Kwako,Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Samia Suluhu Hassan
YAH: MALALAMIKO JUU YA MKURUGENZI WA WILAYA YA BUSEGA NDUGU MAIKO RICHARD KACHOMA
Mheshimiwa Rais,
Kwa heshima...
Mhu 9:10 SUV
[10] Lo lote mkono wako utakalolipata kulifanya, ulifanye kwa nguvu zako; kwa kuwa hakuna kazi, wala shauri, wala maarifa, wala hekima, huko kuzimu uendako wewe.
Kila mmoja wetu...
Kwako MH Rais Wetu MH Samia S Hassan
Awali ya yote pole Sana na majukumu ya Kitaifa ya kila siku
Nikuombe Sana MH Rais ukipata muda uwe na Mkutano Mkuu wa Kitaifa na Wananchi wako,Iwe Dar es...
Wakuu
Mongela wakati akizungumza kwenye ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan huko Simiyu amesema kuwa vichaa hawakosekani lakini watashughulikiwa na Vijana na Wana CCM.
Sijui watashughulikiwa vipi...
Tuseme ukweli,Wabunifu majengo wa Serikali wametuangusha sana ,wamebuni majengo kama mabweni badala ya kuja na majengo yenye mvuto na kuwa si tuu ofisi za Watumishi Bali kivutio Cha Utalii wa Mji...
Maisha yanaenda kwa kasi mno.
Ni miaka mingi imepita ila nawakumbuka ndugu zangu vijana wa kitanzania....kutoka Mbagala, Temeke, Kinondoni na Kariakoo walioenda ukanda wa maziwa makuu kujitafutia...
Kampuni ya Apple imetoa ushauri kwa baadhi watu wenye tabia ya kuweka simu kwenye mchele kama njia ya kukausha maji yalioingia kwenye simu kuacha kabisa tabia hiyo kwani inaweza kuharibu simu...
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde ameitaka Tume ya Madini kuwapa kipaumbele watanzania kwenye usambazaji wa huduma na bidhaa kwenye migodi ya madini ili kujipatia kipato, kuongeza mzunguko...
Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mheshimiwa George Simbachawene ameipongeza Tume ya Madini kwa kazi kubwa na yenye matokeo chanya katika ukusanyaji wa maduhuli...
Wakuu,
Nilikua naendelea kufuatilia ziara ya Rais wetu uko kanda ya Ziwa akiendelea kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo Mkoa wa Simiyu, nimegundua leo Kila Kiongozi anamwaga tu sifa kwa...
Katika karne ya 19, kulikuwa na kifaa cha kipekee kilichoundwa mahsusi kuwasaidia wanawake kushughulikia matatizo ya gesi tumboni—bila aibu wala kusumbua waliokuwa karibu nao. Kifaa hiki kiliitwa...
Kama kuna mtu yupo karibu na Rais wa Iran, Ayatollah, amfikishie ujumbe huu: Asithubutu kujibu mashambulizi ya Israel – huu ni mtego wa hatari!
1️⃣ Mpango wa Kimkakati wa Israel
imeanza na...
Na Zurima Ramadhan
Kuanzishwa kwa Jumuiya ya Kusimamia Maadili ya Watoto Zanzibar itasaidia kupunguza mporomoko wa maadili nchini.
Hayo yameelezwa na katibu wa jumuiya hiyo Ali Muhammed Suleiman...
Karibu Wadau wa JamiiForums!
Kama mpenda teknolojia na mtafiti wa masuala ya usalama mtandaoni, leo nimekuja kuwafunua kuhusu utapeli unaosambaa kwa kasi katika dunia ya kidigitali. Najua kuna...
The Fourth Local Content Compliance Forum (LCCF) in the Mining Sector concluded today in Mwanza, having brought together a wide range of stakeholders committed to enhancing Tanzanian participation...
Unakuta mtu anapost thread yenye maudhui ya ukosefu wa maadili kabisa. Yaani inatia kinyaa hata kuisoma. Huwa najiuliza hivi baba yake au mama yake akisoma hayo mambo ya hovyo aliyoandika mwanaye...
Jeshi la Israel limethibitisha kupatikana kwa mwili wa Mohammed Sinwar, kiongozi wa Hamas na mdogo wa Yahya Sinwar, ndani ya handaki la chini ya ardhi lililoko chini ya Hospitali ya Ulaya huko...
Wakuu,
Kuna namna bado sielewi, inamaana Mkoa wa Simiyu kero za wananchi zimetekelezwa zote ?
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi hotuba yake ya leo mbele ya Rais Samia kwenye mkutano wilaya...
Kampuni za madini za Geita Gold Mine (GGM), Shanta na Buckreef Gold zimeingia mkataba na Benki Kuu (BoT) ya utekelezaji wa sheria ya madini inayozitaka kampuni binafsi z auchimbaji madini kuiuzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.