The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,205
Elon musk, Mbwana Samantha, Bakhresa, etc hawatafuti utajiri bali wanafanya kusudi liwapalo furaha ndipo utajiri uwafuata.
Utajiri ni matokeo ya nguvu ya upendo wa kufanya kile moyo wako una furaha nacho. Fanya kile unachohisi kinakupa amani na furaha ya ndani ndicho kitakachongeza thamani yako watu wakiiona thamani yako watakulipa.
Kama wewe unapenda kufundisha fundisha,kupika pika,kulima lima,kufuga fuga,nk.
Chochote kile ukikipenda nacho kitakupenda equal sababu zote tumeunganishwa na umoja.
Tujifunze kutambua makusudi yetu ni yapi kufanya kusudi ndio furaha yenyewe. Ukisema uutafute utajiri huwezi kuupata hadi una kufa.Tafuta kusudi lako then utajiri utakufuata. Mwingine furaha yke ni kuona vyuma vinapishana barabarani kila dakika akikaa road mara shabib, Abood ya wapi hio ya mwanza ya Mbeya hio nk.
Mwingine furaha yke akipita mtaani anaona mtu anakunywa maji ya nembo yake au bidhaa ya nembo yake nk. Hata wewe tafuta kusudi lako lifanye kwa furaha na upendo ndipo utajiri utakufuata.
Ukisema nafanya biashara au KAZI nipate pesa au utajiri utaishia ya kula tu na isitoshe huku ukiwa na mastress kibao. Pili hakunaga kitu kinaitwa mtaji, connection nk vyote hivi vipo ndani mwako ukilishajua kusudi vyote hivyo vitakuja tu.
Mimi naipenda sana falsafa ya wachina inasema "Ukitaka kulima usubirie jembe anza kwa mikono jembe litafata". Huu msemo ni motivation imesimama kwenye kusudi.
Huna uwezo wa kukodi frem anza nyumbani kwako, sebule yako ni kiwanda tosha.Kwani wachina wanaanzaje nenda walikopanga wana viwanda kibao ndani.
Huna uwezo wa kumiliki mashine ya kuchakata anza kuchakata kwa mikono mashine itakuja tu kupitia laws of attraction kwa msaada wa sumaku yako ya ndani ukiiamsha inavuta kila kitu ukipendacho.
So wakati mwingine MUNGU, NGUVU ZA ASILI, CHANZO HALISI NK usubiria wewe uwashe kiberiti tu ikuletee kuni ili moto mkubwa uwake.
Anza kidogo kama uwezo mdogo kingi kitakufuata:
Asante