Kitendo cha Joka kuu la ifadhili wa Ugaidi duniani Iran kuingiliwa mpaka chumbani kwake na kutandikwa kama ngoma ni ishara tosha kuwa Israel hashkiki ...
Israel Taifa dogo kwa eneo dogo zaidi...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni ya utoaji wa msaada wa kisheria bila malipo kwa wakazi wa Dar es Salaam...
RC MTANDA AWATAKA WAKANDARASI REA KUHARAKISHA UTEKELEZAJI MIRADI YA UMEME JUA VISIWANI
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Said Mtanda, amewataka wakandarasi wanaotekeleza mradi wa usambazaji wa mifumo...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Benjamin Kuzaga ambaye pia ni Mlezi wa Kamati ya usalama barabarani Mkoani humo Juni 12, 2025 aliwaongoza wajumbe wa...
Wakuu,
Je kuna sababu gani za Msingi za MTN kutokuwepo Tanzania
MTN ni mtandao mkubwa zaidi wa Mawasiliano kwa Africa na Origin yake ni South Africa
yeye ndio leading kwa Africa akifatiwa na...
Kwa mara ya kwanza, ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) imetua katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato, jijini Dodoma, ikiwa ni sehemu ya majaribio ya awali kabla ya kiwanja hicho...
Hivi ujenzi wa SGR MWANZA TO DODOMA uliishia wapi maana Kimya kimekuwa kingi hatusikii majigambo ya miradi yote inaendelea.
Pia soma ~ Serikali yaanza kulipa Tsh. 3.66 Bilioni kwa wananchi 2,471...
Google iko kwenye mpango wa kuweza kuzindua hatua muhimu za kulinda na kuweka kinga ili kuzuia simu za Google Pixels kupata joto kupita kiasi.
Haya yanajiri baada ya ripoti mbalimbali mitandaoni...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamikia ucheleweshwaji wa Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Kupoza Umeme cha Imalilo kupitia andiko hili ~ Miaka mitano Serikali inajenga kituo cha kupozea...
Ni wakili mbobezi aliyewahi kuwa mwanasheria mkuu wa serikali.
Pia ni mwanasiasa nguli aliyehusishwa kwenye kashfa nyingi za kifisadi nchini.
Kwa Sasa Andrew Chenge hasikiki kabisa.
Yuko wapi...
Wachungaji 1200 ni wastani wa Wachungaji 40 kwa kila mkoa
Na tumeambiwa hawa ni wawakilishi tu wa kundi kubwa la Wachungaji wa kanisa hilo
Kama ni kweli basi Huduma ya Askofu Daktari Gwajima ni...
Ajira humfanya Mtu awajibike na kushiriki katika nyanja za Kijamii na Kiuchumi
Ajira kwa Vijana Ajira ni nyenzo muhimu kwa maendeleo ya Mtu Binafsi, Jamii na Taifa kwa ujumla. Ajira humfanya mtu...
Hii kitu ilinishinda kabisa..
Nikiwa sina hela sikumbukagi hata kusali
Naamini kusali kunahitaji utulivu wa nafsi , Mambo yako yawe yanakwenda vizuri hata uwepo wa Mungu unauona.
Huna hela...
Habari yenu ndugu na jamaa zangu !
Kwanza ninge elezea kuwa hiki nilicho andika hapa sio hadithi ya kufikirika bali ni mambo halisi yaliyopo mitaani na kwenye yetu.
Kwanza nianze na historia...
Binadamu ni Bidhaa ya mazingira yake .
Wazungu walishamsoma MTU mweusi na kujua udhaifu wake kuwa ni ngono, pombe , na madawa bangi pombe na sigara.
Unapozungumzia Anasa means is endless shit ...
Katika uchunguzi wa hivi karibuni uliofanywa na kampuni ya Top10VPN Threat Prevention Team (TTP), imebainika kuwa zaidi ya dozens ya VPN apps (programu za mitandao binafsi ya faragha)...
Katika mfumo huu, ni kwamba kunakua na sehemu maalum mijini (docking yards) ambapo baiskeli za kukodi zinawekwa, na kama una app ya bikesharing kwenye simu yako basi unai-recharge kwa tigo pesa...
Watu mbalimbali wakiwa kwenye foleni ya matibabu ya macho katika kampeni iliyoendeshwa na taasisi ya Child Eye & Vision Organization (CEVO) katika Hospitali ya wilaya Mabwepande jijini Dar es...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.