku wa jana, nikiwa nimechoka baada ya siku ndefu, nilijikuta nikichagua video ya YouTube isiyotarajiwa. Ilikuwa ni documentary ya mazungumzo kati ya vijana wawili—moja wao akiwa kijana mwenye...
1 Reactions
0 Replies
388 Views
Kuna mtu atasaidika na mchango wako wa mawazo. Inawezekana milioni mia mbili ni kidogo sana kwa uwekezaji nje ya nchi, lakini pengine bado zinaweza zikafanya kitu. Nilishawahi kumsikia binti...
2 Reactions
6 Replies
564 Views
Huyu ndio sheikh wa kweli Mada: Bodigadi wa kijini. Hafichi kitu anaweka wazi yale ambayo wengine wanaogopa kuyaweka wazi. Dr. Sule aliweka wazi elimu hii wakamwita mshirikina sasa sheikh wa...
11 Reactions
72 Replies
3K Views
Tuache ushabiki, tuache unafiki, tuache uchawa,tuache uchawa ni kipi cha maana au chenye tija ambacho kakifanya rais Samia tokea aingie madarakani? Mimi naona hamna kitu kafanya hakuna jipya...
19 Reactions
55 Replies
2K Views
Tunaongozwa na utawala wa kitapeli, na wa kinyang'anyi tu Ona dola inakaribia elfu 3 halafu kuna mazombi wanasema anaupiga mwingi Hii serikali ni ya kitapeli na ya kishetani tu Ni kichaa tu...
10 Reactions
36 Replies
1K Views
Back
Top Bottom