Watu mbalimbali wakiwa kwenye foleni ya matibabu ya macho katika kampeni iliyoendeshwa na taasisi ya Child Eye & Vision Organization (CEVO) katika Hospitali ya wilaya Mabwepande jijini Dar es...
Nchi inatafunwa sana, watu wanakunywa bia zaidi ya M+ wakati kipato chao haki reflect na kile kazi wanayofanya.
Vijana wanazidi jeuri mtaani na wanajipongeza daily.
NRNE.
Tumia busara zako...
Habarini?
Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri ikiwa ni pamoja na kufuatilia mpambano baina ya Iran na Israel ambapo tunayo mengi ya kujifunza kutokana na teknolojia za hali ya juu zinazotumika...
GT.
Nguvu ya kanisa katika kutetea haki za wanaoteswa siyo ya kubezwa hata kidogo. Nashangaa Tanzania tunawakashifu wakristo wanapokemea maovu.
Kama hujui ukristu umejengwa juu ya msingi wa...
Waziri wa kilimo anakila haja ya kukazia macho taasisi ya Mfuko wa pembejeo taifa.
Kwa utaratibu wa kuomba mkopo ni lazima uwambatanishe andiko la mradi ambalo linaelezea mpango mkakati wa ombi...
Kuna watu wanauza bidhaa Instagram,lakini kumbe ni matapeli na wezi. Nashauri kuwa makini sana na watu wote wanaofanya biashara online. Mimi binafsi nimetapeliwa na Dada anajiita queen Zipporah IG.
Kuna matukio mengi tangu mwaka 2015 through 2020 hadi sasa ya wateuliwa wa serikali wanaolipwa mishahara ya kodi zetu, wanapotoa maamuzi yanayoathiri hatima ya mtu au kikundi, wanasahau kuwa...
Unapokuwa ktk matatizo tumia akili sana na utulivu wa hali ya juu kutatua matatizo yako, jamii zetu siku hizi zimeharibika.
Wapo watu wanatumia matatizo ya watu wengine kama fursa kwao ya...
Leo asubuhi nikiwa zangu mtaani nanyoosha miguu nikakutana na swahiba yangu mmoja ambaye aliomba kuzungumza na mimi. Tulitafuta sehemu tukakaa na kuanza kuzungumza.
Tulijuliana hali na kuelezeana...
VITA VYA ISRAEL NA IRAN
Vita hivi kwa Wachambuzi wengi wa mambo ilikuwa ni jambo lililokuwa likitarajiwa kwa muda sasa hasa ikizingatiwa kampeni ya Israel dhidi ya HAMAS, HESBOLLAH kuanguka kwa...
Jumuiya ya Taasisi za Elimu ya Juu (TAHLISO) imeiomba serikali kwa niaba ya wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu kuweza kuongezewa kiwango cha fedha ya kujikimu kutoka Shilingi elfu 10,000 hadi...
Injili zote ukianza na mathayo na zingine zote yesu alitoa mamlaka Kwa wanafunzi wake akisema...
Mathayo 28:19-20 (KJV) Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa...
Viongozi wamehasishwa kuwa wabunifu na wenye kujiongeza zaidi katika kutekeleza ilani ya chama cha Mapinduzi
===
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Iringa, Fadhili Ngajilo...
Vijana wanaoanza kazi, ajira mara nyingi nimekuwa nikiwaona wanapitia changamoto nyingi katika mazingira ya ugenini huku wakiugulia maumivu mbalimbali kutokana na kipato kidogo wanachopata wakati...
"Baraka na Laana si vitu viwili tofauti. Mara nyingi, huwa ni sura mbili za uso mmoja."
Weekend hii, kabla hujajitayarisha kwa wiki mpya, tafakari hili:
Ulizaliwa na akili nyingi — lakini...
Katika utulivu wa usiku, peke yako, kabla hujalala, kuna sauti ile ya ndani inayokuuliza:
“Ningekuwa nani kama singezaliwa hivi nilivyo?”
Sauti hii haijibu kwa haraka, haipigi kelele, lakini...
Mkiambiwa hamna akili au wengi hamna akili. Mnawakishwa na wasio na akili. Kweli Mbunge na akili timamu anaona hitaji kubwa walilo nalo ni namba maalum za magari? Watanzania wakati huo...
Unakuta una mtaka mwanamke umfanye mchepuko wako na umpe maisha ila anakukataa.
Lakini unapata stori anatoka na wanaume za watu, ambao umewazidi kila kitu kuanzia maisha, n.k na anateseka tu kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.