๐—ž๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐—ด๐—ฒ ๐—ต๐—ฎ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐—ฝ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐˜‚๐˜๐—ฒ๐˜€ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ถ๐—ผ๐—ธ๐—ผ๐—ฎ!!

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,355
Reaction score
2,769
Parachutes ni moja wapo ya kifaa muhimu katika kujiokoa pale inapotokea majanga kwenye mazingira ambayo msaada unachelewa kufika kwa haraka, inatumiwa sana na wanajeshi kstika kazi mbalimbali.

Parachutes _20250615_175501_0000.png

Wengi wetu tunajiuliza kwanini ndege za kibiashara zinazobeba Abiria hazina vifaa vya kujiokoa wakati inapotokea majanga wakati wakiwa angani mfano Parachutes ili kuweza kuwasaidia abiria inapotokea ajali.

Tofauti na ndege zingine kama vile ndege za kivita , kwanini ndege za kibiashara hazibebi parachutes wakati inapotokea ajali waweze kujinasua okay leo nakuletea sababu kadhaa;
๐Ÿ’จ Hakuna parachutes kwa kuwa kunahitaji Mafunzo makubwa ili mtu aweze kutumia parachutes kwenye kujiokoa maisha inapotokea ajali.
๐Ÿ’จ Kutumia parachutes sio Rahisi kama unavyoona kwenye games au Michezo mbalimbali kwenye Tv, sio Rahisi kuruka wakati ndege iko kwenye mwendo mkubwa sana.
๐Ÿ’จ Pia marubani hawana parachutes kwa kuwa ndege wanazopanda ni tofauti na zile zingine.

Pia ndege nyingi za kibiashara zinaruka kwenye mwinuko wa mbali sana kuliko Ndege za kivita ambazo zinapanga wapi pakushikia wakati ndege za kibiashara zinaenda mpaka umbali wa futi 15,000 hadi 16,000.

Bila kusahau Ndege nyingi za kisasa za abiria zimeundwa ni kubwa, mashine nzito baadhi ya model zina uzito zaidi ya Tani 300 wakati zimepakia kikamilifu sasa Kuunda parachuti yenye uwezo wa kupunguza kasi ya misa kubwa kama hiyo ni kazi ngumu sana.
 
Nn kifanyike kuokoa maisha ya abiria ndege ikipata hitilafu
Jamaa Teknolojia ni Yetu sote mbona kaelezea vizuri sana. Ofcoarse parachute ni moja ya solution but inahitaji mtu apewe elimu kubwa kabla ya kutumia na sio easy kama watu wanavyofikiria.

Kwenye meli tu sometimes hutoa maelekezo ya namna ya kutumia life jackets ila inapotokea chombo kinataka kuzama utawaona watu wanavyohangaika iwe ulisikiliza au hukusikiliza ama ulielewa au hukuelewa.
 
Ili parachute itumike ndege itabidi ishuke altitude kadhaa ambao utakuwa safe, but then ku evacuate watu wengi at once ni almost impossible

Elimu ya kujump na parachute si rahis , na si kila mtu anayo.
Not easy
 
Mimi nadhani ni bora waweke hizo parachutes kila mtu ajaribu nadhani itapunguza maafa rather than letting people die huku wakiona na hamna kitu wanafanya kujiokoa
 
Jamaa Teknolojia ni Yetu sote mbona kaelezea vizuri sana. Ofcoarse parachute ni moja ya solution but inahitaji mtu apewe elimu kubwa kabla ya kutumia na sio easy kama watu wanavyofikiria.

Kwenye meli tu sometimes hutoa maelekezo ya namna ya kutumia life jackets ila inapotokea chombo kinataka kuzama utawaona watu wanavyohangaika iwe ulisikiliza au hukusikiliza ama ulielewa au hukuelewa.
Kwenye lifejackets wapo zinaowaokoa na pengine kama zisingekuwepo kabisa huendi wasingetoboa

Ni muda sasa wa kufanya namna kwenye hizi ndege kuwe na plan B ya kujiokoa
 
Parachutes ni moja wapo ya kifaa muhimu katika kujiokoa pale inapotokea majanga kwenye mazingira ambayo msaada unachelewa kufika kwa haraka, inatumiwa sana na wanajeshi kstika kazi mbalimbali.

View attachment 3369940

Wengi wetu tunajiuliza kwanini ndege za kibiashara zinazobeba Abiria hazina vifaa vya kujiokoa wakati inapotokea majanga wakati wakiwa angani mfano Parachutes ili kuweza kuwasaidia abiria inapotokea ajali.

