Akizungumza na Mwananchi leo, Jumanne Juni 17, 2025, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo, amesema uchunguzi wa tukio hilo bado unaendelea ili kubaini ukweli wake.
“Bado...
Kama baadhi tunavyofahamu, Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) ilitoa kipindi cha mwezi mmoja, kuanzia Mei 22 hadi Juni 21, 2025, kwa waandishi wa habari waliokidhi vigezo rasmi...
NYOTA YAKO LEO JUMANNE JUNI 17/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI...
Licha ya juhudi zilizofanyika, Tathmini ya Utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana (2007) iliyofanyika mwaka 2022 imebaini kuwepo kwa vijana wenye ujuzi usioendana na mahitaji ya soko...
Nahisi ni mahakama hipo upande wa fulani wakubwa ila kwa kama mahakama zingekuwa uhuru hii kesi hata kituo cha polisi ingemalizika hapo.
Yani wale mawakili wa serikali nimejaribu kutafakali yani...
Youtube wanaruhusu kusave video kwa watumiaji wanaotumia simu na unasave na kutazama kwenye kifaa hichohicho ulichotumia kuhifadhi.
Wanafanya hivyo ili kulinda haki za waandaa maudhui. Pia Youtube...
Mkuu wa wilaya ya Makete mkoani Njombe Kissa Kasongwa ameagiza wakazi wa wilaya hiyo kuchukua tahadhari dhidi ya moto unaoteketeza misitu na kupoteza fedha nyingi kila mwaka hali inayopelekea...
Nchi ya iran imetengeneza aina mbalimbali za makombora ya balistiki katika miaka mitatu iliyopita, ni mojawapo ya silaha kubwa nzito za kisasa zaidi katika kanda.
Makombora haya ya balistiki...
Serikali kupitia Wizara ya Afya imejenga jumla ya wodi 165 za kuhudumia watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (njiti) katika hospitali mbalimbali nchini, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuboresha...
Mhu 8:11 SUV
[11] Kwa sababu hukumu juu ya tendo baya haitekelezwi upesi, mioyo ya wanadamu huthibitishwa ndani yao ili kutenda mabaya.
Tunashuhudia watu wakifanya mambo mabaya, wakati mwingine...
Wakuu
Kumekuwa na mjadala mkubwa mara baada ya ya kauli kuwa uchumi wa Tanzania unakua kuliko baadhi ya nchi zilizoendelea.
Kwa mujibu wa makadirio ya ukuaji wa Pato la Taifa yanayofanywa na...
Wenyeviti wa serikali za mitaa ndio msingi wa uongozi katika nchi hii, kama sasa hivi wanapita nyumba kwa nyumba, kuhakikisha kwamba wanatambua nyumba zilizopo, wanapiga picha ili mwisho wa siku...
https://www.youtube.com/live/SUuhyjuDx5o
Taasisi ya elimu Tanzania (TET) leo inaadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa kwake ikisindikizwa na kaulimbiu ya KITABU KIMOJA MWANAFUNZI MMOJA...
Katika kupanua wigo wa elimu na kuwezesha miundombinu rafiki ya kiteknolojia kwa wanafunzi kujifunza, Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) imezindua chaneli ya Soma Kwanza TV, ambayo itakuwa inazalisha...
Vijana wanne wasiojulikana majina yao wala makazi wameuwawa kwa kupigwa na kisha kuchomwa moto na watu wenye hasira kali katika Mtaa na Kata ya Mhongolo Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga kwa...
WADAU SEKTA YA MILKI WATAKIWA KUWA NA UMOJA
MWANZA
Wadau wa sekta ya milki nchini wametakiwa kuendelea kuwa na umoja ili kuhakikisha sekta ya milki inakuwa.
Hayo yameelezwa tarehe 17 Juni 2025...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene amewakabidhi wananchi watatu Hatimiliki za Ardhi wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maadhimisho ya...
Manispaa ya Moshi msiwaumize zaidi wafanyabiashara soko la Mbuyuni
Februari 6 mwaka huu,wafanyabiashara katika soko la Mbuyuni Manispaa ya moshi walikumbwa na janga la moto ulioteketeza eneo...
Wafanyabiashara wadogo katika mji mdogo wa Langangabilili, wilayani Itilima, mkoani Simiyu, wameibua kilio kikubwa wakidai kutapeliwa na askari wa taasisi tatu za uhifadhi za serikali waliokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.