Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

DENI LA TAIFA Naomba kutoa hoja hii tafakarishi kwa mustakabali wa nchi yetu. Naomba tuwapime viongozi wetu katika ukuaji wa uchumi wa nchi ukilinganisha na ongezeko la deni. Tulinganishe ukuaji...
1 Reactions
6 Replies
555 Views
Nyumba ya kupanga tupo hapa Buguruni Mnyamani ni shida sana. Ni manyanyaso kwa sisi ambao ni mambo safi. Maana naona vijana hapa tunashindana sana kuweka madish ya visimbusi mbalimbali. Na kutumia...
7 Reactions
45 Replies
2K Views
Kila Binadamu katika safari ya maisha hukutana na hali ya madeni iwe ni madeni ya pesa, ahadi, au hata madeni ya kihisia. Mara nyingi, deni huanza kama msaada wa haraka, ahueni ya muda mfupi, au...
4 Reactions
3 Replies
484 Views
Afrika ni bara lenye utajiri mkubwa wa watu wenye akili, vipaji, na uzalendo. Lakini cha kushangaza ni kuwa mara nyingi watu hawa hawathaminiwi, badala yake wanabaguliwa, kudhulumiwa, au hata...
1 Reactions
3 Replies
339 Views
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha amewaonya wanawake wa Wilaya ya Msalala kukopa mikopo ya kausha damu badala yake ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri kwa wanawake, vijana na watu...
0 Reactions
1 Replies
360 Views
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Dar es Salaam: KATIKA kuendelea kudhihirisha dhamira yake ya muda mrefu katika kuimarisha afya ya umma, Benki ya Exim Tanzania, kwa kushirikiana na Mpango wa...
1 Reactions
1 Replies
279 Views
Waziri wa Fedha Dr. Mwigulu Nchemba amehutubia bunge kuhusu hali ya Umaskini kupungua nchini === "Takwimu rasmi zinaonesha kuwa kati ya mwaka 1991 na 2018, umasikini umepungua, mathalani katika...
1 Reactions
3 Replies
307 Views
Serikali kupitia wizara ya afya imedhamiria kuadhimisha Siku ya Wachangia Damu Duniani kwa kufanya kampeni ya kitaifa ya uchangiaji damu, itakayofanyika tarehe 14 Juni 2025 katika mikoa yote ya...
0 Reactions
2 Replies
333 Views
Serikali imesema katika kipindi cha kuanzia Novemba 2020 hadi Februari 2025, jumla ya ajira 8,084,204 zimezalishwa nchini. Kati ya hizo zipo zitokanazo na sekta rasmi na isiyo rasmi. Takwimu hizo...
0 Reactions
5 Replies
339 Views
Mhu 4:9 SUV [9] Afadhali kuwa wawili kuliko mmoja; Maana wapata ijara njema kwa kazi yao. Uwe umekutana na changamoto katika kushirikiana na watu, uwe umewahi kuumizwa na mtu uliyeshirikiana naye...
0 Reactions
1 Replies
236 Views
Nimejaribu kufuatilia katika maeneo na vyanzo mbalimbali kuhusu mwitikio wa wananchi juu ya bajeti ya serikali ya mwaka 2025/2026, nimebaki nikijiuliza, bajeti haina mvuto? Au wananchi wamekata...
1 Reactions
2 Replies
347 Views
Binafsi nikiri ni mchangiaji mzuri wa arusi ingawa ni utamaduni wa hovyo sana kukubalika katika jamii wa watu maskini na wanaojitafuta. Kusema kweli wengi tunaoshirikishwa tunajikuta tunalazimika...
1 Reactions
2 Replies
293 Views
Wakuu, Kumbe kwenye masuala ya kudihibiti ulozi nchini mwao, Serikali ya Dubai ndo iko serious hivi? Huyu jamaa kakamatwa Airport na askari wa Dubai akiwa anaingiza mambo yanayohusishwa na...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Zamani Polisi waliajiriwa wenye elimu ndogo kwa sababu ya uhaba wa wasomi. Nashauri Serikali itenge bajeti ya kuwaendeleza maaskari waliopo kazini angalau wawe na Diploma mbalimbali zinazohusiana...
5 Reactions
31 Replies
1K Views
Katika habari iliyotolewa juu ya ndege za Tanzania kupigwa marufuku kwenda Ulaya, imewekwa picha ya ndege ya Tanzania na pembeni yake Raisi Samia akinywa juice bila akiwa na tabasamu la mbali...
3 Reactions
7 Replies
592 Views
Siku moja kuna watu watalipa kwa damu na machozi. Mnaofurahia ufisadi kwenye rasilimali zetu — mtalipa, nawaambieni. Mnayefumba macho wakati waovu wanatenda kwa mikataba michafu, mnayeziba...
2 Reactions
8 Replies
529 Views
Kupata sio ujanja na Wala kukosa usio Ujinga, ila Yote kwa Yote Anapaswa Kushukuriwa mtoa ridhiki. Kwa wale ambao awaamini ktk uwepo wa mtoa ridhiki(MUNGU). Sio Kila mtu anaamini ktk Mungu, ila...
3 Reactions
2 Replies
264 Views
Serikali imesema katika kuwawezesha wananchi kiuchumi imefanya jitihada mbalimbali kwa kuweka mazingira ya wananchi kujitengenezea kipato kwa njia ya kuajiriwa, kujiajiri au biashara. Hayo...
1 Reactions
35 Replies
965 Views
Back
Top Bottom