Tofauti na ndege zingine kama vile ndege za kivita , kwanini ndege za kibiashara hazibebi parachutes wakati inapotokea ajali waweze kujinasua okay leo nakuletea sababu kadhaa;
๐Ÿ’จ Hakuna parachutes kwa kuwa kunahitaji Mafunzo makubwa ili mtu aweze kutumia parachutes kwenye kujiokoa maisha inapotokea ajali.
๐Ÿ’จ Kutumia parachutes sio Rahisi kama unavyoona kwenye games au Michezo mbalimbali kwenye Tv, sio Rahisi kuruka wakati ndege iko kwenye mwendo mkubwa sana.
๐Ÿ’จ Pia marubani hawana parachutes kwa kuwa ndege wanazopanda ni tofauti na zile zingine.

Pia ndege nyingi za kibiashara zinaruka kwenye mwinuko wa mbali sana kuliko Ndege za kivita ambazo zinapanga wapi pakushikia wakati ndege za kibiashara zinaenda mpaka umbali wa futi 15,000 hadi 16,000.

Bila kusahau Ndege nyingi za kisasa za abiria zimeundwa ni kubwa, mashine nzito baadhi ya model zina uzito zaidi ya Tani 300 wakati zimepakia kikamilifu sasa Kuunda parachuti yenye uwezo wa kupunguza kasi ya misa kubwa kama hiyo ni kazi ngumu sana.
"Parachutes ni moja wapo ya kifaa muhimu katika kujiokoa pale inapotokea majanga kwenye mazingira ambayo msaada unachelewa kufika kwa haraka", si kweli kwani haiwezekani ukaitumia chombo kikiwa kimefika chini na msaada haujafika. Kuitumia parachuti kunahitaji mafunzo ya jinsi ya kuivaa, kuielekeza kwa kutua na kuiachia kwa kukita miguu chini bila kujiumiza, hata hivyo zipo za mizigo ambazo hazihitaji kuongozwa.
 
Parachutes ni moja wapo ya kifaa muhimu katika kujiokoa pale inapotokea majanga kwenye mazingira ambayo msaada unachelewa kufika kwa haraka, inatumiwa sana na wanajeshi kstika kazi mbalimbali.

View attachment 3369940

Wengi wetu tunajiuliza kwanini ndege za kibiashara zinazobeba Abiria hazina vifaa vya kujiokoa wakati inapotokea majanga wakati wakiwa angani mfano Parachutes ili kuweza kuwasaidia abiria inapotokea ajali.

Tofauti na ndege zingine kama vile ndege za kivita , kwanini ndege za kibiashara hazibebi parachutes wakati inapotokea ajali waweze kujinasua okay leo nakuletea sababu kadhaa;
๐Ÿ’จ Hakuna parachutes kwa kuwa kunahitaji Mafunzo makubwa ili mtu aweze kutumia parachutes kwenye kujiokoa maisha inapotokea ajali.
๐Ÿ’จ Kutumia parachutes sio Rahisi kama unavyoona kwenye games au Michezo mbalimbali kwenye Tv, sio Rahisi kuruka wakati ndege iko kwenye mwendo mkubwa sana.
๐Ÿ’จ Pia marubani hawana parachutes kwa kuwa ndege wanazopanda ni tofauti na zile zingine.

Pia ndege nyingi za kibiashara zinaruka kwenye mwinuko wa mbali sana kuliko Ndege za kivita ambazo zinapanga wapi pakushikia wakati ndege za kibiashara zinaenda mpaka umbali wa futi 15,000 hadi 16,000.

Bila kusahau Ndege nyingi za kisasa za abiria zimeundwa ni kubwa, mashine nzito baadhi ya model zina uzito zaidi ya Tani 300 wakati zimepakia kikamilifu sasa Kuunda parachuti yenye uwezo wa kupunguza kasi ya misa kubwa kama hiyo ni kazi ngumu sana.
Sababu ulizoandika hazina mashiko. Kawadanganye wajinga wenzako.
 
kwanza hewa na presha jinsi ilivyo huko juu...futi 15000 unazungumzia zaidi ya mita 5000 hiyo ni height ya mlima kilimanjaro
Kama hizo futi 15,000 ndo kikwazo basi zitumike ndege inapofikia umbali unaostahili kuruka na parachute

Ndege inapopata Dharura si inaelekea chini kudondoka ambapo hamna mgandamizo mkubwa wa hewa hapo hapo ndo muda wa kuchomoka ๐Ÿช‚
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom