Katika picha hii nitaweka Muhtasari wa Kisa kwa Mchoro ulivyo:
1. Picha ya kwanza (kushoto juu):
Mwanaume anamuendea mtabiri wa baadaye (psychic), ambaye anamwambia namba “70323”.
2...
Kwanza nampongeza Jaji Masaju kwa kuaminiwa na Mhe. Rais na kumteua kuwa Jaji Mkuu mpya wa Tanzania.
Mara baada ya kula kiapo tunashauri aanze na mambo yafuatayo;_
1. Ondoa uonevu na upendeleo...
Je, ushawahi kujiuliza tofauti kati ya AIRPLANE or AEROPLANE?
Au AIRCRAFT na FLIGHT?
Ingawa maneno haya yote kwa Lugha ya kiswahili yanaweza kumaanisha Ndege, lakini hizi ndiyo tofauti zake...
Lakini Siku hizi Africa haishirikishwi kabisa kwenye mambo mazito na magumu ya kidunia
Sijajua ni kwanini
Nawatakia utatu Mtakatifu wenye Baraka
Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu 🇹🇿
Sifa kuu ya wanyama ni kuzaa na kunyonyesha ingawa wapo wengine ambao wana sifa za kipekee.
Leo tuwaangalie kwa undani kidogo aina ya wanyama ambao wao tofauti na wengine hutaga mayai(Egg-laying...
Kumekuwa na Wimbi kubwa la Watoto,vijana na wazee kuwa Waraibu wa Kamali kwa kutafuta mkato wa kufikia mafanikio kirahisi",
Wewe una shillingi 500 au 1000 unataka uwe milionea uliona Wapi...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia kijana Erick Turuka (23) maarufu kama Keneth, ambaye ni muuza bucha la nyama ya nguruwe, kwa tuhuma za kumuua kikatili msichana wa kazi aitwaye...
Huhitaji utajiri Wa pesa kuelewa maisha ya mwingine Bali upendo ndio daraja pekee la kuokoa maisha ya mwezako anayepitia nyakati Ngumu.
Nimetazama filamu ya Straw kutoka Tyler Perry nimeona...
Hii nchi bwana haiishiwi vituko yani nikama kila sekta pana watu wasiokua na weledi na fani wanazozitumikia yani.
Pamoja nakua tunapokua shuleni na vyuoni tunakumbana na misemo nahau vitendawili...
Kwa thamini yangu haya ndo mambo yanayapelekea deni la taifa liwe kubwa.
1. Ukosefu wa ueledi wa viongozi wetu. Maana viongozi wengi Wana upeo ndogo kwenye maswala ya kiuchumi.
2.Rushwa...
Wakuu salaam,
Naamini hapa janvini kuna wajuvi wa taratibu zote za kiutumishi kwa usahihi wake.
Niliondoka kazini kwa kufuata taratibu zote za ruhusa ya masomo, nikiwa masomoni nilipata matatizo...
“Pain, when rightly understood, is the companion of transformation it refines, disciplines, and awakens the inner self. Hurt, by contrast, is the betrayal of the soul; it corrodes without purpose...
Samia music festival
Samia comedy
Samia jogging
Samia kalamu awards
Samia nyama choma
Samia film awards
Samia cup
Samia media awards
Nimechoka kutaja...
Mpaka kufikia mwezi wa 10 walah...
Mlikuwa darasa moja lakini hatima hazikufanana.. Mlijenga urafiki mkashirikiana katika mengi. Lakini hatima hazikufanana.
Wengine mkafikia hatua ya kuwa familia kabisa.. Kwenu kwao na kwao kwenu...
Tulia na wako thamani yake utaiona baada ya kuachika.
Mara nyingi wanawake walioolewa au waliopo kwenye mahusiano wanapokuja kwangu kunieleza madhaifu ya wanaume wao au changamoto wanazokumbana...
Dirisha linaanza kozi ya nne tu.....na kozi nne maana yake ni tofali nne. Pamoja na hayo lakini mwanangu huyu aliye kidato Cha tatu hawezi kufika. Ni mfupi kweli. Vipi jamani, atarefuka baadae...
Hii ni hali ya mkinzano (conflict) kati ya kutoelewa kiundani nafasi ya siasa katika maisha, na athari halisi ya siasa katika maisha ya kila siku.
Sababu Kuu Kwa Nini Watu Husema “Siasa Siyo...
Huyu ndio yule kijana aliye pigwa ngumi jiwe na mlinzi wa chadema alipoenda kufanya vurugu kwenye mkutano wa no reforms no ELECTION wa CHADEMA.
kuna video inatrend mitandaoni ikimuonesha mlinzi...
Wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akitarajiwa kutua wilayani Maswa kwa ziara ya kihistoria, sintofahamu imeibuka miongoni mwa wananchi na wadau wa maendeleo juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.