Sativa amewakalia kooni ACT wazalendo 😂. Kupitia ukurasa wake wa X anaandika
"Kanuni zinasema ukipiga kura NENDA nyumbani. Haisemi ukae mita 200.
Kwahiyo ACT WAZALENDO watalinda kura kutokea...
Bajeti ya Serikali mwaka 2025/2026 imetangaza neema ya kuongezwa kwa pensheni wanaolipwa na hazina kwa asilimia 150.
Akiwasilisha bungeni bajeti ya mwaka husika leo Juni 12, 2025 Waziri wa Fedha...
"Mama hana deni" kwa hiyo sisi ndo tuna deni?. Hizi hela zinazokopwa na kuambiwa sisi Wananchi ndo tunadaiwa huwa zinaenda wapi jamani, mkeka wa matumizi ya fedha kwenye miradi hauwekwi wazi...
Hizi kodi zinalenga kuwafaidisha hawa watu na huenda wamekamuliwa sana pesa za kampeni, hasa GSM, AZAM,MO na JAMBO hawa ndio target na wala hakuna cha kuvutia wawekezaji zaidi.
Kuna sanaa...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, ameipongeza Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kwa kubuni na kuandaa shindano la stadi za ufundishaji kwa walimu wa shule za msingi na...
Je, Kwa Nini USDT (Tether) Inaonekana Kama Sarafu ya Kidijitali Inayoshikilia Thamani ya Pesa?.
Tuje kwenye Historia
Kabla ya kuibuka kwa USDT, watu waliokuwa wakitumia sarafu za kidijitali kama...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, imewahukumu kifungo cha maisha gerezani washtakiwa wanne maarufu ‘waliotumwa na afande’, baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kubaka kwa kundi na kumwingilia...
Yesu alitoa mfano akasema "Mtu mmoja alikuwa na wana wawili; yule mdogo akamwambia babaye, Baba, nipe sehemu ya mali inayoniangukia. Akagawiwa vitu vyake.
Hata baada ya siku si nyingi, yule mdogo...
Siku moja baada ya Naibu Katibu Mkuu wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church (Nyumba ya Ufufuo na Uzima), Askofu Maximilian Machumu maarufu Mwanamapinduzi kutangaza kuwa kanisa hilo...
Katika hali ya kawaida, mbogamboga huonekana kuwa chakula salama na chenye faida nyingi kiafya. Hata hivyo, katika muktadha wa miji au Majiji makubwa kama makubwa kama Dar es Salaam, Dodoma...
Nimepita maeneo ya Ubungo nikiwa naelekea kwenye harakati zangu, naona Polisi wamejaa kanisani kwa Gwajima baada ya yeye kutangaza atashiriki ibada ya Jumapili ya leo.
Wengi wapo barabarani...
mambo vipi leo nimekutana na sunday demonte am so excited kwa kweli nimekutana mtu niliekuwa namsoma kwenye magazeti na kupiganae story
Nimcheshi mno ana story nyingi kuhusu hawa wanawake mastar...
Paul Alexander, anayejulikana kama "mtu kwenye mapafu chuma" ameaga dunia 💔
Paul aliachwa akiwa amepooza baada ya kupata polio mwaka wa 1952 alipokuwa na umri wa miaka 6 tu. Aliweza tu kusogeza...
Kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani,THBUB yatoa tamko
Tamko la Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei 1, 2025...
Katika picha hii nitaweka Muhtasari wa Kisa kwa Mchoro ulivyo:
1. Picha ya kwanza (kushoto juu):
Mwanaume anamuendea mtabiri wa baadaye (psychic), ambaye anamwambia namba “70323”.
2...
Kwanza nampongeza Jaji Masaju kwa kuaminiwa na Mhe. Rais na kumteua kuwa Jaji Mkuu mpya wa Tanzania.
Mara baada ya kula kiapo tunashauri aanze na mambo yafuatayo;_
1. Ondoa uonevu na upendeleo...
Je, ushawahi kujiuliza tofauti kati ya AIRPLANE or AEROPLANE?
Au AIRCRAFT na FLIGHT?
Ingawa maneno haya yote kwa Lugha ya kiswahili yanaweza kumaanisha Ndege, lakini hizi ndiyo tofauti zake...